miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,110
Teh Teh Teh Teh
ungejua nimekutukana matusi makubwa ukome kudandia lugha za watu
Teh Teh Teh Teh
vipi kuna dalili zozote?Thread kama hizi zinasaidia sana upatikanaji wa vidumu, vindoo hadi visodaaa, haahaaa....
Ebu kua mpole na wewe ndugu yng! Au hujui Udaku?
nimepungua kilo sita sasa ila bado kanene nene subiri nipungue tena nakutumia
Aise mbona mnanitajataja mpaka nashtuka hapa wewee Ntuzu na miss neddy
Ninaelekea kwa Karucee hapa kwa hiyo kaeni kimya bana
Wananikera sana mimi hao watu.
Jitu halikujui, halijui chochote juu yako lakini liko mstari wa mbele kuambia watu wengine kuhusu mambo yako (ambayo ni ya uzushi mtupu).
Eti sijui ulitoka na fulani wakati huyo fulani mwenyewe hata hamjuani zaidi ya kukutana tu humu JF kama unavyokutana na wengine.
Aibu!
ungejua nimekutukana matusi makubwa ukome kudandia lugha za watu
Ukampe nini? Hujaona miss neddy alivyosema?
Ukampe nini? Hujaona miss neddy alivyosema?
Neno moja tuu la maana na wala sio kelele zako ambazo huwa unampigia
Chanzo cha vitendo ni maneno huwezi kujipeleka tuu ukaanza matendo bila maneno Ntuzu na ujue kule hakunaga niangusege sambi sako mwenyeweManeno bila vitndo Ni mafu! Au hujui Hilo?
Ng'wanhi
kwa mkuu wa sinagogi baba paroko
E ng'wanhi ya hale lolo?
Gashinaga ole nchilochilo nang'ho ango?