Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
Ha ha haaa unaamsha nyuki!!!!!!
U mzima miss neddy???
mi mzima twini
waache nyuki wachomoke mzingani nitalala chini kujikinga lol
Last edited by a moderator:
Ha ha haaa unaamsha nyuki!!!!!!
U mzima miss neddy???
hahahahaha itawezekana kwelii hii eti utafiti
Kwani hajua kama mimi ndio baba mwenye nyumba?
Mkuu sungura1980 itakuwa pouwa sn Mkuu kukutana na wewe! Mi pia napenda kukutana na mwanajf yeyote Yule!
sungura1980 asante sana mkuu na naamini ipo siku tutakutana tuu mkuu uzima ukiwepoAsante sana mkuu Mr Rocky,,itakuwa heshima sana kukutana na wewe!
Excel me mwenyewe ndio nilimpeleka J.K International Airport, sasa kuhusu kurudi.....
sungura1980Duhhh,mwana JF yeyote!Hapana,to be honest kuna watu sitamani kuonana nao,unajua kutokana na series ya comments za mtu unaweza kuhisi yukoje!
Ntuzu,,,Itakuwa heshima sana kukutana na wewe mkuu!
Bujibuji nisipotaka kuonana nawe itakuwa kichekesho, na wanaJF woote ambao tumekutana kwenye post zetu hapa jamvini bila kumsahau Angel Nylon
Me ndio mrithi halali na nyumba hii, si eti miss ?
hahahah no comment