Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Mie nataka kukutana na The Boss,anaonekana ana busara sana!
 
mi kuna mdada alishiriki kwenye stockholm marathon sweeden alikua anaperuz jf km we memba humu ngependa kukutana na wewe jamani u luk so sexy.
 
huwezi kumtamani mtu kwa maneno yake, tamani kwa sura yake na maumbile kwa ujumla. Leta picha zenu za uhalisia nione nani mkali ebo!?
 
Nitafurahi saana kukutana na wadau wafuatao uso kwa uso.

1.Miss Chaga.

2.Lara1

3.Madam d

4.Msalani

5.King Kong III

6. Lizaboni


5.Watu8

6.Nokia83.

na wadau wengine wengi ambao ntaendelea kuwataja kwa kuEdit post kadiri ntakavyo wakumbuka.

Lengo

1. Kujuana zaidi./ Networking naambo mengine kama hayo na sio kuishia tu kuona michango yao hapa JF

2.Niwaone live.. kwani wamekua wakichangia post nyingi zinazowekwa hapa
Nione uchangiaji wao wakiwa Ana kwa Ana.

Je ww ungependa kukutana na mdau gani Uso Kwa Uso from JF , na yapi Maksudi yako ya kukutana nao/wao.
 
Mie ningependa kukutana na wale wa BOT niwaswalike yangu ya kichwani.
 
Back
Top Bottom