Uliza chochote kuhusu Rwanda

Uliza chochote kuhusu Rwanda

Majibu yamejitisheleza sana mkuu.

Hivi oolice wahuki vipi??wapo kama bongo wakikudaka wanataka rushwa,ukikaza wakubambikie kosa?

Kuna swali kangu oia hujanijibu kuhusu kagame kuweka masoy kila sehem,maana naskia ukimsema vibaya tu jamaa ni kosa.

Na mnatumia mobile money?
Police wastaarabu sana, wana heshima sana, na wala rushwa, watakula ya raia siyo ya mgeni. Na mpaka ale hiyo rushwa, uwe na uhakika wa zaidi ya asilimia mia kuwa hiyo hela haiongei(kutoa taarifa). Maana ukidakwa, kifungo na kufukuzwa. Na kule ukifungwa miezi 6, kuna njia nyingi za mafanikio umejibania mazima.

Spy ndiyo wapo kila kona. Na wewe unaongea yanayokuhusu, yasiyokuhusu unaachana nayo. Hao unaowaita maspy ujue wana uzoefu wa kukuchota maneno mwanzo mwisho, na kuyachambua. Ikionekana unalopoka tu, utaonywa na maisha yataendelea. Ila, ikionekana una connection na watu furani, kaa ubanwe utajuta kulopoka.

Mobilke money ndiyo, na huduma nyingi kwa sasa zipo kimtandao.
 
Una chochote unachojiuliza kuhusu Rwanda?

Una chochote unachotaka kujua kiundani zaidi?

Una chochote ulichokisikia na bado umebaki njia panda!!

Iwe jambo la maana, iwe utani, iwe siasa, chochote, uliza utajibiwa hapa hapa.

Rwanda ndo nchi pekee barani Afrika, ukiingia huulizwi utakaa siku ngapi na unaenda kufanya nini. Kama unataka, funga mizigo yako hamia, kama una biashara yako, fanya, kama una ujuzi wako, omba ajira, ukipewa hakuna wa kuja kuuliza mbona huyu si mnyarwanda, kasoro serikalini tu. Ila na penyewe ikiwa una ujuzi ambao wanyarwanda hawana, kupata ajira ni simple.
Jeuri ya Kagame inatokana na nguvu gani aliyonayo?
 
Asante kwa taarifa mkuu.
Ngoja nimake some cash nije nitumie na watoto wazuri huko,wabongo wamenichosha
 
Eeh nitalia tena? kwani atachukua hatua gan mkuu hebu nitonye.. niwe na tahadhari
Si kwamba ni wao tu, hata wa Bongo ni hivyo hivyo. Mwanamke ukimdhalau na kumuonyesha kuwa si chochote, utajut. Ni wavumilivu sana.tena sana, Ila, akisema naondoka, ujue ndo mazima. Wala si kwamba atakufanya kitu kibaya.
 
Tatizo ulilo nalo halina tofauti na kinachoendelea mashariki mwa Congo.

Je, ni nini hasa kinachopelekea kudai kwamba ni wanyarwanda? Unamaanisha uongozi wa nchi yako ni dhaifu kiasi cha kuruhusu hayo? Kwa kifupi, uhamiaji, usalama wa taifa, hawajui wanachokifanya?

Ebu weka akiba ya maneno, nchi haingozwi kama serikali ya mtaa.

Uwepo wao pengine, kama hawana madhala kiusalama, nilihisi ungekuwa faida ya ziada. Wanapolima, wateja ni watanzania. Kila kinachofanyika, ni kwa manufaa ya nchi.

Je, wasiwasi wako, ni kwamba na wao wanapata chance ya maisha?
Mkuu Hongera sana kwa kujibu kwa ustahimilivu pamoja na kukutana na maswali mengine ya hovyo. Ni kawaida mpakani jamii kuchanganyikana. Sijui hofu hii ya kuwanyanyapaa wanyarwanda ikitoka wapi
 
Unajua, Rwanda miaka ya 1994 hadi 2000 na kitu, mnyarwanda yeyote alikuwa akitambulika kama muuaji.
Kumbuka, baada ya wakimbizi kurudishwa kwao, wapo walioofia maisha yao, na kuwa majambazi. Hivyo,ilikuwa wakikamatwa, sura ya ujambazi na mauaji walikuwa wakivishwa wanyarwanda wote. Kwa hiyo, mpaka leo hii, ukimwambia mtu kwamba ni wauaji, kama hana muda wa kutafuta taarifa za uhakika, akisikia we ni mnyarwanda, lazima utajuta.
Ndo maana sasa serikali zote popote hujitahidi kuhakikisha issue ya ujirani mwema inazaa matunda, upende usipende muingiliano wa watu lazima hauepukiki. Hasa pale unapokuta upande mmoja una fursa za maisha kuliko mwingine.
 
Uko Sawa. Msalimie PK.
 
Una chochote unachojiuliza kuhusu Rwanda?

Una chochote unachotaka kujua kiundani zaidi?

Una chochote ulichokisikia na bado umebaki njia panda!!

Iwe jambo la maana, iwe utani, iwe siasa, chochote, uliza utajibiwa hapa hapa.

Rwanda ndo nchi pekee barani Afrika, ukiingia huulizwi utakaa siku ngapi na unaenda kufanya nini. Kama unataka, funga mizigo yako hamia, kama una biashara yako, fanya, kama una ujuzi wako, omba ajira, ukipewa hakuna wa kuja kuuliza mbona huyu si mnyarwanda, kasoro serikalini tu. Ila na penyewe ikiwa una ujuzi ambao wanyarwanda hawana, kupata ajira ni simple.
Hako ka Nchi kana nini Cha ziada zaidi ya Wanawake wenye visimi virefu
 
Back
Top Bottom