Wi-Fi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,091
- 1,386
Very very touching & inspiring thread,
Kwa kweli JF imenikuza sana IQ yangu na pia ni kijiwe cha kupata current and educative news. Wako watu wengi sana wenye michango yenye kuleta mabadiliko kwenye maisha ya kila siku, Nachoweza kuona hapa JF kila jukwaa(forum) kuna role modals wake kwa hapa MMU naona wemeshatajwa karibu wote pia kuna forums ambazo zina watu wakupewa pongezi:
Scince & tech forum: e2themiza, Chief-mkwawa etc.
Education: Narubongo, Nguchiro etc
Politics: nngu007, Matola, Mungi etc
vacancies & business forum: Mwana Mtoka Pabaya etc
Joke posts: Kigogo, Bujibuji, Boflo, Kongosho
Celebrities news + habari za mujini: King Kong III, lara 1,
Hoja na mada mchanganyiko: All JF team
Pia shukrani za dhati nizilete kwako SnowBall na JF-Arusha (@PakaJimmy , Preta etc) kwa u-creative wa idea kama hii pamoja na iyo safari ya tanga.
wapo watu wengi sana wakupewa pongezi hapa JF just tried to mention a few..