UPDATES: Mahakama ya ICJ yaitaka Israel kuepusha Mauaji ya Raia katika eneo la Gaza

Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imetoa uamuzi unaoitaka Serikali ya Israel kuacha mashambulizi dhidi ya maeneo yanayokaliwa na Wapalestina pamoja na kuruhusu Misaada ya Kibinadamu kwa Waathiriwa wa Vita.

Hatua hiyo inafuatia Kesi iliyofunguliwa na Serikali ya Afrika Kusini katika Mahakama hiyo ikiituhumu Israel kuhusika na Mauaji ya Kimbari dhidi ya Watu wa Palestina.

Pia, Mahakama imeagiza Serikali ya Israel kuhakikisha inachukua hatua zote kuepuka vitendo vya mauaji, kujeruhi, vita yao kutoathiri Wanawake wanaojifungua na kutoa adhabu kwa wanaotoa maoni ya kuchochea Mauaji huko Gaza.

Aidha, Israel imetakiwa kuwasilisha ripoti katika Mahakama hiyo kuhusu utekelezaji wa maamuzi yote yaliyotolewa katika Hukumu iliyosomwa leo Januari 26, 2024.

========

Summary

The UN's top court rules that Israel must take all measures to prevent genocidal acts in Gaza, but stops short of ordering an immediate halt to operations

Judges at the International Court of Justice delivered an interim ruling in South Africa's genocide case against Israel

Riyad al-Maliki, the Palestinian foreign minister, says the judges ruled "in favour of humanity and international law"

Meanwhile, PM Benjamin Netanyahu says Israel will "continue to defend ourselves and our citizens while adhering to international law"

A verdict on South Africa's allegation of genocide is not expected for years; Israel strongly denies the accusation, calling it "baseless"

Meanwhile, US media report that the head of the CIA is due to meet Israeli, Qatari and Egyptian officials in the coming days to discuss a new potential ceasefire in Gaza

Israel's retaliatory attacks in Gaza have killed 25,900 people, mostly women and children, the Hamas-run health ministry says

The current war began after Hamas attacked southern Israel on 7 October, killing about 1,300 people, mostly civilians, and taking 240 hostages
 
Moderator tunaomba jicho lenu hapa.
 
Hawa magaidi wa Israeli inabidi wakamatwe wakanyee ndoo
 
Yani wewe kabisa ulikuwa unaamini kuna Mahakama yenye jeuri ya kuingilia oparesheni za Israel kuteketeza masalia ya magaidi?

Naamini ni ngumu sana kuipata mahakama yoyote itakayoitaka Israel isimamishe mashambulio.

Lile tendo la kigaidi la Hamas kuwaua raia wa Israel, kuwaua watu wa mataifa mbalimbali waliokuwepo Israel, kuwabaka mabinti na kisha kuwaua, limehalalisha mashambulizi ya Israel ya kila namna dhidi ya magaidi wa Hamas na mashabiki wao wote.

Ukienda nyumbani kwa mtu ukaua wanawe, maana yake umehalalisha na wa kwako kuangamizwa. Haijalishi wewe uliangamiza wachache, ujue wewe wa kwako wanaweza kuangamizwa wote. Na ndiyo kinachotokea huko Gaza. Magaidi ya Hamas waliwaua waisrael karibia 1,200; lakini mpaka sasa, Israel imewaangamiza wapalestina zaidi ya 26,000. Mpaka sasa malipo ya kumwua mwisrael mmoja imekuwa ni vifo vya wapalestina zaidi ya 20. Na namba inazidi kuongezeka.
 
Baada ya lile shambulio la kigaidi la Hamas, Netanyahu alisema kuwa Hamas will regret, na ndicho kinachoendelea.

Mpaka sasa wapalestina zaidi 26,000 wamethibitika kufa, na wengine zaidi 8,000 hawajulikani waliko lakini inaaminika wameangukiwa na majengo.

Wanasema kila mmoja anapoanzisha vita anajua atakavyoanza, lakini swali gumu ni je, unajua itakavyoisha? Sidhani Hamas walitarajia wangeishia hapa walipo leo, huku wakiwa hawajui bado mwisho utakuwaje.
 
ICJ Imeona ikemee lakini isitekwe na mihemuko wala jazba, kwa umakini imetambua uhuru na haki la taifa la Israel kujilinda ikizingatiwa kesho tarehe 27 January ni siku ya kumbukumbu ya kusikitisha mauaji ya kimbari ya Holocaust

Netanyahu: ICJ Court rightly rejected the demand to deny Israel its right to self-defense. Prime Minister Benjamin Netanyahu said the decision by the ICJ "rightly rejected the outrageous demand to deny" Israel the right to basic self-defense to which it is entitled as a country.

27 January 2024
HOLOCAUST MEMORIAL DAY
Remembers those that died or whose lives were changed beyond recognition during the holocaust, and all genocides that followed.

Holocaust memorial Day is marked on 27th January to remember all those who were murdered during the Holocaust. The 27th of January marks the anniversary of the liberation of Auschwitz-Birkenau in 1945.

Auschwitz-Birkenau was the largest of all the Nazi death camps, where over 1.1 million men, women and children were murdered, over 90% of them being Jewush.

Between 1941 and 1945, six million Jewish men, women and children were murdered by the Nazis and their collaborators, resulting in the genocide of the world' Jewish population. Their attempt to murder all the Jews in Europe shook the foundation of civilisation.

Holocaust Memorial Day is a time when we seek to learn the lessons of the past and recognise that genocide does not just take place on its own - it's a steady process which can begin to grow if seeds of discrimination, racism, and hatred are not acknowledged, prevented and destroyed. There is still much to do to create a safer future, and the responsibility lies with all of us.
 
Hotuba za miaka iliyopita kumbukizi ya kila tarehe 27 January mauaji ya kimbari Holocaust dhidi ya wayahudi miaka 75 iliyopita

António Guterres, Secretary-General of the United Nations, on the International Day of Commemoration in Memory of the Victims of the Holocaust (27 January 2020).

View: https://m.youtube.com/watch?v=ayjLIGewrhw
 
Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imetoa uamuzi unaoitaka Serikali ya Israel kuacha mashambulizi dhidi ya maeneo yanayokaliwa na Wapalestina pamoja na kuruhusu Misaada ya Kibinadamu kwa Waathiriwa wa Vita.

Hatua hiyo inafuatia Kesi iliyofunguliwa na Serikali ya Afrika Kusini katika Mahakama hiyo ikiituhumu Israel kuhusika na Mauaji ya Kimbari dhidi ya Watu wa Palestina.

Pia, Mahakama imeagiza Serikali ya Israel kuhakikisha inachukua hatua zote kuepuka vitendo vya mauaji, kujeruhi, vita yao kutoathiri Wanawake wanaojifungua na kutoa adhabu kwa wanaotoa maoni ya kuchochea Mauaji huko Gaza.

Aidha, Israel imetakiwa kuwasilisha ripoti katika Mahakama hiyo kuhusu utekelezaji wa maamuzi yote yaliyotolewa katika Hukumu iliyosomwa leo Januari 26, 2024.

========

Summary

The UN's top court rules that Israel must take all measures to prevent genocidal acts in Gaza, but stops short of ordering an immediate halt to operations

Judges at the International Court of Justice delivered an interim ruling in South Africa's genocide case against Israel

Riyad al-Maliki, the Palestinian foreign minister, says the judges ruled "in favour of humanity and international law"

Meanwhile, PM Benjamin Netanyahu says Israel will "continue to defend ourselves and our citizens while adhering to international law"

A verdict on South Africa's allegation of genocide is not expected for years; Israel strongly denies the accusation, calling it "baseless"

Meanwhile, US media report that the head of the CIA is due to meet Israeli, Qatari and Egyptian officials in the coming days to discuss a new potential ceasefire in Gaza

Israel's retaliatory attacks in Gaza have killed 25,900 people, mostly women and children, the Hamas-run health ministry says

The current war began after Hamas attacked southern Israel on 7 October, killing about 1,300 people, mostly civilians, and taking 240 hostages
Kila mwenye akili ataunga mkono agizo hili.

Vita siyo suluhisho
 
Uamuzi nzuri sana huu, ila Israel ina historia ya kupuuza maazimio mengi ya kimataifa bila kuchukuliwa hatua yeyote tena wenye nguvu (nchi za magharibi na Marekani) wamekuwa wakitumia ushawishi wao kuilinda Israel inapokiuka maazimio hayo.
 
Mahakama ya haki ya kimataifa, ICJ imeishindwa kuilazimisha israel kusitisha mapigano huko Gaza, na badala yake imeiamulu Israel ipunguze tu vifo vya raia wasio na hatia.

Kesi hiyo ilipelekwa na nchi ya Afrika Kusini, ikiituhumu Israel kusababisha mauaji ya kimbali huko ukanda wa Gaza.

Nchi za kiarabu zimeituhumu mahakama hiyo kwa kushindwa kuilazimisha Israel kusitisha vita ambavyo mpaka sasa vimeua Wapalestina 25,000 wakiwemo wapiganaji 9,000 wa kipalestina wa HAMAS. Kwa mjibu wa takwimu za wizara ya afya ya Gaza inayoongozwa na HAMAS, zaidi ya watoto 10,000 tayari wameshauawa.

Provisional ruling calls for emergency measures, says Israel must ‘prevent and punish’ incitement to commit genocide. ICJ fails to order ceasefire, but says Israel must prevent genocide in Gaza
Screenshot_20240126-194333.jpg
 
Ni nchi gani isingejitetea dhidi ya ugaidi wa Oktoba 7? Hao SA wajinga; sifa za kipumbavu ndio wamejimaliza hivyo. Baraka za mbinguni watazisikia tu no wonder kiuchumi wameporomoka beyond maelezo.
 
Hii ruling ya ICJ kimsingi haibadili chochote kwenye uwanja wa vita wa sasa hata kinadharia tu.

Hakuna ceasefire. Vita inaendelea.

Hata baadhi ya vipengele kama suala la kuruhusu misaada ya kibinadamu (humanitarian aid) kuingia Gaza tayari linafanyika.
 
Ni nchi gani isingejitetea dhidi ya ugaidi wa Oktoba 7? Hao SA wajinga; sifa za kipumbavu ndio wamejimaliza hivyo. Baraka za mbinguni watazisikia tu no wonder kiuchumi wameporomoka beyond maelezo.
Umesoma mpaka darasa la ngapi?
 
Back
Top Bottom