Mimi naona hili suala limeangaliwa upande mmoja..Mimi naona tulia Yuko sahihi coz amegombea ndani ya chama na si bungeni..jina lake likipitishwa na kumpelekea bungeni kule atakutana na wagombea wengine hapo ndio katiba itafanya kazi..na ndio hapo ataresign...yeye kaonyesha kutaka kugombea nje ya bunge..sio ndani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa kuwa kanuni za bunge zinamtaja kuwa endapo spika atajiuzuru yeye anakuwa kaimu spika,hivyo basi zuio hilo linamuhusu bila chenga.
 
Kwa maana hiyo, Tulia atakuwa absent, na powers zake zitapewa kwa muda kwa waliotajwa hapo, na atakaporudi ataendelea kama kawaida. Kuwa absent haimaanishi kiti kuwa vacant, ila kiti kuwa vacant inamaanisha automatically anayekikalia kuwa yupo absent
Hapana, usianze na absence ya Tulia. Anza na absence ya Ndugai. Kifungu kinachotumika hapa mahsusi (specifically) ni - Kf. 41 (1) (a) tayari nafasi ya Spika ni Vacant - automatically Tulia amekalia kiti cha Spika kwa muda (Amekaimu) akisubiri nafasi hiyo ijazwe. Hivyo kwa sasa yeye ana mamlaka ya Spika (Tulia amekuwa Kaimu Spika). Kwa nafasi yake ya uKaimu spika tayari inamkosesha vigezo vya kugombea uspika kwa kuwa Katiba imekataza mtu mwenye madaraka kugombea nafasi hiyo.
 
Tanzania hatuna katiba tuna maoni ya raisi,hivyo ni vyema angeulizwa Samia kuwa anachukuliaje Hilo swala
 
IMG-20220113-WA0003.jpg
 
Mjadala umeibuka nchini baada ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT iliyoachwa wazi baada ya Ndugai kujiuzulu. Hoja bishaniwa imekuwa ni iwapo Dk. Tulia ana sifa au la za kugombea nafasi hiyo.

Kwa mujibu wa Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge (Na. 3 ya 1988) hususani kifungu cha 41 (1&2), Dk. Tulia kwa sasa ni Kaimu Spika wa Bunge mpaka pale kiti cha Spika kitakapojazwa. Ibara ya 84 (2) ya Katiba ya JMT inaeleza kuwa mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote yaliyotajwa na Sheria ya Bunge, hana sifa za kugombea uspika. Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge inamtaja Dk. Tulia kwa sasa kuwa ni Kaimu Spika, hii ni ofisi/madaraka na imetajwa na Sheria ya Bunge. Dk. Tulia hana sifa za kugombea uspika, asijidanganye kuwa Ibara ya 84 (2) haijamtaja, asome Sheria namba ya 1988 aone kuwa kwa cheo chake cha Kaimu Spika amezuiwa kugombea uSpika. HANA SIFA

View attachment 2079266

Bila kupepesa macho Mtemi Andrew Chenge ndiye anayefaa kuwa Spika wa bunge
 
Afadhali kuna kitu kama hiki..japo hakupenda kabisa kijulikane kwa wengine
 
Hapana, usianze na absence ya Tulia. Anza na absence ya Ndugai. Kifungu kinachotumika hapa mahsusi (specifically) ni - Kf. 41 (1) (a) tayari nafasi ya Spika ni Vacant - automatically Tulia amekalia kiti cha Spika kwa muda (Amekaimu) akisubiri nafasi hiyo ijazwe. Hivyo kwa sasa yeye ana mamlaka ya Spika (Tulia amekuwa Kaimu Spika). Kwa nafasi yake ya uKaimu spika tayari inamkosesha vigezo vya kugombea uspika kwa kuwa Katiba imekataza mtu mwenye madaraka kugombea nafasi hiyo.
Kwa sasa Tulia ni Deputy Speaker (naibu Spika) na acting Speaker (kaimu Spika), wala sio Speaker. Angekuwa Speaker kusingekuwapo zoezi la kumtafuta Speaker tena !
 
Napata shida na hiki watu walichokikomalia kwa Tulia,

Huu mchakato unaoendelea ni wa kichama (Maccm) yanapambana kupata mgombea watakaye mdhamini. Kwa vyovyote mpaka muda huu Tulia anazo sifa kama mwanachama yeyote lakini ikitokea ccm wameteua jina la Tulia awe mgombea wao wa kiti Cha Uspika ni lazima Tulia ajiuzulu unaibu Spika ndipo apate sifa ya kuchukua fomu ya kuwa mgombea rasmi.

Sijui kinachowaumiza watu kuhusu Tulia mpaka hapo.
 
Watu wanataka mtu mpya. Sio damu ya zamani ya kunguni.
 
Mjadala umeibuka nchini baada ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT iliyoachwa wazi baada ya Ndugai kujiuzulu. Hoja bishaniwa imekuwa ni iwapo Dk. Tulia ana sifa au la za kugombea nafasi hiyo.

Kwa mujibu wa Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge (Na. 3 ya 1988) hususani kifungu cha 41 (1&2), Dk. Tulia kwa sasa ni Kaimu Spika wa Bunge mpaka pale kiti cha Spika kitakapojazwa. Ibara ya 84 (2) ya Katiba ya JMT inaeleza kuwa mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote yaliyotajwa na Sheria ya Bunge, hana sifa za kugombea uspika.

Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge inamtaja Dk. Tulia kwa sasa kuwa ni Kaimu Spika, hii ni ofisi/madaraka na imetajwa na Sheria ya Bunge. Dk. Tulia hana sifa za kugombea uspika, asijidanganye kuwa Ibara ya 84 (2) haijamtaja, asome Sheria namba ya 1988 aone kuwa kwa cheo chake cha Kaimu Spika amezuiwa kugombea uSpika. HANA SIFA

View attachment 2079266
Watu hawatak kufuata katiba
Huu ujinga ulianzishwa na mtu fulan sasa wengine wanaiga
Watanzania tusikubali huu uhuni
 
Watu wanataka mtu mpya. Sio damu ya zamani ya kunguni.
Issue kubwa iliyopo ni kama Tulia ana sifa ya kutia Nia kwenye Uspika ndani ya Chama au Hana. Hili ndilo linatusumbua wengi.

Kuhusu damu Mpya mbona wengi washatia Nia....!
 
Back
Top Bottom