Uliza chochote kuhusu Rwanda

Uliza chochote kuhusu Rwanda

Hao wahutu Milioni 4 walitoka wapi? Acheni mihemko.
Rudia hesabu zako vizuri,tafuta rekodi za sensa ya mwisho kabla ya 1994.

Basi,kama wauaji wa wautu wameungwa mkono na nchi hizozisizotambua uhalali wa maisha ya watu, ni vyema.
Naona umekuja hapa kueneza propaganda za watutsi. Hiv kuna mtutsi yeyote amekamatwa kwa mauaji ya genocide. Au ikotany walikuwa wanafanya nini
 
Naona umekuja hapa kueneza propaganda za watutsi. Hiv kuna mtutsi yeyote amekamatwa kwa mauaji ya genocide. Au ikotany walikuwa wanafanya nini
Za kitusti uachane nazo, chagua za kihutu. Mututsi akamatwe na nani kwa mauaji ya Genocide? Mlikuwa mkiwalenga hao hao, na leo ndo mnataka wakamatwe. Pole yako. Haitatokea tena mnyarwanda kuulizwa achague aina ya kifo, haitatokea tena alipie kifo. We kula ulivyotafuta kwa jasho lako au kwa msaada wa mawazo ya kijinga, mengine yaache kama yalivyo, maana huna la kufanya.
 
We ni binadamu tu wala usiisemee kesho. Nachokuuliza ikotany iliua watu wangapi kulipiza kisasi au unafikir watu hawajui. Huwez kuutoa ubaguzi kwa kuendeleza ubaguz.
 
We ni binadamu tu wala usiisemee kesho. Nachokuuliza ikotany iliua watu wangapi kulipiza kisasi au unafikir watu hawajui. Huwez kuutoa ubaguzi kwa kuendeleza ubaguz.
Hahahahahaha kumbe, akili zako ni kwamba Inkotanyi zilitakiwa kuja kupongeza interahamwe kwa kuua ndugu zao eh! Pole yako. Hayo ya ubinadamu na kesho, naelewa. Na wauwaji wa kwanza wangelijua hilo au wangekuwa na wamazo kama hayo, basi wasingeua wenzao bila hatia.
Kwani, hizo nkotanyi unazoziongelea, za kuua mwaka 1994, kuanzia 1957, hao wahutu walikuwa wakifanya nini? Historia usiianzie kati,anza nayo mwanzo kabisa.
Haya, ndo maana sasa FDLR bado na yenyewe inataka ikalipize kisasi !
 
Kumbe inkotany unakubali iliua sio. Lakin hayaitwi mauaji ya kimbari ni mauaji sahihi. Ila walioa muua rais baada ya kutoka kwenye mazungumzo ya aman walitakiw wapongezwe
 
Huyo mtu anayesema Rais wa Rwanda ana roho mbaya ni chizi. Rais wa Rwanda anapendwa na wananchi wake mia kwa mia. yeye ameiendeleza nchi sawaswa katika sekta zote. kama una wivu basi jifungie ndani ya chumba ujinyonge
 
. Karusisi: Hakuna mnyarwanda kwenye cheo chake ni mungu-mtu. Amekuwepo, ametekeleza majukumu yake, na wengine wanahitaji kupata uzoefu.
Sijui kitu gani unachokiita kutimua: Je, kama anakopelekwa kunahitaji mwenye uzoefu alio nao, au anatakiwa pia na yeye ajifunze mengine, atakuwaje ametimuliwa!!! Gashugi nae ana haki ya kuwa na madaraka kwenye nchi yake, kama amekidhi vigezo. Katoka sehemu moja, kahamishiwa kwingine, na baada ya muda atakabidhiwa mwingine.

Rwanda haiogopi kuwekewa vikwazo. Ni kweli msaada kama upo, ni msaada. Ila usipokuwepo, maisha yataendelea.
Mwaka 1994 Rwanda iliishi kwa msaada wa nani? Mara mia Tanzania iliyopokea wakimbizi, ikawapa hifadhi na mahitaji mhimu,itaheshimika miaka mia kuliko hao wa mbali, ambao misaada yao ina masharti.

Hivi, hao mnawaona wajinga,ndo wana hela za kuchezea kutoa misaada? Kodi za raia ndo ziende kuchezewa?
Marekani imeisaidia Ukraine kwenye vita vyake. Kilichofuata ni mfano hai wa hiyo misaada.

Missada hiyo unayoisema, chun

GDP ipo kwenye Dola elfu moja na kitu
Hiyo sasa ni per capita income. VP umeshaolewa
 
1- Ni Frws ngapi zinatosha kama mahari nikienda kuoa rwanda? nipe kiwango cha chin na juu.

2- Na taratibu zipi itatakiwa nifuate ili nioe mwanamke rwanda?

Asiri yang kwa mbali hiyo
 
Hivi jiji la chigali bado halina shopping mall? Kama ile ya mlimani city
 
1- Ni Frws ngapi zinatosha kama mahari nikienda kuoa rwanda? nipe kiwango cha chin na juu.

2- Na taratibu zipi itatakiwa nifuate ili nioe mwanamke rwanda?

Asiri yang kwa mbali hiyo
1. Rwanda ukimpata mwanamke anaejielewa,mwenye malezi, huwezi kuset kiwango. Wewe mwenyewe unapanga kulingana na uwezo wako. Familia ya mwanamke, inakutambua kama mwanao na wewe pia, hivyo, ikiwa mnaanzisha familia, wanaamini majukumu yanaanza upya, hivyo hawawezi kuacha mende kuteseka. Kwa hiyo, wewe na uliemridhia, mnaweza ongea, yeye ujumbe atafikishia wazazi, then wewe, washenga wako wataongea kutokana na ulichokubaliana na mkeo mtarajiwa. Labda ukikutana na bishoo wa kisasa anaijiona amesoma, ndo atakwambia mi ni msomi ujue, na mahari yangu si chini ya milioni mbili(Tshs 5,000,000). Hapo ni wewe mwenyewe. Kama unataka mke bora, ni simple na huenda isivuke laki 5. Ila kama unataka bora mke, hata milioni 10.

2. Kama familia yoyote,inatakiwa ijue mtoto wao anaenda wapi. Je, aendako atakuwa salama? Hapo kulingana na uwezo ulio nao, unaweza fanyia taratibu za ndoa huko na ukamleta, kikubwa uelewe kwamba kuna watu kadhaa, yeye mwenyewe atakusaidia kujua idadi, kulingana pia na uwezo mlio nao, wawasindikize mpaka makao mapya yenu.
Taratibu za posa na vitu gani, Rwanda havipo. Kama mmeridhiana, mtatambulishana (hasa yeye atakutambulisha kwa wazazi na watu wake wa karibu). Huko hakunaga longo longo nyingi, ukiamuwa kama si muoga, unawaface wazazi mnaongea, au unamtafuta mtu mzima, kama zilivyo mila. Baada ya kumtolea mahari, ndoa ya kiserikali ndo mhimu sana kwa wengi. Ikiwa wewe unataka kukaa Rwanda, mtafunga ndoa na mtakaa. Ukitaka kumchukua kwenda kwenu, ni wewe tu. Ukitaka ndoa mkafungie TZ, ni wewe tu. Hapo ukifungia kule, documents unapeleka uhamiaji kutambulisha mgeni, rekodi zinawekwa unaingia.
Rwanda, unachotakiwa kama utataka kukaa, ni paspoti yako tu, wala huulizwi unaenda kufanya nini au kukaa muda gani, ukitaka, hamia mazima. Passport ikiisha muda, toka ukarenew.

Kama sijaeleweka popote niulize
 
Hivi jiji la chigali bado halina shopping mall? Kama ile ya mlimani city
Kuna maduka tu si Shopping Mall. Kwa huko ndo zinaitwa SuperMarket. Mlimani city ile ni nchi mkuu. jengo lenyewe halipo.
Shoppers, Mikocheni, kubwa sana.

Kitu Rock City mall, hukioni huko

Maisha yenu tofauti sana na ya kule. Kina Luchelele, Jembe ni Jembe, Malaika, Coco Beach, Tunza Beach, Sea Cliff na vingine hupati.

Mna raha sana, sema hamjui kutumia vitu mlivyo navyo.
 
jibu no.2 nitakupinga kidogo, uzoefu wa vita wa jwtz ni mkubwa kuliko hata wa rwanda, nisiingie sana ndani ila ukweli huo unaujua ww mwenyew..hilo jeshi la rwanda limepigana vita gani zaidi ya hayo makundi ya uasi?? toa mfano jeshi la rwanda limeshinda vita gani
Mimi ni mtanzania ila nakupinga kwa sababu uzoefu upo zamani na si wa kisasa. Miaka ya 80 tulikuwa na jeshi imara maana tulikuwa na uzoefu ila kwa sasa hapana. Tumeshindwa kwenda msumbiji kupambana na magaidi waliowaua watanzania waliokuwa wanaishi huko ? Rais marehemu JPM alikuwa analindwa na wanajeshi wa Rwanda. Tumeangalia kanali wa jeshi akikimbia vita Goma kupitia Rwanda. Haya ni matokeo ya serikali yetu kubweteka kwa muda mrefu. Amiri mkuu wa majeshi naliambia jeshi lijiandae na uchaguzi 2025? Mabasi ya Jeshi yanatumika kubeba madiwani wa CCM ? Hatuna jeshi kwa sasa jeshi tuliikkuwa nalo miaka ya 80.
 
Hhahahahahaha niangue kicheko kwanza.

Upuuzi wa wahutu na watutsi utauona mtandaoni tu. Watu nchini hawana hayo mambo. Na mgeni ana thamani kuliko raia sasa,ulijue hilo. Police na vyombo vingine vya usalama vipo makini zaidi ya sana,

Itategemea na utakaa muda gani. Lodge za kibongo kama ya elfu 20, kule ni Hoteli ya kifahari huiwezi. Inayojitahidi kule, utapata kama elu 20 au 15 ya kitanzania, lakini ni kama gesti bubu. Maji mnayonunua Dar kwa sh 700, ukiwa Rwanda ni kama Sh 2000. Kwa hiyo, gharama za vitu zimechangamka tofauti na Tanzania.
Sio gharama sana,sasa nikitaka mfano kujichanganya kama bar,na kupata pisi kali hapo vipi?

Na kissahili au english si inaoanda kidogo?

Pia naskia kagame ameweka ma spy kila sehem,vipi mgeni haiwezi kuniletea shida yoyote?
 
1. Rwanda ukimpata mwanamke anaejielewa,mwenye malezi, huwezi kuset kiwango. Wewe mwenyewe unapanga kulingana na uwezo wako. Familia ya mwanamke, inakutambua kama mwanao na wewe pia, hivyo, ikiwa mnaanzisha familia, wanaamini majukumu yanaanza upya, hivyo hawawezi kuacha mende kuteseka. Kwa hiyo, wewe na uliemridhia, mnaweza ongea, yeye ujumbe atafikishia wazazi, then wewe, washenga wako wataongea kutokana na ulichokubaliana na mkeo mtarajiwa. Labda ukikutana na bishoo wa kisasa anaijiona amesoma, ndo atakwambia mi ni msomi ujue, na mahari yangu si chini ya milioni mbili(Tshs 5,000,000). Hapo ni wewe mwenyewe. Kama unataka mke bora, ni simple na huenda isivuke laki 5. Ila kama unataka bora mke, hata mi
umenijib vyema sana nashukru umenipa mwanga..
Najipanga mwakani nikajitwalie jiko rwandaa.

Kataa ndoa itatuua
 
Sio gharama sana,sasa nikitaka mfano kujichanganya kama bar,na kupata pisi kali hapo vipi?

Na kissahili au english si inaoanda kidogo?

Pia naskia kagame ameweka ma spy kila sehem,vipi mgeni haiwezi kuniletea shida yoyote?
1. Wewe ni wewe tu, popote nenda, mgeni popote anapokelewa vizuri tu. Na wewe usizidishe mazoea,ikiwa huna mtu unaemuamini karibu na wewe, maana kuwa wastaarabu,haimaanishi huwezi kuangukia kwa tapeli. Japo hakuna mtu wa kukudhuru kwa lolote.

2. Bar, wahudumu duniani kote ni kama wafanyakazi wa ndani mkuu. Hasa huko ukiwa mstaarabu utajilia vyako kiulaini. Ukikumbana na kulumbembe, litakuchaji kama elfu 3,5, ni maelewano tu.
Ila ukimpata mstaarabu, wewe mwenyewe ndo wa kujiongeza na kujua unampa nini.

3. Kuhusu lugha, watakuelewa tu kiubishi ubishi. Mkishindwa kuelewana utashikwa mkono upelekwe counter au jikoni usonte kidole unachokitaka.

Kuhusu uzinzi wako, unachora ramani ya kusini mwa jangwa, ishara zinatumika mnamalizana.

Kikubwa kumbuka tu kuwa na kwenyewe Ngoma ipo.
 
umenijib vyema sana nashukru umenipa mwanga..
Najipanga mwakani nikajitwalie jiko rwandaa.

Kataa ndoa itatuua
Rwanda ukweli usemwe kama ulivyo, wanawake wa huko na wa Kibongo mjini ni tofauti. Ukimjali na kumheshimu, akapata mahitaji yake, hata ulale nje miaka yako yote utajua mwenyewe. Ila ukijichanganya akagundua, utalia.
 
1. Wewe ni wewe tu, popote nenda, mgeni popote anapokelewa vizuri tu. Na wewe usizidishe mazoea,ikiwa huna mtu unaemuamini karibu na wewe, maana kuwa wastaarabu,haimaanishi huwezi kuangukia kwa tapeli. Japo hakuna mtu wa kukudhuru kwa lolote.

2. Bar, wahudumu duniani kote ni kama wafanyakazi wa ndani mkuu. Hasa huko ukiwa mstaarabu utajilia vyako kiulaini. Ukikumbana na kulumbembe, litakuchaji kama elfu 3,5, ni maelewano tu.
Ila ukimpata mstaarabu, wewe mwenyewe ndo wa kujiongeza na kujua unampa nini.

3. Kuhusu lugha, watakuelewa tu kiubishi ubishi. Mkishindwa kuelewana utashikwa mkono upelekwe counter au jikoni usonte kidole unachokitaka.

Kuhusu uzinzi wako, unachora ramani ya kusini mwa jangwa, ishara zinatumika mnamalizana.

Kikubwa kumbuka tu kuwa na kwenyewe Ngoma ipo.
Majibu yamejitisheleza sana mkuu.

Hivi oolice wahuki vipi??wapo kama bongo wakikudaka wanataka rushwa,ukikaza wakubambikie kosa?

Kuna swali kangu oia hujanijibu kuhusu kagame kuweka masoy kila sehem,maana naskia ukimsema vibaya tu jamaa ni kosa.

Na mnatumia mobile money?
 
Rwanda ukweli usemwe kama ulivyo, wanawake wa huko na wa Kibongo mjini ni tofauti. Ukimjali na kumheshimu, akapata mahitaji yake, hata ulale nje miaka yako yote utajua mwenyewe. Ila ukijichanganya akagundua, utalia.
Eeh nitalia tena? kwani atachukua hatua gan mkuu hebu nitonye.. niwe na tahadhari
 
Back
Top Bottom