Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Khaa masikini kumbe unadhani mimi ni mtoto ndiyo maana unanidharau?? Kwa taarifa yako mimi ni mama mtu mzima nina mume na watoto na ndoa yangu ina miaka 20 sasa!!
Basi nipe pole mimi, maana umeiva kwa ubishi hata pasipohitaji. Mawazo yako ni very negative.
 
Sasa kama hauhukumu dhambi hayo madhara yake kijamii yanakuhusu nini?? Hivi unadhani watu wanatenda mema ili kuifurahisha Jamii unadhani kusingekuwa na Mungu watu wangetenda mema?? Pole aise yaani hapa tu watu wanajua Mungu yupo ila dunia imeharibika hivi sasa imagine asingekuwepo?? Who do you think gives a fvck about Jamii??
Kwani jamii yote inaamini ktk Mungu. Are you trying to fight me? Naona umeenda nje kabisa ya mada. Nitajibu hoja zilizojikita kwennye mada tu. Sipo hapa kubishana bali kuelimishana
 
Hahahaha kwahiyo unadhani mwanamke ni malaika?? Kwamba yeye hapatwi na hamu ya kufanya mapenzi?? Yaani kwamba yeye hawezi kujaribiwa na shetani au wenzetu mnadhani shetani anawajaribu ninyi tu?? Kumbe basi ndiyo maana!!
Basi endeleeni kugawa vidude, nothing more
 
Yaani ukinijibu mimi unasema hauongelei dhambi ila ukiwajibu watu wengine unakuwa unaongelea dhambi sasa uzinzi kabla ya ndoa si dhambi??

Kama haukubali si maana yake unakemea dhambi sasa si uikemee hiyo dhambi kwa jinsia zote mbili maana inafanywa na jinsia zote mbili??
Kemea wewe
 
Tayari najua so sidanganyiki. Nataka na vijana wengine wafungue macho.
Sasa utathibitishaei huyu mtu ni bikira bila tendo,na tendo mpaka ndoa? Maana kwa nje(uione kwa macho au uguse kwa kidole) ni bikira huko ndani ndiyo large au na wewe unafungua njia kabla ya ndoa?
Hapa hata wewe utadanganyika tu,huwezi kujua bikra fake mpaka uitoe!
 
Usisingizie malezi mabovu kwenye kila kitu wanawake wana tamaa ya kuolewa upesi kwa sababu ya mitazamo ya jamii za kiafrika kwamba mtoto wa kike akifika miaka 28 tu hafai kuolewa hata kama kajitunza eti ni 'mzee utamu wake umekwisha'

Sasa kwenye jamii zenye mitazamo hiyo unadhani wanawake hawatafanya juu chini kutafuta ndoa au unadhani wao wanapenda 'kunyooshewa vidole na jamii'?? Siku mkiacha hiyo mitazamo ya kijinga basi sidhani kama wanawake watakuwa wanajirahisisha kwa wanaume ili wapate ndoa tofauti na hapo endeleeni kupiga kelele na kupoteza muda mitandaoni!!
Malezi mabovu.
 
OK. Mwanamume anachungwa, umefurahi sasa? Haki sawa
Hivi unajua hata maana ya haki sawa?? Msisingizie haki sawa kwenye kila kitu vitu vingine ni nature tu inabidi vifanyike kwa jinsia zote mtake msitake sasa ninyi mnalazimisha utofauti wa mwanamke na mwanaume kwenye kila kitu wanawake na wanaume tunatofautiana kwenye jinsia, maumbile, majukumu na nafasi lakini kwenye malezi na dhambi hakuna tofauti bali mnailazimisha tu!!
 
Na wewe itoshe kusema umepaswa kupenda, tofauti na hapo haustahili utii wa mkeo sasa sijui hata kama wanaume wa kiafrika mnajua maana ya Upendo.

Upendo huvumilia, husamehe, hustahimili na hauhesabu mabaya sasa jiulize ni wanaume wangapi wanafanya hayo kwa wake zao halafu ndiyo utapata jibu ni wanaume wangapi hawastahili utii kutoka kwa wake zao..
Andiko lipi? Itoshe kusema umepaswa KUTII, hilo ni andiko. Usipotii subiri huruma ya mumeo
 
Back
Top Bottom