Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,285
Hivi ukipewa nafasi moja tu ya kukutanishwa na mwana jf mmoja tu(ambaye humfahamu kwa sura zaidi ya ID yake tu) ungechagua/ungependa ukutanishwe na nani?

mi ntamtaja badae kidogo..labda anaweza akanitaja yeye...

HAYA TENA..MEMBERS WAPYA WAMEONGEZEKA NA WENGINE WAKONGWE WAMEKIMBIA...KAZI KWAKO!!
 
Nyani ngabu..kwa sababu huwa nahisi namjua kabisa in real life..sema tu ndo id za humu zinajificha.
Kuna siku nlimwambiaga we ndo nyani ngabu kabisa akakataa akadai kwanza ye hata JF hajawahi kuingia..nkamwambia sa umejuaje kama nyani ngabu ni wa JF?

Huyo hakuwa NN wa ukweli.
 
Ningependa nikutane na Kadakabikile.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Hivi ukipewa nafasi moja tu ya kukutanishwa na mwana jf mmoja tu(ambaye humfahamu kwa sura zaidi ya ID yake tu) ungechagua/ungependa ukutanishwe na nani?

mi ntamtaja badae kidogo..labda anaweza akanitaja yeye...

Kukutanishwa kimwili?
 
Back
Top Bottom