Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,516
- 7,534
Huyu Kumbusho ni vema angeweka ushahidi kuwa bandari inakodishwa kwa miaka 100 otherwise, akamatwe kwa kuleta tafrani. Kwa namna mazingira ya biashara, uchumi na uwekezaji yanavyokwenda kwa Sasa, sidhani hata kama tungekuwa na JUHA ambaye angeingia mkataba wa miaka 100 kwa jambo hilo. Kumbusho atoe ushahidi otherwise akamatwe kwa upotoshaji.