imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,403
Ujirani mwema sio kutumiana majeshi tu, ila ilitakiwa Rwanda itume wataalamu wa kutengeneza Ikivuguto huku Tanzania kwenye hizi jamii za Wafugaji kama Wasukuma Wanyaturu nk. Ili Watu wajipatie kipato na pia Wananchi tuburudike na Ikivuguto.Lakiini naamini, ukijifunza kutengeneza na ukawa na mtaji wako, Tanzania ngombe wapo wa uhakika.
Hasa ukizingatia nyie huko, mnao ngombe wanaokula majani ya asili,
Maziwa yetu utakuta yamejazwa maji hadi ile ladha ya Maziwa inapotea kabisa.