nyumba ya kupanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Red black

    JamiiForums Tanzania Kama una 40yrs+ na unaishi nyumba ya kupanga na uko na family, jitazame upya

    Kama una miaka 40+ na bado unaishi nyumba ya kupanga ukiwa na familia, jiulize upya kuhusu mwelekeo wa maisha yako. Je, uko kwenye njia sahihi ya kujenga mustakabali wa familia yako, au umekwama katika hali ya kurudia kila mwaka bila maendeleo ya kweli?
  2. Trainee

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Moshono, Njiro au Morombo (Arusha)

    Vyumba viwili vya kulala, sebule na jiko Gharama ya 200k-250k kwa mwezi Ikiwa inajitegemea ni vyema zaidi Shida ni ya fasta sana tafadhali
  3. Think2

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga hapa jijini Mwanza

    Msaada natafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili na sebule sina familia kubwa ninawatoto wawili na house girl sina mke. Nahitaji maeneo haya ya Kisesa, Kishiri na Igoma. Nina 100k kwa mwezi ikizidi sana iwe 150k kwa mwezi
  4. Giphi

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Kupanga Kilombero

    Habari, Natafuta nyumba ya kupanga Ruaha, Kilombero au maeneo ya jirani kabisa na eneo hili.
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupatwa na tukio kama hili? Moto wateketeza nyumba na mali za wapangaji

    Ni huzuni moto ambao chanzo chake hakijajulikana umezuka na kuteketeza nyumba moja yenye vyumba saba, ikiwa na wapangaji watano katika maeneo ya Gogoni, Kata ya Kibamba, Wilaya ya Ubungo mkoani Dar es Salaam, na kusababisha hasara kubwa ya mali za wapangaji waliokuwa wakiishi humo. Hapa kama ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani wa mtu kupenda kubaki uchi hadi kafukuzwa aende kusimamia nyumba ya kupanga ?

    Anapenda sana kuwa uchi anapojihisi yupo peke yake, Ni mtu mzima yupo kwenye 40 Ukienda kwake lazima upige simu mara nne hadi tano kumwambia ujio wako lengo likiwa asijisahau mumkute yupo uchi. Ukienda chumbani kwake lazima ukohoe au kuzima taa na kuwasha ili ajue kuna mtu anakuja Alikuwa...
  7. upupu255

    JamiiForums Tanzania Unaishi nyumba ya kupanga unaruhusu mkeo avae hivi?

    Unaishi nyumba ya kupanga Halafu unaruhusu mkeo kuvaa hivi... Unakuwa na maana gani?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa yeyote anayehitaji nyumba ya kupanga

    Kuna mtu ana nyumba mbili moja karibu na nyingine Buyuni, Chanika. Ni self-contained, na kila moja ina eneo la kutosha. Ni karibu na maeneo yafuatayo: Hospitali binafsi ya Tikaya (ina huduma za kawaida na kibobezi), soko la Buyuni, na ni karibu na usafiri wa kwenda au kutoka mjini. Kwa yeyote...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Auawa baada ya kufumaniwa na mke wa mpangaji mwenzake

    Wakuu tukio hili limenikumbusha kuepuka tamaa kwa nguvu zote hasa kwenye hizi nyumba za kupanga na maneo mengine, tusije tukafikiwa matukio ya kikatili kama haya ===== Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linamshikilia kijana James Nyakoro Kirauka (20), mkulima na mkazi wa mtaa wa Medical Research...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga mikocheni

    Habari wadau, Tunapangisha nyumba ipo Maeneo ya mikocheni Plaza. Mazingira yake: Eneo Lina SQM 1,500. Ina ukuta umezungushwa. Ni Nyumba ya Ghorofa moja. Ina vyumba 5, sebule, jiko na DINNING pamoja na servant quarter kwa nje. Parking space kubwa. Kodi : Million 4 kwa mwezi. Inafaa kwa...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Watoto wanaposema uwapeleke kwenu wakati uliishi Kota, nyumba ya kupanga, ulipoishi pamekuwa sehemu ya biashara, n.k. unawajibu nini ?

    Sehemu ulipoishi ni kota, kuna familia nyingine imehamia Sehemu ulipoishi ni nyumba za kupanga, kuna wapangaji wengine Ulipowahi kuishi pamebadilika kabisa, sio tena sehemu ya makazi ni mji wa kibiashara kuanzia mafremu, magorofa, gesti, magorofa, n.k. Kijijini kwenu hawakujui au...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Inahitajika nyumba ya Kupanga Kigamboni haraka.

    Habari wadau. Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya kigamboni. Nyumba isiwe mbali na barabara ya lami inayotoka ferry , maji yawepo , tiles na aluminium muhimu pamoja na gypsum, bila kusahau Usalama na itapendeza kama kutakuwa na umeme wa kujitegemea. Nyumba iwe na Chumba master, sebule na...
  13. Smart Eagles

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo Morogoro mjini (bajeti 300,000/=)

    1. Eneo la Kilakala isiwe mbali na kituo cha Tushikamane. 2. Eneo la Kola (iwekaribu na barabara ya pangawe) 3. Eneo la Bigwa (iwekaribu na barabara ya pangawe) Iwe na vyumba 3 vya kulala. Ijitegemee maji na umeme.
  14. Darren2019

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nyumba ya kupanga maeneo ya Uyole

    Msaada wakuu, kuna mtanzania anahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Uyole. Tupe sifa ya nyumba na bei tafadhali tutakufuata inbox🙏🙏
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga ila masharti ya kupanga usinywe pombe na usipende kula ovyo

    Nyumba hii kodi bei ndogo ila kutokana na jeografia yake kama kichwa cha habari utakubaliana nayo.
  16. cold water

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga!

    Jamani nipo kwenye nyumba ya kupanga ,tunaishi familia mbili tu Sasa basi mimi ni mfanyabiashara,iyo familia nyingine mwanamke ni mama wa nyumbani mume wake mchakalikaji Yani ameajiliwa anachonikera huyu dada ambaye ni mke wa jamaa. Siku nikishinda nyumbani ni kuimba imba manyimbo mda wote...
  17. Akotia

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga mbezi chini budget ni Tsh 500,000

    Wadau wa JamiiForums, Habari za jioni. Ninaomba msaada wenu. Ninatafuta nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili (2 bedrooms) eneo la Mbezi Beach Chini. Bajeti yangu ni kati ya Tsh 500,000 hadi Tsh 600,000 kwa mwezi. Kinachonifanya niandike hapa ni kwamba kwa sasa hali yangu ya kifedha ni ngumu...
  18. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA ZA NHC DAR ES SALAAM

    Habari wanajamii forum, Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
  19. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA NHC DAR ES SALAAM

    Habari wanajamii forum, Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
  20. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata nyumba ya kupanga NHC Dar es Salaam

    Habari wanaJamiiForums, Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
Back
Top Bottom