ANAESTHESIOLOGIST
Senior Member
- Dec 29, 2019
- 155
- 265
Wewe ni Malaya wa KISIASA hata akili huna,Elimu nayo huna ili upate pesa ni lazima ujikombe Kwa njia hii ya umalaya Malaya wa kisiasaKesi ya Mbowe ni wazi imeichanganya Chadema vibaya sana. Kila kona ya Chadema wanapigana vikumbo. Siyo mitandaoni wala siyo mtaa wa Ufipa. Nasikia baadhi ya viongozi kwa sasa hawasalimiani. Huko Jamhuri ya Twitter pia kunawaka moto, ni matusi juu kwa juu. Viongozi, mawakili na wafuasi wao wanajaribu kujiaminisha wakiwa mbele ya umma kuwa kesi ni nyepesi na wataishinda. Mara eti laki sita ni ndogo kwa kesi ya ugaidi, mara hili mara lile. Nani aliwaambia kipimo cha madhara ya ugaidi ni kiwango cha pesa kilichotumika? Viongozi na mawakili wanajua hii si hoja yenye maana yoyote mahakamani.Pamoja na kuwaadaa watu wao kuwa kesi ni nyepesi, wakiwa wenyewe wanashika vichwa kuhusu ugumu wa kesi hii kwa sababu wanatambua ushahidi iliyo nayo serikali si ushahidi wa kitoto. Ni ushahidi unaoweza kumlambisha Mbowe mvua ya miaka 30 jela. Hii ndiyo maana kila kiongozi wa CHADEMA sasa anampigia magoti Rais ili aondoe kesi mahakamani bila kujali kuwa katika utawala wa kisheria, Rais hawezi kuingilia uhuru wa mahakama. Mikakati yote sasa inaonekana imekauka kwa upande wa Chadema. Mnyika alidai atakuwa akitangaza kila mara mikakati mipya ya kushinikiza kuachiwa kwa Mbowe. Iko wapi Huko Jamhuri ya twitter moja ya mikakati ilikuwa eti tuache kupanda mabasi, tuache kula, tuache kunywa soda na bia, tuache kuweka vocha kwenye simu zetu ili serikali ikose kodi. Hii nayo imebuma. Hakuna kiongozi au Taasisi yeyote duniani inayozungumzia kesi hii. Chadema imeachwa yenyewe na Mbowe wao. Mbowe pia ameachwa mwenyewe na familia yake. Kuna mengi ya kujifunza.