Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Ooopppss sorry chama sikujua uko kwenye kile chama chetu kitukufu kinachojenga nchi numberi wani chama kongwe, chama cha wenye nchi na walio nacho
 
Last edited by a moderator:

Aloo mbona hizi zitatokea!

Africa-Nigeria-conflict-08012012.jpg
 
aksante sana mkuu , hlf ukikutana na mimi unanafasi kubwa sana ya kukutana na Evelyn Salt pia....... nitakutafuta.

hlf huyo Invisible achana naye hutaweza kumuona kamwe.........

kwani Invisible ni robot kweli nini?
mi mwenyewe natamani kumuona akikonyeza live, namuonaga tu anakonyeza kwenye avatar...
 
Last edited by a moderator:
leomimi aisee. Nitamchukulia kwa jinsi atakavyo taka au atakavyokua.nitampa heshima atayostahili.msichana,mwanamke,au mke wa mtu.
 
tatizo wewe ulikuwa unanitafuta wakati tayari ushaingia kwenye kile kiwanja aise na kile duh inabidi uingie kwa kunyata na kama una kavtz kako upaki maili kadhaa ndo uingie pale la sivyo magazeti ya udaku yatakutoa kesho yake
Ukiogopa magazeti ndugu yangu hutafanya yako...
 
Back
Top Bottom