rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,508
- 41,953
Wanaogopwa kuachwa ndugu...!! Mtu anaaminishwa kabisa kuwa ndoa hii hapa wee akitoa balaabila wanawake kuwakatalia wanaume yangekuwepo haya?
Wanaogopwa kuachwa ndugu...!! Mtu anaaminishwa kabisa kuwa ndoa hii hapa wee akitoa balaabila wanawake kuwakatalia wanaume yangekuwepo haya?
Kwa hiyo akitoa uchi ndio haachwi? Mwanamume mwenye nia ya kuoa hata akinyimwa papuchi atapoigana kumpata huyo binti kwa gharama yoyote! Hiyo gharama inapaswa kuwa ndoaWanaogopwa kuachwa ndugu...!! Mtu anaaminishwa kabisa kuwa ndoa hii hapa wee akitoa balaa
tatizo unaongea theoryKwa hiyo akitoa uchi ndio haachwi? Mwanamume mwenye nia ya kuoa hata akinyimwa papuchi atapoigana kumpata huyo binti kwa gharama yoyote! Hiyo gharama inapaswa kuwa ndoa
Na mimi ndiyo nashangaa hapo...Kwani nani kasema ndoa ni taasisi ya huruma?
Kama watu wamekubaliana ndoa wao wawili, wewe nani uwawekee najisi?
Unaandika "single mama hawezi kukupenda jisi ulivyo" unajuaje hili?
Daah,naona huitiki kabisa.
Ndio ukubali sasa kudhalilika
Alijibu hapo juuAkikujibu Nitag
Sasa hapo chanzo ni nani?? Kipi kinaanza kuomba au kukubali??bila wanawake kuwakatalia wanaume yangekuwepo haya?
Tatizo wanaoingia jf wengi ni above20yrs,wadogo ndiyo mnawadanganya hasa kwa ubichi wao wakipata mimba zenu mnawalalamikia huku....mmhh!!! wanawake jitunzeni msizae kabla ya ndoa,mnaona comments za mabaharia hizi
Kwa hiyo akitoa uchi ndio haachwi? Mwanamume mwenye nia ya kuoa hata akinyimwa papuchi atapoigana kumpata huyo binti kwa gharama yoyote! Hiyo gharama inapaswa kuwa ndoa
tatizo unaongea theory
Wanaziba juu tu, ndani ni extra large
kipi kinaingiza mimba,kukataa au kukubali??Sasa hapo chanzo ni nani?? Kipi kinaanza kuomba au kukubali??
Kuingizaa...Wengine wanaingiziwa bila hata kukubalikipi kinaingiza mimba,kukataa au kukubali??
Tatizo wewe ni kizazi cha kisasa. Hujui historia na sababu ya mabadiliko ya sasa. Lakini tangu zamani ilikuwa hivyo. Basi sasa nimeelewa kumbe wewe natetea unachokiona sasa na si ilivyokuwa tangu mwanzo.tatizo unaongea theory
Mkuu umenena kweli Tena ukweli mchungu ambao kwa vijana wa era hii inayoongoza kwa mivunjiko ya ndoa Kila kukichwa vigumu kukuelewa. Umenikumbusha wosia niliopewa wakati nipo kwenye mchakato wa kuoa "Ndoa siyo taasisi ya huruma Wala si sehemu ya kufanyiana hisani, ikiwa unaona kasoro zisizoendana na wewe usizipuuze, achana nae hata Kama alikutolea Figo wakati was kupigania uhai wako"Ungesoma mpaka mwisho usingeandika hivi. Ndoa sio taasisi ya huruma, ila suala la wajane soma mwishoni utaona.
Sasa wewe unaongea miaka ya 80 huko??? Hata pono hazikuwepoo... vishawishi vya kingono hakuna kabisaa.. Siku hizi haya mavazi na mavyakula ya ovyoo ukichanganya na Technology ya simu si ndo balaa... Mihemkoo juu muda wotee zama hizi sio zile mkuu...Tatizo wewe ni kizazi cha kisasa. Hujui historia na sababu ya mabadiliko ya sasa. Lakini tangu zamani ilikuwa hivyo. Basi sasa nimeelewa kumbe wewe natetea unachokiona sasa na si ilivyokuwa tangu mwanzo.
Kwahiyo anayeomba ngono hana makosa ila anayekubali ngono ndiyo ana makosa??kipi kinaingiza mimba,kukataa au kukubali??
Ninaposema ndoa sio taasisi ya huruma ninamaasha hivi: huwezi kusema mtu aonewe huruma yaani aolewe kwa kumhurumia kwa madhara aliyojisababishia mwenyewe. Achana na single mothers, wapo waliopata maradhi kwa mfano, huwezi kusema waonewe huruma waolewe. Ndoa ni taasisi yenye vigezo, na kimojawapo mke awe bikira ingawaNa mimi ndiyo nashangaa hapo...
Huwa anaandika mada nzuri ila ya leo amechemsha!
Huna hoja na Kama unayo basi unatatizo katika uwasolishaji wako na Kama vyote hivyo viko sawa basi mazingira na malezi yamekuharibu na kukufanya usiwe na staha Wala heshima juu ya mawazo ya wengine isipokuwa kukashifu kwa lugha zinye ukakasi.Nina mbwa wangu ambaye umemzidi umri ila ana busara na akili kukuzidi wewe. Rudia bandiko lako mstari kwa mstari kisha mpe mtu unayedhani umemzidi maarifa asipokuambia ulichoandika ni kampeni ya kutaka wanawake ambao wana watoto wasiolewe tena. Imagine mtu ni single mother simply kwa kuwa alibakwa ama mimba za utotoni then akutane na kampeni yako hii mshuuuu...pambaffff