Kiwanja kinauzwa mbezi beach

May 24, 2011
16
1
Kiwanja kinauzwa maeneo ya mbezi beach kwa komba karibu na stella matutina bar
kina ukubwa wa square meter 4000, kina pakana na barabara upande mmoja, kina umbali wa mita 300 kutoka bagamoyo road, kina nyumba tatu za kawaida na frame sita zisizo ezekwa bei ni shilingi 400,000,000/= ukihitaji nusu ni shilingi 225,000,000/= kwa mawasiliano na kukiona piga namba 0716 002790 siku yoyote maongezi yapo.
 
Ni kwa baba yule Mgogo karibu na kabaa fulani hivi?Je ili migogoro ya pale imeisha?
 
Jamani yawezekana mimi ni mshamba, hivi mbona siku hizi mtu kutamka milioni 400 milioni 500 ni rahisi sana? Ama mie ni maskini ndo maana mtu anapotamka hizo tarakimu naona hofu.Jamani tuelekezane namna ya kupata hizo ela kwa njia safi ambazo sio chafu ili na mimi niweze kutamka hayo matarakimu otherwise naogopa sana mtu kutaja milioni 500 kama mhezo vile wakati mie hata kutamka naogopa.Tafadhari sana mnapotoa matangazo ya namna hiyo mjue wengine wana BP
 
hizi bei zina wenyewe wazee wa mievogue, ngoja tusubiri vya uswahilini chini ya 5 million
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom