Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
Mwala sn Mr Rocky
Yani ukiacha kumfikiria karucee basi na Mimi ntaacha kutembea na milimita 9. Lkn mwambie ile Masai OLESAIDIMU iache kutembea na sime
Last edited by a moderator:
Humu ndani tumekuwa wengi hatufahamiani ila tumeweza kuwa karibu kupitia id zetu tu. Kwa mfano kama ukipatiwa fursa ya kukutana live na mwana JF mwenzako ungependelea ukutane na nani.
Weka jina hapa
Mwala sn Mr Rocky
Yani ukiacha kumfikiria karucee basi na Mimi ntaacha kutembea na milimita 9. Lkn mwambie ile Masai OLESAIDIMU iache kutembea na sime
Mchana nilikuwa kazini mkuu, jioni nikitoka kwenye mishemishe nikikutafuta tayari umeshaingia nyumbani na hutoki tena. Ningekuona wapi wakati unatamba mchana tu kama mbu wa Dengue...Ntuzu tutakutana tuu siku moja bana grafani11 wewe si ulikuja chuga ukaishia baa yako ile ya .................hukutaka tuonane bana miss chagga asante sana natamani pia kukuona sana
Mchana nilikuwa kazini mkuu, jioni nikitoka kwenye mishemishe nikikutafuta tayari umeshaingia nyumbani na hutoki tena. Ningekuona wapi wakati unatamba mchana tu kama mbu wa Dengue...
hapo pagumu aise Karucee ile ni mambo ingine bado nampenda sana OLESAIDIMU hawezi kuacha kutembea na sime ni jadi yao ni kama wewe uambiwe uvae suruali bila boxer ndani
Mchana nilikuwa kazini mkuu, jioni nikitoka kwenye mishemishe nikikutafuta tayari umeshaingia nyumbani na hutoki tena. Ningekuona wapi wakati unatamba mchana tu kama mbu wa Dengue...
[/QUOTE]Ntuzu amaanisha ile kitu inawekwaga kiunoni au kwenye soksi... wengine wanakiitaga mguu wa kuku.
[
QUOTE=ladyfurahia;9700797]milimita kama za hawa watu hapa View attachment 162062
ladyfurahia yaani nikiwataja wote ambao napenda kukutana nao naona thread itajaa ila na mimi binamu napenda sana kukutana na wewe aisebinamu hutaki kukutana na mm?
hapo pagumu aise Karucee ile ni mambo ingine bado nampenda sana OLESAIDIMU hawezi kuacha kutembea na sime ni jadi yao ni kama wewe uambiwe uvae suruali bila boxer ndani
Basi nitakua nayo hiyo!
Teh Teh Teh Sasa hiyo Masai itafanya nini na sime?