Waliobadilisha Maisha yangu....

Waliobadilisha Maisha yangu....

Last edited by a moderator:
Mimi napenda niwakumbuke kwa heshima kubwa hawa;
1 AshaDii
2 Mbu
3 Mtambuzi
4 Dark City
5 Kiranga
6 Nicholas
7 MwanajamiiOne
8 Kaunga
9 Kichuguu
10 H1N1
Niweongeza wanne lakini naamini wapo zaidi,napenda kuwaambia kuwa nimejifunza mengi sana kutoka kwenu!

Humbled bro, Thanks.
Jf kwa ujumla wa thread zake zote, hususan jukwaa la MMU tangia 2007 na wachangiaji wake wote.....nikiwataja wote patakuwa hapatoshi, ila wanaonigusa directly ni pamoja na...

Soulmate aka MwanajamiiOne, mama wa "nalivua pendo", BelindaJacob mama wa "ameuteka moyo wangu", Nyamayao, King'asti, AshaDii, Lizzy, WomanOfSubstance, na wengineo wengi wengi kina LD Maty, etc etc...

Kina baba na kina kaka kama vile mkongwe Asprin ...huyu mzee wa "ulikuwa wapi siku zote"... 😉 klorokwini The Finest, The Boss, swahiba Dark City, EMT, Tuko, kamanda wangu MTM, Eiyer mwenyewe na wengi wengineo.

Big up & Much Respect!
 
OMG! Am humbled!

Kupata heshima ya namna hii toka kwa gwiji kama wewe MOSQUITO Mbu si kitu cha kupuuza.

Will be right back!!
 
Last edited by a moderator:
This is a very thoughtful thread kwa kweli. Lakini on a serious note, jf inekuwa kama familia kwangu. Nna baba, makaka, mashemeji, marafiki, na clients bila kusahau mume (yaani wewe ndo mwanzo na mwisho kabisa).
Sitajitendea haki kutaja majina lakini kila mtu amenigusa in sone ways both negatively and positively. Niseme tu ahsante kwa Maxence Melo na mike mct (sijui nimepatia, na wewe jina la kidhungu hilo aaah) kwa muda wanaotumia kuiweka hii forum hewani.
 
Last edited by a moderator:
Aisee, asante sana. Nakumbuka tulijifunza pamoja kuhusu malezi ya teenagers. Now i know im ready to get there, inshallah.

Mie siwezi hata kukuzungumzia.
Humbled bro, Thanks.
Jf kwa ujumla wa thread zake zote, hususan jukwaa la MMU tangia 2007 na wachangiaji wake wote.....nikiwataja wote patakuwa hapatoshi, ila wanaonigusa directly ni pamoja na...

Soulmate aka MwanajamiiOne, mama wa "nalivua pendo", BelindaJacob mama wa "ameuteka moyo wangu", Nyamayao, King'asti, AshaDii, Lizzy, WomanOfSubstance, na wengineo wengi wengi kina LD Maty, etc etc...

Kina baba na kina kaka kama vile mkongwe Asprin ...huyu mzee wa "ulikuwa wapi siku zote"... 😉 klorokwini The Finest, The Boss, swahiba Dark City, EMT, Tuko, kamanda wangu MTM, Eiyer mwenyewe na wengi wengineo.

Big up & Much Respect!
 
Last edited by a moderator:
Wewe wala usirudi. Ila unajua nakupenda sana kwa usultani wako. Umenifundisha jinsi ya kuwa na nyumba ndogo kadhaa bila kugundulika. Hivi Teamo amekufilia wapi? Umuambie na Kaizer tureview katiba kuongezea maombi ya The Boss and cacico juu ya threesome (usinitaje) needs
OMG! Am humbled!

Kupata heshima ya namna hii toka kwa gwiji kama wewe MOSQUITO Mbu si kitu cha kupuuza.

Will be right back!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Thanx Mbu much respect,wakati mwingine unapokua hujaingia kuna watu ambao unakuwa unawafikiria sana.

Unakua unapenda kusoma michango yao.Ukiona wamechangia kwenye thread inabidi uangalie hiyo thread

Kiukweli kuna watu wanaifanya JF iwepo,wana changamoto,thread za akili sana,nakupa pongezi sana SnowBall kwa thread hii!
 
Last edited by a moderator:
Pamoja sana Eiyer ..unajua nini?..lengo langu lilikuwa kuwaappreciate members wanaojitoa usiku na mchana kuweka nondozz hapa..ujue sio kazi ndogo!!...manake ni elimu ya bure kabisa tunapena..Lakini pia nilisahau kuweka mwaka..i meant kwa 2012 lazima kila mtu kuna kitu/vitu positives amevipata..so haipendezi kama tutaacha kuwashukuru watu ambao kwa namna moja ama nyingine wamejitoa kutusaidia..Najua kila mtu anao wengi..BUT choosing a TOP SIX ni kuonyesha tu kwamba kuna vitu umevipata in most kwa hao guys......

Thanx Mbu much respect,wakati mwingine unapokua hujaingia kuna watu ambao unakuwa unawafikiria sana.

Unakua unapenda kusoma michango yao.Ukiona wamechangia kwenye thread inabidi uangalie hiyo thread

Kiukweli kuna watu wanaifanya JF iwepo,wana changamoto,thread za akili sana,nakupa pongezi sana SnowBall kwa thread hii!
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu mmoja nimemsahau,napenda nimkumbuke na kumpa heshima yake bila kumung'unya maneno

RR ,nakuheshimu sana,pia nakukubali.Nimejifunza mengi since nimekua hapa JF,"supa modereta" much respect to sister.Nakupenda na ninakukubali sana.
Wee mbaaaaaaaayaa!!
 
mie kila mtu nimempa nafasi kubwa hasa pale nilipokosolewa, nimejifunza kuwa-calm na kujibu kwa hoja kuliko kupayuka, so naishukuru JF in general, hata member aliejiunga jana au juzi wote wamekuwa chanzo cha maarifa kwangu, lakini kuna malaika ambaye huwa anajitokeza kwa nadra sana hapa jamvini anaitwa Little Angel kweli ni dada wa tofauti sana sana, sababu zinabaki kuwa binafsi
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa SnowBall ,ni vyema na ni haki pia kwani unakua unaingia JF unarefresh mind,na shule mumo kwa mumo.

Lakini nina ka swali,hii ni thread ya kupongezana na kuwatambua wanaogonga nondo za ukweli na kuburudisha jukwaa hili na mengne.Hivi tunaweza kukubali ikaanzishwa thread ya kuwataja ambao ungependa wabadilike in positive way?

Yaani unataja kabisa kuwa,mimi napdnda kumshauri Eiyer abadilike kadha wa kadha,je tunaweza kulipokea jambo hili positively?Kukubali kukosolewa?Mh!Sijui . . . .!!
 
Last edited by a moderator:
Duh....kumbe sio yangu.... Roulette umeona hii?

Back
Top Bottom