Waliobadilisha Maisha yangu....

Waliobadilisha Maisha yangu....

napenda kutuma salamu zangu kwa ma-mods wote!! mmekontributi kunifundisha maisha, lolest! Fang, PainKiller, Invisible, Meezy, Roulette, @McMakee na wengine wote ambao sijawajua! but gfsonwin, Asprin u r the bestest kwangu mi luv u mingiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!

me love you sana tu ma dearest, but hebu rudisha jina lako la asili lol! hapa ahahahah! jamani mie naomba nisimtaje kabisa Asprin manake .............

but ukweli Asprin luv you sanaaaaaaaaaaaaa.
 
Last edited by a moderator:
lakini hunipi amani vile unamzungumzia mke wako!
Sijui lakini nahisi humpendi tena,humuoni wa thamani,hujali kama anaumia,
in a way najisikia vibaya sana kwa ajili yake!
Wote katika maisha tunakosea na tunakosewa,la msingi ni jinsi tunavojifunza na kusimama baada ya makosa yale!
Naamini ndoa yako ukiamua bado ina nafasi ya kuwa ndoa bora na imara ni vile tu umeikatia tamaa
sikuhukumu bali nahisi ipo shida kubwa zaidi ya ile unayoitazama nje dhidi ya mkeo!

kwa kweli umesema ukweli usiokuwa na kificho wala majungu, mm huwa ni msomaji wa topic lkn hata mm wiliyeye unanisikitisha unavyomkandia mkeo, na kumtamani house girl wako, mara ex wako kwa kweli unanisikitisha sana
 
Mbona hujamtaja aliyekupa zawadi ya BAN
ushawahi kuniona mie nimewataja hao watu???? YUPO HAPO!! ila naamini baada ya muda tutakuwa mabesteeeeeeee! nicas na we kwa choko choko??
 
Last edited by a moderator:
me love you sana tu ma dearest, but hebu rudisha jina lako la asili lol! hapa ahahahah! jamani mie naomba nisimtaje kabisa Asprin manake .............

but ukweli Asprin luv you sanaaaaaaaaaaaaa.
ssostito wangu wa moyoni, njoo PM nikupe mkasa ulionikuta! mi mwenyewe Asprin nam-luv sanaaaaaaaaaaa! kwi kwi kwi kwi! mtu na dadake, cheko langu mie!
 
Last edited by a moderator:
Mm wanaonikosha ni

bubu atakakusema
mtambuzi kwa majibu ktk topic unanifurahisha sana
dack city
father of all
the boss
asprin
akikujibu hata kama unaumwa kichwa kinapoa maana unaweza ukasikia kizungu zungu
lara 1, i love the way unavyotupa moyo wanawake
mwanajamii one
gfsonwin
 
1. AshaDii dada wa maushauri kila nisomapo post zako najifunza kitu hongera sana
2. Lizzy japokuwa amepotea jamvini thread zake zilikuwa zinanikosha
3. afrodenzi amenisaidia sana kwenye ushauri nje ya key board
4. The Boss- big five
5. BAK amechangia zaidi kuendelea kupenda music mara nyingi kwa kusikiliza mziki imenipunguzia mawazo
6. gfsonwin uvumulivu wako nimejifunza mengi kupitia story yako imechangia kumsaidia mtu aliye nje ya JF
7. snowhite mwalimu wa walimu big up
8. na member wote kila moja kwa nafasi yake amechangia kunichekesha/kufurahi kujifunza hapa JF

JF daima
 
Last edited by a moderator:
Yaliyomkuta cacico yanaumiza.. Sasa amekuwa kasiko.. Wamemuacha apumuwe. Hahahahahaha
umeona eeeeeeeeeee??? waniwache kabisaaaaaaaaa niipate pumzi, lolest!! natamani dadangu gfsonwin ungekuwa mod, lolest! ningekwambia uje hm, umpige mkeii ban ya kutuzuia kutoka usiku, lol!
 
Last edited by a moderator:
Kama una ubavu wa kuwa mke mwwenza na mie karibu. Adhabu zangu ni za kisiasa za cold war ile ya kina nyerere na gaddafi. Ukija tu, kipya kinyemi, unatupikia, unatufulia na kutufanyia usafi. Na nnavyojua kudeka kwa makusudi,nikiona nzi tu utaniletea lunch on bed manake nalia kama msiba!b

Ila kwa ushauri wa haraka ungeenda kwa kaka shemeji. Kitchen party ntakupa lawn mow manake mmh.

Huyo matekaa kweli ni SU ena ile yenye malori ya mtuu!
Ha ha ha, najua hapo kwenye kuwa completed, tena waweza ogopa hapa inzi na machozi yakatoka

Mmmh, mateka ni sawa na Shirika la Uma
Anatajwa hadi nimekufa ganzi, nihamie kwa paw? ama nihamie kwa shemeji kaka yako?
 
umeona eeeeeeeeeee??? waniwache kabisaaaaaaaaa niipate pumzi, lolest!! natamani dadangu gfsonwin ungekuwa mod, lolest! ningekwambia uje hm, umpige mkeii ban ya kutuzuia kutoka usiku, lol!

sasa unapumua.. cacico ikirudi itakuwa na nguvu kubwa. Itakuwa imepumua... Unataka kumpga m keii ban?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha, nitakuwa mke mwenza ama hausi gelo??

HE he he, kaka shemeji ngoja faili lake niliweke juu, soon nitakupa majibu.
Nimechoshwa na SU, kila siku ana ingizo jipya kama CCM

Back
Top Bottom