Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Wapo wengi ambao ningependa kukutana nao kulingana na majukwaa...

mfano, hawa wachumi na wajasiriamali, Chasha, Mama Joe na wakubwa woote wa jukwaa la uchumi na ujasiriamali..

hawa watu wamenijenga sana kijasiliamali na kiakili, nimethubutu kimawazo kwamba baada ya kuhitimu masomo yangu ya chuo kikuu naweza kujiajiri katika nyanja mbalimbali za kiuchumi badala ya kutegemea ajira kutoka serikalini na sekta binafsi... mpaka sasa huwezi amini kupitia hawa watu, kichwa changu kimeshajaa entrepreneurship skills...

By the way, JF imejaa watu wengi wazuri, siwezi kuwataja wote, kiasi tu nimekumbuka hawa wajasiriamali...

tutafutane hapa chini..

https://www.jamiiforums.com/ujasiri...ranga-kwa-njia-ya-kienyeji-2.html#post9424734
 
Last edited by a moderator:
umeona eeeh!!!! kuna watu wambea wambea sana kama hawana kazi za kufanya vile. watu wanataka wakutane wapate la kuongea kwa wengine.

Duh afu humu watu ni wambea hata usiowadhani
hapa tu hatujuani ila pm za uongo zinakuwa fowaded kama nini sijui
siku tukionana sipati picha
 
Mi mnikutanishe na raisi wa marekani baaas!!! Naskia nayeye yumo humu!
 
naona mnajipendelea wenyewe tuu hivi kweli hakuna hata mtu anayetaka kuonana na mimi?? jamani nyie vibaya hivyoooo
 
Masai dada


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
kutaneni halafu mje kutungiana thread humu......
 
Back
Top Bottom