Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,770
- 10,650
Ya Mungu asiyejisifia uchafuMbona single mothers wengi tu wanaolewa na ndoa zao zinadumu kwa amani??
Ndiyo maana nikakuuliza wewe mwenzetu unaishi kwenye dunia gani??
Ya Mungu asiyejisifia uchafuMbona single mothers wengi tu wanaolewa na ndoa zao zinadumu kwa amani??
Ndiyo maana nikakuuliza wewe mwenzetu unaishi kwenye dunia gani??
Basi nipe pole mimi, maana umeiva kwa ubishi hata pasipohitaji. Mawazo yako ni very negative.Khaa masikini kumbe unadhani mimi ni mtoto ndiyo maana unanidharau?? Kwa taarifa yako mimi ni mama mtu mzima nina mume na watoto na ndoa yangu ina miaka 20 sasa!!
Ni tusi baya LA kisukuma, kumaanisha mlale mama yako. Jf in a watu was hali zote, so we need to grow kuzidi huo upuuzihata mimi sijui eti
Kwani jamii yote inaamini ktk Mungu. Are you trying to fight me? Naona umeenda nje kabisa ya mada. Nitajibu hoja zilizojikita kwennye mada tu. Sipo hapa kubishana bali kuelimishanaSasa kama hauhukumu dhambi hayo madhara yake kijamii yanakuhusu nini?? Hivi unadhani watu wanatenda mema ili kuifurahisha Jamii unadhani kusingekuwa na Mungu watu wangetenda mema?? Pole aise yaani hapa tu watu wanajua Mungu yupo ila dunia imeharibika hivi sasa imagine asingekuwepo?? Who do you think gives a fvck about Jamii??
Kumfunza tutionNa huyo aliyemuita anakuwa ana maana gani labda??
Basi endeleeni kugawa vidude, nothing moreHahahaha kwahiyo unadhani mwanamke ni malaika?? Kwamba yeye hapatwi na hamu ya kufanya mapenzi?? Yaani kwamba yeye hawezi kujaribiwa na shetani au wenzetu mnadhani shetani anawajaribu ninyi tu?? Kumbe basi ndiyo maana!!
Haki sawa"Acha uasherati sio sifa njema, tulia upate mke bora."
Unaonaje hiyo sentensi ungekuwa unaikazania na kwa wanaume wenzako kama unavyokazania maovu ya wanawake kila siku??
Kemea weweYaani ukinijibu mimi unasema hauongelei dhambi ila ukiwajibu watu wengine unakuwa unaongelea dhambi sasa uzinzi kabla ya ndoa si dhambi??
Kama haukubali si maana yake unakemea dhambi sasa si uikemee hiyo dhambi kwa jinsia zote mbili maana inafanywa na jinsia zote mbili??
Mwsanamke anakuwa na wanaume wengi, usipotoshe nilichoandikaNa kwanini awe na wengi kwanini jamii isiungane pamoja kumkanya mwanaume aache kuwa na wanawake wengi?? Unaona tatizo lilipo sasa??
Oya mmefikia wapi
Ni tusi baya LA kisukuma, kumaanisha mlale mama yako. Jf in a watu was hali zote, so we need to grow kuzidi huo upuuzi
Sasa utathibitishaei huyu mtu ni bikira bila tendo,na tendo mpaka ndoa? Maana kwa nje(uione kwa macho au uguse kwa kidole) ni bikira huko ndani ndiyo large au na wewe unafungua njia kabla ya ndoa?Tayari najua so sidanganyiki. Nataka na vijana wengine wafungue macho.
Malezi mabovu.
Hujitambui na huyo mwenzako
Hivi unajua hata maana ya haki sawa?? Msisingizie haki sawa kwenye kila kitu vitu vingine ni nature tu inabidi vifanyike kwa jinsia zote mtake msitake sasa ninyi mnalazimisha utofauti wa mwanamke na mwanaume kwenye kila kitu wanawake na wanaume tunatofautiana kwenye jinsia, maumbile, majukumu na nafasi lakini kwenye malezi na dhambi hakuna tofauti bali mnailazimisha tu!!OK. Mwanamume anachungwa, umefurahi sasa? Haki sawa
Andiko lipi? Itoshe kusema umepaswa KUTII, hilo ni andiko. Usipotii subiri huruma ya mumeo
Imagine!Kwani nani kasema ndoa ni taasisi ya huruma?
Kama watu wamekubaliana ndoa wao wawili, wewe nani uwawekee najisi?
Unaandika "single mama hawezi kukupenda jisi ulivyo" unajuaje hili?
yasingetokea kama mwanamke angetongozwa afu akataeJe mwanaume asingetongoza yangetokea hayo yote??
Ya Mungu asiyejisifia uchafu