KERO Udhalilishaji kwa Watumishi na Nidhamu Mbovu ya Msimamizi wa Maktaba ya Mkoa Iringa iliyopo chini ya TLSB

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni Mwanataaluma na mdau wa Maktaba ya Mkoa Iringa, pia ni Lecturer katika moja ya Chuo hapa Iringa Mjini.

Nimekuwa nikitumia Maktaba ya Mkoa kwa muda mrefu sasa, lakini mimi pamoja na wadau wengine wa Maktaba tumekuwa tukishuhudia mara kwa mara udhalilishaji wa dhahiri unaofanywa na Kiongozi wa Maktaba anayejulikana kama Consolata M. kwa watumishi waliopo chini yake.

Pamoja na hilo Kiongozi huyo amekuwa hana nidhamu kwa kuvaa nguo za ajabu(nguo fupi sana) na kupenda kupitapita maeneo wanayokaa wasomaji hali ambayo imekuwa ni kero kubwa sana kwetu sisi wasomaji/wateja na kutuondolea utulivu.

Matendo haya ya Kiongozi huyo ni kinyume na maadili na miongozo ya Utumishi wa Umma, hivyo tunaomba mamlaka husika Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) kuchukua hatua stahiki ili kuboresha utoaji wa huduma bora katika Maktaba yao ya Mkoa Iringa.
 
Anataka kupelekewa moto ninyi mpo busy mnamtangaza anavaa nguo fupi harafu ana mwili wa kuwasisimua kazi kweli kweli..
 
Wewe sio mdau wewe ni mtumishi wa maktaba na uliajiliwa dr mcharazo akiwa mkurugenzi wa huduma a kwa sasa unakitaka cheo baada ya kujiendeleza masomo, conso pis imenyooka sana kwenye kazi
 
Nitumie namba yake inbobo nimkanye bila shaka kwa umri wake atakuwa mshangazi
 
Mambo ya kifamilia haya🙌🏾
Nipe namba ya simu wiki moja nyingi sana utaacha kuvaa nguo fupi utavaa nguo ndefu tena za heshima shughuli utakayokutana nayo ni shughuli pevu
 
Wewe sio mdau wewe ni mtumishi wa maktaba na uliajiliwa dr mcharazo akiwa mkurugenzi wa huduma a kwa sasa unakitaka cheo baada ya kujiendeleza masomo, conso pis imenyooka sana kwenye kazi
Nipe namba nina mazungumzo nae private jet ya kuhusu Maktaba, usije ukauliza mazungumzo private jet ndio yapi
 
Wewe sio mdau wewe ni mtumishi wa maktaba na uliajiliwa dr mcharazo akiwa mkurugenzi wa huduma a kwa sasa unakitaka cheo baada ya kujiendeleza masomo, conso pis imenyooka sana kwenye kazi
Umekuja kujitetea sio. Sawa weka picha ya huyo Demu unayesema ji PISI ili Jumatatu nije kusoma hapo kwenye maktaba. Kwanza ipo eneo gani hapo Iringa?
 
Nipe namba ya simu wiki moja nyingi sana utaacha kuvaa nguo fupi utavaa nguo ndefu tena za heshima shughuli utakayokutana nayo ni shughuli pevu
Namba ya simu na kuvaa nguo ndefu vinafanyaje kazi? We ni mganga au mchungaji?
 
Oya Conso leo umefikiwa sister
 
Niliwasilisha kero yangu hapa kuhusu mwenendo mbovu wa kimaadili na udhalilishaji kwa Watumishi wa Maktaba ya Mkoa Iringa unaofanywa na Msimamizi wa Maktaba ya Mkoa Iringa lakini mpaka leo sijaona chochote kwenye site zenu, kulikoni?

Na kama ni suala la uthibitisho mamlaka husika (TLSB) wanaweza kuthibitisha malalamiko hayo kupitia CCTV camera footage walizofunga kwenye Maktaba ya Mkoa Iringa.

Asante, naamini kero yangu itasikika sehemu husika na kupatiwa ufumbuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…