sajo

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
3,029
5,259
Mjadala umeibuka nchini baada ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT iliyoachwa wazi baada ya Ndugai kujiuzulu. Hoja bishaniwa imekuwa ni iwapo Dk. Tulia ana sifa au la za kugombea nafasi hiyo.

Kwa mujibu wa Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge (Na. 3 ya 1988) hususani kifungu cha 41 (1&2), Dk. Tulia kwa sasa ni Kaimu Spika wa Bunge mpaka pale kiti cha Spika kitakapojazwa. Ibara ya 84 (2) ya Katiba ya JMT inaeleza kuwa mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote yaliyotajwa na Sheria ya Bunge, hana sifa za kugombea uspika.

Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge inamtaja Dk. Tulia kwa sasa kuwa ni Kaimu Spika, hii ni ofisi/madaraka na imetajwa na Sheria ya Bunge. Dk. Tulia hana sifa za kugombea uspika, asijidanganye kuwa Ibara ya 84 (2) haijamtaja, asome Sheria namba ya 1988 aone kuwa kwa cheo chake cha Kaimu Spika amezuiwa kugombea uSpika. HANA SIFA

20220113_110414.jpg
 
Kwa mujibu wa katiba na sheria naibu spika Tulia Ackson hana sifa za kugombea kiti cha spika wa Bunge la tanzania bila kwanza kujiuzuru,na kuacha kiti cha naibu spika wazi ili watu wengine wagombee, kwa jinsi hali inavyoenda anasubiri kwanza ashinde ili ajiuzuru? au ashindwe abaki kwenye cheo hicho? hii sio haki anapaswa kuachia unaibu ili agombee uspika haya sio maneno yangu soma ibara ya 84 kifungu kidogo cha pili.
au ina maana cheo cha naibu spika hakijawekwa kwa mujibu wa katiba au sheria za bunge la nchi hii?

UTARATIBU, MADARAKA NA
HAKI ZA BUNGE
Spika na Naibu wa Spika
Spika na
mamlaka yake
Sheria ya

1984 Na.15
ib.14 Sheria
ya 1992
Na.4 ib.31
Sheria ya
1995 Na.12
ib.15

84.-(1) Kutakuwa na Spika wa Bunge ambaye atachaguliwa na
Wabunge kutoka miongoni mwa watu ambao ni Wabunge au
wenye sifa za kuwa Wabunge; atakuwa ndiye kiongozi wa Bunge
na atawakilisha Bunge katika vyombo na vikao vingine vyote nje
ya Bunge.
(2) Waziri, Naibu Waziri au mtu mwenye madaraka ya aina
nyingine yoyote itakayotajwa na Sheria iliyotungwa na Bunge kwa
madhumuni ya ibdara hii, hataweza kuchaguliwa kuwa Spika.
 
Mjadala umeibuka nchini baada ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT iliyoachwa wazi baada ya Ndugai kujiuzulu. Hoja bishaniwa imekuwa ni iwapo Dk. Tulia ana sifa au la za kugombea nafasi hiyo.

Kwa mujibu wa Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge (Na. 3 ya 1988) hususani kifungu cha 41 (1&2), Dk. Tulia kwa sasa ni Kaimu Spika wa Bunge mpaka pale kiti cha Spika kitakapojazwa. Ibara ya 84 (2) ya Katiba ya JMT inaeleza kuwa mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote yaliyotajwa na Sheria ya Bunge, hana sifa za kugombea uspika. Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge inamtaja Dk. Tulia kwa sasa kuwa ni Kaimu Spika, hii ni ofisi/madaraka na imetajwa na Sheria ya Bunge. Dk. Tulia hana sifa za kugombea uspika, asijidanganye kuwa Ibara ya 84 (2) haijamtaja, asome Sheria namba ya 1988 aone kuwa kwa cheo chake cha Kaimu Spika amezuiwa kugombea uSpika. HANA SIFA

View attachment 2079266
Muachie Mtemi Chenge Atamuwekea Pingamizi
 
Baada tuu ya Spika kujiuzulu, automaticaly Naibu Spika anakuwa kaimu Spika, hivyo kifungu hicho kina mhusu
p
 
Tokea lini CCM wakafuata katiba ??
 
Ni lini CCM waliheshimu hiyo katiba chakavu?
 
Mimi naona hili suala limeangaliwa upande mmoja..Mimi naona tulia Yuko sahihi coz amegombea ndani ya chama na si bungeni..jina lake likipitishwa na kumpelekea bungeni kule atakutana na wagombea wengine hapo ndio katiba itafanya kazi..na ndio hapo ataresign...yeye kaonyesha kutaka kugombea nje ya bunge..sio ndani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mjadala umeibuka nchini baada ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT iliyoachwa wazi baada ya Ndugai kujiuzulu. Hoja bishaniwa imekuwa ni iwapo Dk. Tulia ana sifa au la za kugombea nafasi hiyo.

Kwa mujibu wa Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge (Na. 3 ya 1988) hususani kifungu cha 41 (1&2), Dk. Tulia kwa sasa ni Kaimu Spika wa Bunge mpaka pale kiti cha Spika kitakapojazwa. Ibara ya 84 (2) ya Katiba ya JMT inaeleza kuwa mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote yaliyotajwa na Sheria ya Bunge, hana sifa za kugombea uspika. Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge inamtaja Dk. Tulia kwa sasa kuwa ni Kaimu Spika, hii ni ofisi/madaraka na imetajwa na Sheria ya Bunge. Dk. Tulia hana sifa za kugombea uspika, asijidanganye kuwa Ibara ya 84 (2) haijamtaja, asome Sheria namba ya 1988 aone kuwa kwa cheo chake cha Kaimu Spika amezuiwa kugombea uSpika. HANA SIFA

View attachment 2079266
Naona wapinzani wa Tulia wanahangaika kwa kila sarakasi.

Kwani mnaogopa nini? Kamatia hapo hapo Tulia.
 
Mjadala umeibuka nchini baada ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT iliyoachwa wazi baada ya Ndugai kujiuzulu. Hoja bishaniwa imekuwa ni iwapo Dk. Tulia ana sifa au la za kugombea nafasi hiyo.

Kwa mujibu wa Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge (Na. 3 ya 1988) hususani kifungu cha 41 (1&2), Dk. Tulia kwa sasa ni Kaimu Spika wa Bunge mpaka pale kiti cha Spika kitakapojazwa. Ibara ya 84 (2) ya Katiba ya JMT inaeleza kuwa mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote yaliyotajwa na Sheria ya Bunge, hana sifa za kugombea uspika. Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge inamtaja Dk. Tulia kwa sasa kuwa ni Kaimu Spika, hii ni ofisi/madaraka na imetajwa na Sheria ya Bunge. Dk. Tulia hana sifa za kugombea uspika, asijidanganye kuwa Ibara ya 84 (2) haijamtaja, asome Sheria namba ya 1988 aone kuwa kwa cheo chake cha Kaimu Spika amezuiwa kugombea uSpika. HANA SIFA

View attachment 2079266

Kwa maana hiyo, Tulia atakuwa absent, na powers zake zitapewa kwa muda kwa waliotajwa hapo, na atakaporudi ataendelea kama kawaida. Kuwa absent haimaanishi kiti kuwa vacant, ila kiti kuwa vacant inamaanisha automatically aliyetakiwa kukikalia kuwa yupo absent
 
Back
Top Bottom