kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,375
- 10,118
Dah , ama Kweli unajua jinsi ya kutangaza....T.V umeiwasha kbs.!
Kingine unachokiogopa Kama ukoma Ni kipi mkuu...fungukaFriji lililotumika na mbongo halafu akataka kuliuza huwa naliogopa kam ukoma
Kingamuzi hiyo ndo bei yake kabisa.Vipi bed lipo hebu tupia picha yake
Katika vifaa vya electronic friji huwa ni kitu delicate sanaKingine unachokiogopa Kama ukoma Ni kipi mkuu...funguka
Mh hakuna dirisha watahemaje?
HahahaaaHiyo ni nyumba ya kuishi sio ya kwenda kuhemahema ovyo [emoji276]
Weka picha acha kiswahili kirefuUkishaona ndo utanunua!?