Uliza chochote kuhusu Rwanda

Uliza chochote kuhusu Rwanda

Hizi pisi sio za kuziacha kabisa huko,lazima nije kuzitafuna
Screenshot_20250317_232115.jpg
 
Chief nimerudi tena, natamani kujua kwa nini Rwanda hakuna police traffic ktk barabara zake zote????
 
Chief nimerudi tena, natamani kujua kwa nini Rwanda hakuna police traffic ktk barabara zake zote????
1. Kazi zao kubwa zilikuwa kuhakikisha mwendo unaendana na mabango. Kwa sasa, kuna camera, ukikiuka mnamalizana hapo hapo. Hiyo ilipunguza malalamiko ya kuonewa na kula rushwa.

2. Magari hasa ya mizigo na abilia, yamefungiwa mitambo ya kutoruhusu speed kubwa, hivyo, hawana haja.

3. Mfumo wa electronic, unawezesha mdaiwa kujikumbusha kulipa. Hawana muda wa kukimbizana na mmiliki wa chombo cha moto. Wapo tu wachache, na wakikuotea na kosa, hamna cha shika maji na soda.

3. Watu wameelimishwa na wameelimika kuhusu matumizi mazuri ya barabara. Traffic wanakuwepo pale wanapokuwa na sababu ya kukumbushia au kukiwa na jambo la dhalula.
 
kuna ukweli wowote kuwa wa Tutsi Rwanda na wa wanyankore wa Uganda ni asili moja???
 
Si kwamba ni wao tu, hata wa Bongo ni hivyo hivyo. Mwanamke ukimdhalau na kumuonyesha kuwa si chochote, utajut. Ni wavumilivu sana.tena sana, Ila, akisema naondoka, ujue ndo mazima. Wala si kwamba atakufanya kitu kibaya.
Hilo jambo dogo mkuu, nikioa ntajitahd kuplay part yangu kama mme.
 
Ni kweli Rwanda ina uwezo wa kijeshi kupiga mataifa yote ya Kusini na mashariki mwa Afrika?
Haha... hilo hata mimi ninaweza kulijibu Rwanda uwezo huo hana.

Rwanda ana uwezo tena bila ya wasiwasi wa kuipiga na kuichakaza Burundi🇧🇮
 
Kumbe inkotany unakubali iliua sio. Lakin hayaitwi mauaji ya kimbari ni mauaji sahihi. Ila walioa muua rais baada ya kutoka kwenye mazungumzo ya aman walitakiw wapongezwe

Punguza ujuaji. Kafuatilie chanzo Cha kifo Cha Habralimana. Habralimana kauawa na Wahutu wenye msimamo mkali baada ya kukubali kuingia
 
Haha... hilo hata mimi ninaweza kulijibu Rwanda uwezo huo hana.

Punguza ujuaji. Kafuatilie chanzo Cha kifo Cha Habralimana. Habralimana kauawa na Wahutu wenye msimamo mkali baada ya kukubali kuingia
Utahangaika nae weeee, mwisho utachoka. Wapo watu ambao mpaka leo bado wanaumia, watu wazima, walijua mali za watu watamiliki wao, vijana, walijua watarithi madaraka kwa wazazi wao, na ambao hawakuwepo, bado wanalishwa matango kuwa Rwanda na watu wake ni kitu kibaya. Waache wakazane, uzuri hawana nafasi hiyo tena.
 
1, kumpa binti wa shule mimba kwa Rwanda ni hukumu kiasi gani???

2,Umri wa binti kuolewa kwa mujibu wa Katiba ni umri gani???
3, bado kuna sheria ya kumkamata binti ki nguvu na kumtia ndani ya gari kisha mwanaume kumtwaa kuwa mkewe kisha baadae ndio mwanaume kwenda kwao binti kujitambulisha?? Na je kama binti hajaridhishwa kuolewa na mwanaume huyo huchukua hatua gani za kisheria???
 
Ngoja na mimi nichangie kidogo "Betason" , Tanzania mara ya mwisho imepigana vita 1978, Hii ni zaidi ya miaka 40 iliyopita. Askari aliekuwa na miaka 20-30 ameshastaafu. Kwa ufupi ni kwamba askari wote wa sasa wa jwtz hawajapigana vita yoyote. Jeshi la Rwanda halijawahi kutulia liko vitani tangia mwaka 1994 mpaka leo hii.
Hapa EA kuna nchi imefanya mission nyingi kwa mafanikio kuzidi TZ?
 
So unaachivu nini kama watu wanakaa na kisasi si ni suala la muda tu yatatokea yale yale. Yaan kundi kubwa la watu wakae nje ya maamuzi halafu ujione uko salama. Unatengeneza aman bandia kwa kuwatisha watu. Ikotany ikiongozwa na kaberebe imeua wahutu milion 4 lakin kwasababu kwasasa ulaya na marekan iko upande wenu watu wanawaangalia tu. Lakin pia chanzo cha genocide nani asiyejua aliyesababisha kifo cha rais marehem
Key word "amani bandia". Namna alivyowagandamiza wahutu, akitoka au akifa mlipuko utakuwa ni mkubwa kuliko genocide ya 1994
 
Mimi ni Dereva wa Truck, knowledge yangu kuhusu Rwanda inatokana na mimi kwenda Rwanda Burundi DRC Uganda Kenya Malawi Zambia nk. mara kwa mara, wewe ulijifungia Wilayani kwenu usiwe rahisi ku judge
Wewe ndo Mtutsi kabisa na huwezi hata kujificha....!
Mwenxako aliyeanzisha Mada mpaka Sasa tunamwona ni Mnyarwanda tu, anajibu maswali bila kuona hisa zake zipo upande Gani..!!

Kwako wewe ni tofauti, kupitia Comments zako, mtu anaejifunza anaweza kuelewa Kwa uchache Mtutsi ni mtu wa Aina gani.
 
1, kumpa binti wa shule mimba kwa Rwanda ni hukumu kiasi gani???

2,Umri wa binti kuolewa kwa mujibu wa Katiba ni umri gani???
3, bado kuna sheria ya kumkamata binti ki nguvu na kumtia ndani ya gari kisha mwanaume kumtwaa kuwa mkewe kisha baadae ndio mwanaume kwenda kwao binti kujitambulisha?? Na je kama binti hajaridhishwa kuolewa na mwanaume huyo huchukua hatua gani za kisheria???

1. Wanachoangalia ni umri: -Under 14 akipewa akidinyana na under 14 mwenzake, kuna gereza la watoto, huko wanaendelea na shule, si kama mtu mzima. Mara nyingi hawamalizi vifungu, kila mwaka raisi hutoa msamaha, hivyo uadilifu wake ndo utamfanya awahi kutoka .

a.) Kama mtoto ni under 14, hukumu ni kifungu cha maisha
b.) Kama mtoto ni under 18, nadhani kati ya 20 na 25 jera. Ila kama kitendo hicho kimemuachia ulemavu wa kudumu au kumuambukiza magonjwa yasiyo na tiba, debe maisha yako yote.

2. Kwa mjibu wa katiba ni 21.
Ila kwa sasa kama kuna sababu zinazoeleweka, uongozi wa wilaya unaweza kuruhusu ndoya kwa miaka 20.

3. Hilo halipo tena. Ikikutokea, basi ni kama kuteka kwa nia mbaya, na adhabu yake si chini ya miaka 10.
 
1, kumpa binti wa shule mimba kwa Rwanda ni hukumu kiasi gani???

2,Umri wa binti kuolewa kwa mujibu wa Katiba ni umri gani???
3, bado kuna sheria ya kumkamata binti ki nguvu na kumtia ndani ya gari kisha mwanaume kumtwaa kuwa mkewe kisha baadae ndio mwanaume kwenda kwao binti kujitambulisha?? Na je kama binti hajaridhishwa kuolewa na mwanaume huyo huchukua hatua gani za kisheria???
Hiyo no. 3 utafungwa bro, haki za binadamu zipo kila mahali sikuhizi
 
Back
Top Bottom