Kiukweli,ukiachana na wasomi na wanasisa wenye masirahi yao binafsi, raia wa kawaida wanampenda sana.
Mpaka leo, kila mmoja hujiuliza nani anaweza kuitawala Rwanda, kwa sababu Mr. tall hana hisia. Umekosea, hajali we ni nani, na una nini, unachostahili ndo utakachokipata.
Alipoingia madarakani, au RPF iliposhika nchi, kulikuwa na sababu 1000 za kulipisa kisasi.
Ni kweli wapo waliolipiza, sikatai. Lakini chama chake kingekuwa na nia ya kuua kila mhutu, ilikuwa rahisi.
Hivyo, wanaoitwa watutsi waliookolewa, lazima ndo chaguo lao.
Wahutu walionusurika, watoto wao wakasoma, waliouwa wakasamehewa, ni mambo ambayo ni kama hayawezekani.
Hivyo, Rwanda haina upinzani wa kufanya jambo lolote la maana.
Ukweli usemwe kama ulivyo, uongozi wake ni wa haki kwa walala hoi, ila mwiba kwa wapigaji. Ndo maana jambo hilo litalalamikiwa na watu wazito, ila raia wa kawaida hata ukiwambia kaja Yesu, sidhani