Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Teh Teh Teh Teh Teh

Sisi Kule kwetu tunaita yakwibhuga!

Umeanza fujo!
We ndo mwenye fujo bana
Unataka ufunge goli la mkono wa Mungu wakati hakunaga kitu kama hicho
Ukifanya hivyo utaitiwa mbakaji faster kama jamaa yetu wa injili
 
We ndo mwenye fujo bana
Unataka ufunge goli la mkono wa Mungu wakati hakunaga kitu kama hicho
Ukifanya hivyo utaitiwa mbakaji faster kama jamaa yetu wa injili

Umetisha! Na style yako ya yakwibhuga Au niangusage sambi sako menyewe!
Teh Teh Teh
 
Umetisha! Na style yako ya yakwibhuga Au niangusage sambi sako menyewe!
Teh Teh Teh
Hiyo safi sana mkuu
Umeimbisha mpaka unachoka na then huoni dalili ya kuambiwa haya umepata
Sasa hapo style ni hiyo niangusage sambi sako mwenyewe
 
Hiyo safi sana mkuu
Umeimbisha mpaka unachoka na then huoni dalili ya kuambiwa haya umepata
Sasa hapo style ni hiyo niangusage sambi sako mwenyewe

Teh Teh Teh Teh
 
World Bank tunatafuta nini? mambo yote mchina siku hizi

Mchina fake hata akikupa msaada wake unakuwa fake si unaona barabara anazojenga fake tuu mwaka mmoja mashimo kama ya kufugia samaki
 
Back
Top Bottom