Ukitaka historia ya kweli ya Isa Bin Maryam nenda Saudi arabia na Madina.
Watakuonesha alipozaliwa, alipoishi, ukoo wake na alipo hivi sasa.
[emoji117]Ukitaka historia ya Yesu Kristo nenda kwa ndugu zake Wayahudi huko Israeli.
Watakuonesha alipozaliwa, alipo anza kuhubiri, ndugu zake, alipohukumiwa, aliposurubiwa, alipokufa, alipozikwa, alipofufuka na alipo paa Mbinguni.
Sehemu hizi zipo mpaka hii leo watu wanaenda kila kukicha kupata shuhuda hizi na wanajiridhisha kuwa ni sahihi kabisa.
Ghafla anatokea mtu huko Maka miaka Mia tano baada ya Yesu Kristo wa Israeli kupaa Mbinguni.
Anaanza kukanusha ukweli wa Yesu wa Israeli ambaye hata hakupata kumwona kwa macho na hata huko Israeli hajafika.
Halafu wanatokea watu wanamwamini. Hakika ni mambo ya ajabu sana.
Eti historia ya Yesu wa Israeli tuipate toka kwa Wakureshi wa Saudi Arabia ?[emoji848]
Hivi ninyi mkipewa Assignment ya kuandika historia ya Yesu Kristo mtaenda kufanya utafiti Israeli aliko zaliwa na kupaa Mbinguni au kwa wale Waarabu Mabedui ?
Mkiambiwa hizo zinazowaambia huo uwongo ni Satanic Verse mnakasirika na kutaka kumchinja mwandishi badala ya kumjibu.
Kawaida ya Mchawi usipomridhisha ye anataka kukuroga tu na hana msamaha wala kutaki kukujibu.
Mmeletewa Dini mkachanganyiwa humo Mwezi na Nyota, Majini, Jiwe Jeusi, Kuelekea Kibra ili Allah akusikieni, lugha ya Kiarabu. Na takataka za kumwaga.
Mtabaki na akili timamu kweli.
Mnashindwa hata kuuona ukweli wa Yesu Kristo na Isa.
Wayahudi wametengeneza hadi FILAMU za Maisha ya ndugu yao Yesu Kristo bado hamuwaamini.
Kuna watu walitoa filamu ya Maisha ya Yesu Kristo Wayahudi wakaikataa, wakasema "sisi hatuna hayo matukio kwa Yesu tunaye mjua" na hiyo filamu ikajifia tu.
Huyo Isa ni wenu wana msitake kumpaka mafuta afanane na Yesu wa Israeli.
Mnashindwa hata kutafakari kwa akili zenu. Kila anachosema Muhammadi ni ndio ndio tu. Oneni basi anavyo watapeli kwa swala la Yesu tu. Je na mengine.
Amkeni amkeni kama hamtaki basi
Nendeni huko Maka mkamwulizie Yesu Kristo wa Nazareti nadhani ukweli wa historia ya maisha yake mtaupata huko kwa ndugu zake Makureshi.
Ukisikia upumbavu ndio huu.