KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,290
Single mother ndio wanaolewa sana katika karne hizi kuliko hao mnaowaona ndio wako royal
nimeshuhudia ndoa kama tatu nne hivi na still wamedumu na wanapendana sana
pia single mother sio kwamba walikuwa wanasoko then wakakosa soko umewapa tafasiri ya tofauti kabisaaa
nadhani ndio maana umekuwa na fikra kama hizo
but all in all ulilosema lipo ila ni kwa wale tunasema vicheche kama ulivyosema pia ni asilimia ndogo sana kwa ulilosema
pia say sorry to single mother hawapo namna hiyo unavyowapa tafasiri hiyo
nilipata mwanamke wa kwanza alijitegesha mimba nimuoe but msimamo ulikuwa nikwamba mimba sio kigezo aliolewa ana mtoto wa pili now
Nilipata mtoto wa kirangi huyu aliolewa na mimba yangu kabisaaa na mtu mwingin
but watoto niliwachukua so mimi pia ni sigle father ila uewanukuu vibaya sana kuna factors nyingi sana zinasababisha kuwa single mothers kama mbili hizo hapo juu