asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,040
hili itabidi tulianzishie thread siku moja mkuu , kuna watu humu wanajipa vyeo vya kufahamu wenzao kuanzia maisha ya jf mpaka ya nje ya jf wakati hata PM hamjawahi kuandikiana.
hili itabidi tulikemee siku moja......... inaudhi na haipendezi.
Wananikera sana mimi hao watu.
Jitu halikujui, halijui chochote juu yako lakini liko mstari wa mbele kuambia watu wengine kuhusu mambo yako (ambayo ni ya uzushi mtupu).
Eti sijui ulitoka na fulani wakati huyo fulani mwenyewe hata hamjuani zaidi ya kukutana tu humu JF kama unavyokutana na wengine.
Aibu!
Utansemea wapi jamani
Dada yng nimekumiss sn! Shemeji ana tabia mbaya! Yani anakuzuia ata kutusalimia?
haya monowama na iyo wairikire ihondu ukeri
mi hata sijui
nakutumia picha ila aangalia usizimie mkuu
hahahaha hawawezi kumpata hao hela zao zamawazo lol
Teh Teh Teh Teh ata hii ya mlima Kilimanjaro Mr Rocky hela mawazo?! Teh Teh Teh
hebu nitumie na mimi kwaajili ya ule mpango wetu.........