Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mazingira, binti anatengeneza mazingira yeye mwenyewe anajipeleka ghetto alafu anajifanya hataki kutiwa. Hapo hakika hatoki salama na akilalamika ni mnafiki. Mazingira ndio kila kitu, tendo la mwisho wala halihesabiki.
Sasa geto anaanza kwenda mwenyewe bila kuitwaa
 
Kwahiyo anayeomba ngono hana makosa ila anayekubali ngono ndiyo ana makosa??

Maandiko yanasema uzinzi na uasherati ni dhambi kwa jinsia ZOTE MBILI sasa inakuwaje anayeomba uzinzi na uasherati asiwe na makosa ila anayekubali uzinzi na uasherati ndiyo awe na makosa??
Hapa linaongelewa tendo la mimba kuingia kwa watu wawili ambao tayari wameshaamua kutenda dhambi, hivyo sio sawa kuongelea dhambi hapa kwa sababu ipo tayari. Ongelea matokeo yake, sio nani hana dhambi. Kukubali kutoa uchi ni kukiri udhaifu na kutokujitambua kwa mwanamke. Mbona wengine wakiwa chumbani wakiombwa kuingiliwa nyuma wanakataa? Sema tu ukweli kuwa nanyi mnapenda mfanywe na mnaridhia, ila mimba ikitokea mnanyoosha kidole.

Mwanamume anamwomba mwanamke ampe nyuma, anakataa. Mwanamume anamwomba mwanamke amnyonye, anagoma kabisa. Mwanamke huyo huyo akiombwa atoe mbele anakubali!! Nini kimebadilika kumshawishi aone kutoa mbele bila ndoa ni halali? Kwani hapo ipi ni dhambi na ipi sio dhambi? Naomba jibu.
 
Pambana na kutafuta Bikra mkuu wapo wengi lakini NDOA sio lelemamaa...!! Oa bikra alafu mdomoo hautuliii...Oa bikra kichwani kweupee... Ndoa sio suala la Ubikra ni more than that
Kwa hiyo tuambie ndoa ni nini? Ukiona mwanamke bikra ni ishara kubwa sana kwamba anatambua thamani ya mume. Amemudu kukwepa vihunzi mpaka kufikia ndoa ili afunge agano na mume.

Kwa upande mwingine mwanamke aliyefanya uasherati maana yake hana uvumilivu. Yuko tayari kutembea na mwanamumne yeyote mradi mazingira Fulani yanayomridhisha yametekelezwa. Ni dalili ya mwanamke anayetumia uchi wake kusaka ndoa (kwa gharama yeyote) pasipokutumia hiari ya moyo. Kwake mwanamke huyu, mume sio hitaji la msingi, ndoa ndio kila kitu. Hivyo basi hata akiwa ndani ya ndoa anaweza kuchepuka au kutokumheshimu mume au kutowafundisha watoto maadili mema n.k. Kifupi hakuwa ameandaliwa kuwa mke, bali aliandaliwa kuwa na ndoa (kisaikolojia).
 
Hapa linaongelewa tendo la mimba kuingia kwa watu wawili ambao tayari wameshaamua kutenda dhambi, hivyo sio sawa kuongelea dhambi hapa kwa sababu ipo tayari. Ongelea matokeo yake, sio nani hana dhambi. Kukubali kutoa uchi ni kukiri udhaifu na kutokujitambua kwa mwanamke. Mbona wengine wakiwa chumbani wakiombwa kuingiliwa nyuma wanakataa? Sema tu ukweli kuwa nanyi mnapenda mfanywe na mnaridhia, ila mimba ikitokea mnanyoosha kidole.

Mwanamume anamwomba mwanamke ampe nyuma, anakataa. Mwanamume anamwomba mwanamke amnyonye, anagoma kabisa. Mwanamke huyo huyo akiombwa atoe mbele anakubali!! Nini kimebadilika kumshawishi aone kutoa mbele bila ndoa ni halali? Kwani hapo ipi ni dhambi na ipi sio dhambi? Naomba jibu.
Mimi sijasema mimba ikiingia alaumiwe mwanaume hivi mbona wewe mgumu sana kuelewa??

Nimesema hili swala wanaotakiwa kulaumiwa ni WOTE MWANAUME NA MWANAMKE na siyo mwanaume peke yake wala mwanamke peke yake

Halafu mbona hoja zako zinakinzana umesema tusiangalie dhambi tuangalie matokeo halafu hapo unaniuliza mbona mwanamke akiombwa nyuma hatoi ila akiombwa mbele anatoa kwa maana kwamba umerudi pale pale kwenye uzinzi na uasherati

Halafu unaposema tuongelee mimba tusiongelee tendo lililofanyika una maana kumbe walichofanya ni sawa ila mimba kupatikana ndiyo siyo sawa mbona hauelewi unachoandika??
 
Sawa unaweza usianzishe uzi au usijulikane lakini haibadilishi ukweli kuwa na wewe ni mmoja wa wale wanaume ambao unamuomba mwanamke ili akikupa uje kumdharau sasa mimi siwezi kumpa mwanaume ambaye najua atakuja kunidharau kwanza sinaga hata mazoea na wanaume wenye mitazamo hiyo yaani
Ila wasio na dharau UNAWAPA? :D :D :D
 
Haya je wanawake wakijitunza wanaume mtaweza kuvumilia kutokufanya ngono hadi mtakapofikia umri wa kuoa na kutaka kuoa??
Hii sio concept mpya, tangu kale ilikuwa hivyo mpaka pale lilipokuja wimbi ka feminism. Zamani ilikuwa kijana akiacha maadili na kulala na binti, binti huyo aliambatana na wazazi wake kwenda kwa kijana husika. Huko ilipothibitiksa kilichofuata ni majadiliano ya mahari kwani tayari kijana alishajipatia mke.

Kama binti alijulikana kuwa ni mgawaji mzuri basi ilikuwa ni aibu ya familia yake na mara nyingi alifukuzwa nyumbani. Utaweza kusema kufukuzwa ilikuwa ukatili, lakini nakuhakikishia ilikuwa ni hatua sahihi ili kunusuru wadogo zake wasijeiga upuuzi huo. Huwezi kufundisha maadili wakati ndanikuna kahaba. Mabaya huvutia zaidi kuliko mema mpaka pale ubaya unapothibitika.
 
So unataka Kunambia Walioolewa Mabikira huwaga hawachepuki..???? Duuh mkuu una mengi sana ya kujifunzaa kuhusu Ndoa... Una data nyingi za nadharia kuliko uhalisia wenyewee... Mpaka hapa nime maana kukubadilisha wewe mpaka kiamaa
Nyenyere
 
Leo umeteleza! Huwa napenda mada zako sana...
Sina cha kujishangaa la sivyo tutaanza kubishana,ukweli ni kwamba siyo kila siku utakuwa sahihi!
Angalia members wangapi wana mtazamo wako, but kupishana ni jambo jema ndio kujenga kwenyewe. Taasisi ya ndoa sio sehemu ya kutafutiua huruma, standards ni za juu.

Tuwalinde dada zetu na watoto wetu wasiingie kwenye huu mtego, nadhani hapa sijateleza
 
Hii sio concept mpya, tangu kale ilikuwa hivyo mpaka pale lilipokuja wimbi ka feminism. Zamani ilikuwa kijana akiacha maadili na kulala na binti, binti huyo aliambatana na wazazi wake kwenda kwa kijana husika. Huko ilipothibitiksa kilichofuata ni majadiliano ya mahari kwani tayari kijana alishajipatia mke.

Kama binti alijulikana kuwa ni mgawaji mzuri basi ilikuwa ni aibu ya familia yake na mara nyingi alifukuzwa nyumbani. Utaweza kusema kufukuzwa ilikuwa ukatili, lakini nakuhakikishia ilikuwa ni hatua sahihi ili kunusuru wadogo zake wasijeiga upuuzi huo. Huwezi kufundisha maadili wakati ndanikuna kahaba. Mabaya huvutia zaidi kuliko mema mpaka pale ubaya unapothibitika.
Maisha haya ni enzi za Nyerere akiwa Kijanaa...Achaa upuuzi bhasi Unakeraa kinyamaa...
 
Kwahiyo wazazi wanatakiwa wawachunge watoto wao kike tu ila wa kiume wawalee kuja kuwa wahuni kwa sababu tu wao hawapati madhara??
Binti ndiye anayechungwa, mvulana anaelekezwa tu aishije na aache mabaya. Ni maumbile hata kama hutaki
 
1. Nimeuliza mwanamke aliyepoteza bikira anapata madhara gani ikiwa alishamrudia muumba wake na ndoa yake ikadumu??

2. Hakuna anayepinga hayo mamlaka ila kwanini unakataa kwamba kuna wanaume wanaotumia hayo mamlaka vibaya kuwaonea wake zao??
1. Kumrudia muumba ni uhusiano binafsi na Muumba. Yeye anajua mioyo ya wanadamu. Ndoa kudumu ni jambo jema tu na ndicho tunachokitafuta. Sasa kudumu kwa ndoa kuna mambo mengi, labda ufafanue.

2. Mamlaka ya mume hayaondoki hata kama ni mkorofi, atabaki kuwa mume tu. Ndio maana kuna njia za kutatua migogoro, lakini hakuna atakayekuambia acha kumheshimu mume wako. Ukifanya hivyo ndoa hakuna
 
Sasa mwanaume anayetongoza hovyo na mwanamke anayegawa hovyo wana tofauti gani??

Najua utaniambia wana utofauti kimaumbile na kijamii na mimi nitakwambia mbona magonjwa nayo hayaangalii hizo tofauti yanawafuata wote??
Fine, mwanamke ataitwa kahaba, mwanamume je? Mwanamke akitaka kutulia aolewe atasubiri sana, kwa waganga itakuwa kimbilio lake, mwanamume je? Heshima ya mwanamke kwenye jamii itaporomoka mpaka zero, mwanamume je? Think loud!!
 
Hivi kati ya mimi na wewe nani anahalisha uzinzi na uasherati hapa??

Mimi nasema wote wanawake na wanaume wajitunze Wewe unasema wanawake wajitunze sasa hapo nani anayehalalisha huo uzinzi na uasherati??
Narudia tena, wote wamekubali kutenda dhambi, wanalalana. Then what, wamemrudia muumba, mwanamume anatubu anaoa binti wa ndoto yake, mwanamke atafuta mume, bahati mbaya sifa zake ziko vinywani mwa jamii, hawezi kumpata mume wa ndoto yake.
 
Back
Top Bottom