Waliobadilisha Maisha yangu....

Waliobadilisha Maisha yangu....

Mm wanaonikosha ni

bubu atakakusema
mtambuzi kwa majibu ktk topic unanifurahisha sana
dack city
father of all
the boss
asprin
akikujibu hata kama unaumwa kichwa kinapoa maana unaweza ukasikia kizungu zungu
lara 1, i love the way unavyotupa moyo wanawake
mwanajamii one
gfsonwin

Nikuambie kitu Lisa? Hiyo komenti yako imefanya kikojoleo changu kistuke baada ya kulala doro tokea msiba wa Gadaffi. Leo wifi yako angalaua ana uhakika wa kupata haki yake ya kibaiolojia. Ushukuriwe sana.

Baada ya kusema hayo, naomba kukuuliza hivi hujui kuwa Aspirin ni dawa ya kutuliza maumivu? Maumivu ya kizidi, mwone ODM Asprin. Tiba ya naniliyu naitoa bure lakini mimba sina mamlaka nayo.
 
Last edited by a moderator:
Shukrani sana mkuu. Mie babu jipenda misifa leo ntakunywa maginesi mengi kwa afya yako na ya gelofrendi wako.

Hapo red bold Hakika ninamkosa sana dada yangu huyu nliyekuwa namkubali saaaaana! Akiwa anatumia ID ya Gender Sensitive tulishapangaga miadi ya kukutana naye nikijua naenda kukutana na njemba mwenzangu! Alinishangaza kuliko alivyonishangaza charminglady siku ile Brajec pale nilipokutana na bonge la mrembo wakati nilijiaminisha ni dume lenzangu,

RIP my dear Dada, ntakukumbuka daima.

Yaani hata mie nakupenda sana kasiko, ila bila kuficha ukweli sikupendi kama nimpendavyo cacico wangu. Ananikoshaje sasa??

Hahahahaha.......... huna haja ya kusema bana. Babu ni mtaalam wa kusoma katikati ya mistari. LOL

we babu wewe!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
afu wewe?

Mbona hunitaji??
Hahahahaha!

Wewe tena? Hivi hata asali zinatajwa humu?
Kongosho, asali ya ODM. Source: Asprin.

NB: Hapa tunazungumzia waliobadilisha "maisha" yetu si ndio? Mi tangu nijiunge na JF maisha yangu hayajawahi kubadilika.
1. Bado naamini katika bia na bia na bia tena.
2. Bado ni mweka hazina wa Infidelity Social Club (ISC) chini ya uongozi wa Mtukufu Kaizer
3. Bado nawaabudu mabinti zangu wawili ambao nshapiga marufuku wazembe wasiwasogelee (ikibidi ntawaoa mwenyewe)
4. Bado namtukuza mkoloni wangu anayenilipa vijisenti navyotesa navyo kina Eliza and co. kwenye bar za uswazi.

Nyingine malizia wewe bana....
 
Last edited by a moderator:
Yaani Wewe na mtu anaitwa Madame B hata nikipewa bure sichukui walah ya nini kufa kwa Mawazo

You will never know what you are missing!!!!!!!!!!! LOLEST! Hata mimi mwanaume mnyonge mnyonge kama wewe simtaki
 
Humbled bro, Thanks.
Jf kwa ujumla wa thread zake zote, hususan jukwaa la MMU tangia 2007 na wachangiaji wake wote.....nikiwataja wote patakuwa hapatoshi, ila wanaonigusa directly ni pamoja na...

Soulmate aka MwanajamiiOne, mama wa "nalivua pendo", BelindaJacob mama wa "ameuteka moyo wangu", Nyamayao, King'asti, AshaDii, Lizzy, WomanOfSubstance, na wengineo wengi wengi kina LD Maty, etc etc...

Kina baba na kina kaka kama vile mkongwe Asprin ...huyu mzee wa "ulikuwa wapi siku zote"... 😉 klorokwini The Finest, The Boss, swahiba Dark City, EMT, Tuko, kamanda wangu MTM, Eiyer mwenyewe na wengi wengineo.

Big up & Much Respect!

Jamani nimewamiss sana.
Katika hili shukrani zangu ziwafikie wana MMU wooote wapya na wakongwe wakiongozwa na
Da Wakubwa Nyamayao. Kaunga, nyumba kubwa, King'asti. @ AshaDii BelindaJacob,@FixedPoint, Smile, Smiles eh mki=ono wauma
Mababu dack City, Asprin kubwa lao, @ Nyani Ngabu, RR, @ The Finest na wengine wooooote including;

Soulmate Mbu ..........umenikumbusha mbali na 'nalivua pendo' dah!!
 
Last edited by a moderator:
yaani asali ndio wa kuanzia.

Asante kwa kunitaja kwa makusudi maalumu

baada ya hayo, klorokwini ulimuuza??

Wale mabinti nitunzie mmoja nina kijana.

Hahahahaha!

Wewe tena? Hivi hata asali zinatajwa humu?
Kongosho, asali ya ODM. Source: Asprin.

NB: Hapa tunazungumzia waliobadilisha "maisha" yetu si ndio? Mi tangu nijiunge na JF maisha yangu hayajawahi kubadilika.
1. Bado naamini katika bia na bia na bia tena.
2. Bado ni mweka hazina wa Infidelity Social Club (ISC) chini ya uongozi wa Mtukufu Kaizer
3. Bado nawaabudu mabinti zangu wawili ambao nshapiga marufuku wazembe wasiwasogelee (ikibidi ntawaoa mwenyewe)
4. Bado namtukuza mkoloni wangu anayenilipa vijisenti navyotesa navyo kina Eliza and co. kwenye bar za uswazi.

Nyingine malizia wewe bana....
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha, nashangaa

hivi mtu anasahauje miweint yangu kule jamii intelijensi?

Bado kwenye mambo siriaz ya kisiasa na kule grit sinka?

Sio fea kabisa

Hehehehehe! Yaani Kiranga akikufagilia wewe naongea na Mubyazi akufanye Modereta Mkuu wa jukwaa la Wakubwa walioshindikana.
 
Last edited by a moderator:
Shhhhhh! Utaamsha waliozimia kwenye usingizi wa kifo
Hapo kwa red unasemaje, nimekubadilishia maisha yako? LOL

Ngabu boy, you are so very popular with me, only that i know; and heavens knows why, you wont accept my recognition. There, i've said it. I love fighting with you trainer.
It is evident that the iconoclasm of our views make some of us unpopular :becky:
 
Na tunavyokuwia wakali jamani? Basi nashukuru kama unafurahia dawa chungu ili upone. Najua nakupenda sana, nafurahi kujifunza na wewe
Jamani nimewamiss sana.
Katika hili shukrani zangu ziwafikie wana MMU wooote wapya na wakongwe wakiongozwa na
Da Wakubwa Nyamayao. Kaunga, nyumba kubwa, King'asti. @ AshaDii BelindaJacob,@FixedPoint, Smile, Smiles eh mki=ono wauma
Mababu dack City, Asprin kubwa lao, @ Nyani Ngabu, RR, @ The Finest na wengine wooooote including;

Soulmate Mbu ..........umenikumbusha mbali na 'nalivua pendo' dah!!
 
Last edited by a moderator:
Weka hilo faili juu mama, mi ntakuwa na mow madevu ya kaka shemeji manake na huo mkorogo usoni busu litakuwa suicide mission oooh, senk yuuu vere macheee.

Ukijiingiza anga zangu nakugeuza kidampa, yaani uniharibie kijiwe changu hapa mjini. Tena Paw namuambia akuoe kabisaa, siku ya mahari nakufunika kitenge. Utakomaje? Nna mbinu za ki-CIA
Ha ha ha ha, nitakuwa mke mwenza ama hausi gelo??

HE he he, kaka shemeji ngoja faili lake niliweke juu, soon nitakupa majibu.
Nimechoshwa na SU, kila siku ana ingizo jipya kama CCM
 
he he, Paw simtaki anatisha sana, kuna siku alinipiga mkwara wa busu.

Hayo madevu ujue ni chachu ama mahanjumati shughulini??
Hujui hilo? Mie zinanishawishi sana.

Ila mateka nshamzoea mbona. Nakaribia kuwa na wawili na Paw wa tatu.

Back
Top Bottom