Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Ningependa kukutanishwa na kichunafk. Lakini tukutanie gesht haush yenye vitanda vya 6*6 visivyopiga kelele.

Hapa naomba pasisomwe na asali zangu zote hasahasa Khantwe.

Hata sijaona my mupenzi.....post za mtu aliyehack account yako huwa sizioni kabisaaa
 
Last edited by a moderator:
Hata sijaona my mupenzi.....post za mtu aliyehack account yako huwa sizioni kabisaaa

Mupenzi nijalie khali yako. Nimekumis mpk kichwa cha chini kimegoma kuhudhuria bunge la katiba ya baioloji. Nasinzia nikikuwaza.
 
Mupenzi nijalie khali yako. Nimekumis mpk kichwa cha chini kimegoma kuhudhuria bunge la katiba ya baioloji. Nasinzia nikikuwaza.

Hali yangu mbaya hadi nikuone ndo ntapona.....
 
Mzizi Mkavu, anaonekana mtu mwenye busara nyingi sana!
kaka Eieyer, just curious to put a face to your personality
Heaven on Earth & Gorgeousmimi,these 2 ladies have always inspired me by their confidence & outgoing personalities.
chujio, one of the most beautiful souls i have been lucky enough to meet though not in person yet.
 
Me JF imenikutanisha na wengi sana wengine watu wakubwa wenye hadhi zao na wengine ni waheshimiwa wa serikali ya TANZANIA nimetengeneza network nzito sana kupitia JF I CAN SAY BIG THANKS TO JF FOUNDERS

Hebu fanya unikutanishe na cathy magige cc Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Me JF imenikutanisha na wengi sana wengine watu wakubwa wenye hadhi zao na wengine ni waheshimiwa wa serikali ya TANZANIA nimetengeneza network nzito sana kupitia JF I CAN SAY BIG THANKS TO JF FOUNDERS

Ntupie desa na mimi, jukwaa gani hawa wadosi wanapenda kuwepo?
 
Me Evelyn Salt,yani ananichanganya kabisa.

Hapo awali alikuwepo whitegirl ila alipotea ghfla.

Eve mama nielewe,pia tambua kuwa c zee mie ni kijana mtamu tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom