Tundu Lissu: Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe ni mepesi kuliko pamba, awaponda Waendesha Mashtaka

Kesi ya Mbowe ni wazi imeichanganya Chadema vibaya sana. Kila kona ya Chadema wanapigana vikumbo. Siyo mitandaoni wala siyo mtaa wa Ufipa. Nasikia baadhi ya viongozi kwa sasa hawasalimiani. Huko Jamhuri ya Twitter pia kunawaka moto, ni matusi juu kwa juu. Viongozi, mawakili na wafuasi wao wanajaribu kujiaminisha wakiwa mbele ya umma kuwa kesi ni nyepesi na wataishinda. Mara eti laki sita ni ndogo kwa kesi ya ugaidi, mara hili mara lile. Nani aliwaambia kipimo cha madhara ya ugaidi ni kiwango cha pesa kilichotumika? Viongozi na mawakili wanajua hii si hoja yenye maana yoyote mahakamani.Pamoja na kuwaadaa watu wao kuwa kesi ni nyepesi, wakiwa wenyewe wanashika vichwa kuhusu ugumu wa kesi hii kwa sababu wanatambua ushahidi iliyo nayo serikali si ushahidi wa kitoto. Ni ushahidi unaoweza kumlambisha Mbowe mvua ya miaka 30 jela. Hii ndiyo maana kila kiongozi wa CHADEMA sasa anampigia magoti Rais ili aondoe kesi mahakamani bila kujali kuwa katika utawala wa kisheria, Rais hawezi kuingilia uhuru wa mahakama. Mikakati yote sasa inaonekana imekauka kwa upande wa Chadema. Mnyika alidai atakuwa akitangaza kila mara mikakati mipya ya kushinikiza kuachiwa kwa Mbowe. Iko wapi Huko Jamhuri ya twitter moja ya mikakati ilikuwa eti tuache kupanda mabasi, tuache kula, tuache kunywa soda na bia, tuache kuweka vocha kwenye simu zetu ili serikali ikose kodi. Hii nayo imebuma. Hakuna kiongozi au Taasisi yeyote duniani inayozungumzia kesi hii. Chadema imeachwa yenyewe na Mbowe wao. Mbowe pia ameachwa mwenyewe na familia yake. Kuna mengi ya kujifunza.
Wewe ni Malaya wa KISIASA hata akili huna,Elimu nayo huna ili upate pesa ni lazima ujikombe Kwa njia hii ya umalaya Malaya wa kisiasa
 
Mvua zinaliwa!!??
Mvua zinafisha!!??
Leo nimeacha gari yangu kilometa 2,nimenyeshewa na kulowa chapachapa,mbona sijala hizo mvua wala kufa!!???
Wewe endelea kujitoa ufahamu, muda ni mwalimu wa kila kitu, msianze kuita watu madikteta jamaa yenu akichezea mvua za kutosha
 
Watu wa aina hiyo ndio CCM inawataka na waliwekeza kweli kweli kwa watu hao kwa mtaji wa ujinga. CCM ilipoona kuna jukwaa huru kama hili letu la JF, ikawamwaga humu...yaani unakutana na watu humu mpaka unajiuliza mara mbili tatu kama waliwahi hata kuwa na akili na kama walikuwa nazo wamezipotezea wapi?

Kwa kweli CCM walifanya research ya kutosha na wakawekeza kweli kweli katika ujinga, hebu pitia hii orodha...
  1. Kamanda Asiyechoka
  2. magu2016
  3. Ezekiel Mbaga
  4. Shujaa Mwendazake
  5. tutamkumbukamagu
  6. akilinene
  7. Bushesha jr
  8. JUMA JUMA
  9. Wakudadavuwa
  10. zandrano
  11. shamimuodd
  12. Redpanther
  13. GENTAMYCINE
  14. Jasusi Mbobezi
  15. Elitwege
  16. Idugunde
  17. Jumbe Brown
  18. johnthebaptist
  19. USSR
  20. Magonjwa Mtambuka
  21. Dr Akili
  22. Janjaweed
  23. mtanzania1989
  24. Phillipo Bukililo
  25. Mr Dudumizi
  26. digba sowey
  27. IDEGENDA
  28. Niza doyi
  29. Kivumishi Kielezi
  30. Gerald .M Magembe
  31. Jasusi Mbobezi
  32. Jay One
  33. Stuxnet
  34. Latvia
  35. Iboya2021
  36. Ritz
  37. mama D
  38. Psalm 23
  39. Shambaboy jogoli
  40. Pulchra Animo
  41. BUSH BIN LADEN
  42. No signal
  43. Lord OSAGYEFO
  44. fisi 2
  45. Naipendatz
  46. Ibambasi
  47. wababayangu
Orodha itaendelea kulingana na wanavyozidi kufyatuliwa...

Hawa kaa nao mbali kama ukoma, akili zao ziko stoo za CCM, zimehifadhiwa huko huko. Mara moja moja wanapewa kwa muda wazitumie lakini tatizo ni kwamba hakuna uhakika wa kupewa za kwako! Ndio maana kuna wakati hawaeleweki eleweki...inasikitisha!
Hivi Troll JF amepotea wapi?! Au covid ilishafanya yake ndio maana haonekani humu jamvini?
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , amechambua mashitaka yaliyosomwa Mahakamani yanayomkabili Mwenyekiti wake Freeman Mbowe , huku akiyaita duni , mepesi na ya UONGO.

View attachment 1906115

Amedai ana uzoefu wa kutosha kwenye kesi za uzushi na uongo kama hii kutokana na kazi yake ya Uanasheria aliyoifanya kwa miaka mingi , ameahidi kushinda kesi hiyo ya kutunga mapema asubuhi .

Hebu msikilize mwenyewe ufaidi uhondo .
Tundu Lissu ndie mbunge na mwanasheria bora mbele za wananchi kwa muda wote ( Goat) kwa kuchambua sheria, kujenga hoja na kuelimisha jamii haki zao
 
Lisu yeye kakimbia kesi bado anaona zawenzake nyepesi, Lisu ni mwoga sana

USSR
Nahisi ubongo wako umeshake pahari yaani Tundu Lissu akimbie kesi aliyobambikiwa na makada wa CCM?
Haahaaa acha vituko Arif au umesahau enzi za jiwe alivyopangua hoja za uzushi mbaka kesi ikaendeshwa mbaka usiku na mawakili uchwara wa serikali Kuumbuka na mkamshindwa Kwa hoja mkaja na kioja Cha kumpiga risasi?
Umejisahaurisha?
 
Kugharamia ugaidi kwa laki 6! Very funy na huu ni uhujumi mkubwa kabisa unaofanywa na polisi-ccm! raslimali zote hizi kwa kesi za kitoto na ushamba wa hivi?
Hivi kuwatesa watu hivi kwa makosa ya kubambikiza mnajua kiama chake? Dhambi hizi tambueni ziko juu ya watoto wenu na vizazi vyenu hadi cha 4! Sirro ulisoma seminary unayajua hayo.
 
Hajakimbia kesi maana siku zote alikuwa na kesi hapa nchini. Kilichomkimbiza ni maagizo ya yule kiongozi muovu kuwa auwawe.
Huyo kiongozi wake muovu hayupo sasa bado kinamkalisha kitu gani huko kwa amasterdam?
 
Kesi ya Mbowe ni wazi imeichanganya Chadema vibaya sana. Kila kona ya Chadema wanapigana vikumbo. Siyo mitandaoni wala siyo mtaa wa Ufipa. Nasikia baadhi ya viongozi kwa sasa hawasalimiani. Huko Jamhuri ya Twitter pia kunawaka moto, ni matusi juu kwa juu. Viongozi, mawakili na wafuasi wao wanajaribu kujiaminisha wakiwa mbele ya umma kuwa kesi ni nyepesi na wataishinda. Mara eti laki sita ni ndogo kwa kesi ya ugaidi, mara hili mara lile. Nani aliwaambia kipimo cha madhara ya ugaidi ni kiwango cha pesa kilichotumika? Viongozi na mawakili wanajua hii si hoja yenye maana yoyote mahakamani.Pamoja na kuwaadaa watu wao kuwa kesi ni nyepesi, wakiwa wenyewe wanashika vichwa kuhusu ugumu wa kesi hii kwa sababu wanatambua ushahidi iliyo nayo serikali si ushahidi wa kitoto. Ni ushahidi unaoweza kumlambisha Mbowe mvua ya miaka 30 jela. Hii ndiyo maana kila kiongozi wa CHADEMA sasa anampigia magoti Rais ili aondoe kesi mahakamani bila kujali kuwa katika utawala wa kisheria, Rais hawezi kuingilia uhuru wa mahakama. Mikakati yote sasa inaonekana imekauka kwa upande wa Chadema. Mnyika alidai atakuwa akitangaza kila mara mikakati mipya ya kushinikiza kuachiwa kwa Mbowe. Iko wapi Huko Jamhuri ya twitter moja ya mikakati ilikuwa eti tuache kupanda mabasi, tuache kula, tuache kunywa soda na bia, tuache kuweka vocha kwenye simu zetu ili serikali ikose kodi. Hii nayo imebuma. Hakuna kiongozi au Taasisi yeyote duniani inayozungumzia kesi hii. Chadema imeachwa yenyewe na Mbowe wao. Mbowe pia ameachwa mwenyewe na familia yake. Kuna mengi ya kujifunza.

Akilambishwa mvua si wataimba kale kawimbo kao kasemako mahakama zetu haziko huru?
 
..Sikubaliani na TL.

..Ni kesi ngumu sana kwasababu mahakama zetu ni mali ya CCM.
Nami nashindwa kuelewa Lissu kwa nini anaichukulia kuwa nyepesi wakati akijuwa mazingira ya mahakama zilivyo hapa.

Huwa nashindwa sana kujuwa CHADEMA huwa wanapata wapi matumaini katika mazingira wanayojua kwamba siyo rafiki kwao. Chukulia mfano wa kuingia kwenye uchaguzi wa 2020 wakiwa na matumaini ya ushindi!
Sijui hii imani huwa wanaitoa wapi!
 
bangi
na kuongea kwa sauti kubwa
 
Mimi sijasomea sheria, ila hata wakiniambia sasa hivi nivae joho nimtetee Mh. Mbowe pale mahakama kuu aisee namchomoa kabisa nina uhakika 100%.
 
36 Reactions
Reply
Back
Top Bottom