Walimu kwa anaetaka kubadilishana kituo cha kazi aje SIMIYU WILAYA YA ITIMILA mim nije Moshi,Arusha,Tanga,Morogoro,kibaha kwa mawasiliano,0713 711330,0714454904,apa nilipo huduma zote za muhimu zipo
Njoo Singida-Mkalama nije mkoa wa (Pwani)-Kibaha mji, Bagamoyo, Mkuranga, Chalinze, Kisarawe au (Dar es salaam)-ILala, Kinondoni,Temeke, ni idara ya sekondari, 0689128658
Mimi mwalimu idara ya msingi nafundisha wilaya ya rombo tarafa ya tarakea mjini,nataka kuhamia wilaya ya moshi vijijini,kwa yeyote aliye tayari tuwasiliane kwa namba 0756530665