Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Yni m nabaki kucheka tuu kwa jinsi ulivo na ujinga ndani yko
ety nije kuamini bible wakati bible iyo iyo inamtukana uyo Mungu wenu
hlf m hua siongei maneno matupu kataa hili andiko tuone kma bible ni ya ukweli au ya uongoView attachment 2216161
Kwenye Biblia hadi Shetani Rusifa kaongea.
Musa kauwa mtu.
Daudi katembea na Mke wa mtu hadi kumwua Mke wake.
Paulo Naye mwanzo alikuwa mwuaji.

Wewe msikilize anapo ongea Mungu,
Au Malaika
Au Masihi Yesu Kristo Mwana wa Mungu.
Hao ndio wameshika hatima ya maisha yetu.
 
Kosa linalo tendeka.
Waislamu wana mafundisho yao ya Qurani.

Tatizo la Qurani badala ya kunukuu vitabu vya zamani vya Kiroho kama Torati na Zabuli.
Nia ya Mwandishi wa Qurani ni kuikosoa Biblia.

Biblia haijaandika chochote juu ya Qurani.
Wala kumtaja mtume wake Muhamadi na Mungu Allah.

Lakini Waislamu hawaridhiki na mafundisho ya Kurani pekee.

Kama shida niTorati, Injiri na Zabuli, Qurani imesema zipo ndani ya Qurani sasa Biblia wanaitaka kwa sababu gani ?

Mwisho wa siku wanaishia kataka kulinganisha mambo yao na ya Biblia

Mala Isa ndio Yesu,
Kwani Isa akibaki kama Isa kuna shida gani ?
 
Kwenye Biblia hadi Shetani Rusifa kaongea.
Musa kauwa mtu.
Daudi katembea na Mke wa mtu hadi kumwua Mke wake.
Paulo Naye mwanzo alikuwa mwuaji.

Wewe msikilize anapo ongea Mungu,
Au Malaika
Au Masihi Yesu Kristo Mwana wa Mungu.
Hao ndio wameshika hatima ya maisha yetu.
Umeshindwa kujibu hoja yangu kwaio kitulize
 
Here's my advice:

1. Always speak nicely: even to the unknowledgeable

2. Don't call others with bad names

3. Stay unflappable, control you anger

4. Avoid asking unnecessary questions

5. Refrain yourself from insulting others GODS

6. Avoid using insulting words

7. Turn away from ill speech
 
You should call others to embrace your faith with the best manner, using the nicest and most thoughtful words

Verily, ALLAH is gentle and loves gentleness ...
 
Nadhani unahitaji kusoma na kuelewa hizi dini mbili sio kwamba jew akiingia msikitini asome quraan no ikiwa hakuna sehemu ya kufanya ibada anaweza kutumia msikiti kufanya ibada kwa kusoma Torah ila haruhusiwe kuingia kanisani. Pili sababu wao wanakula halali kwa maana vyenye kuchinjwa na nguruwe kama wanyama walioharamishwa katika uislamu pia ni haramu kwao wanaita Kosher pia kutahiriwa na kama waislamu na kuzika wanafanana na uislamu.
Kweli mkuu wayahudi waliwaiga waislam
 
Unajuwa Ashkenazic hawa ni jews wa europe utamaduni wakaubeba ila watu ambao wanaheshimiwa na wanaosoma Torah kwa ufasaha na kuheshimika ni Sephardic hawa jews Yemenite yaani wa Yemen ndio wanaiongoza Torah mpaka leo na kama wanavyosema Abraham, Jacob, David na Solomon wote waliowa wake zaidi ya mmoja na Abraham ndio baba ya wote sasa hiyo kukutaza ilitoka wapi? Paulo wa Roman wakafika mbali hata Papa haruhusiwi kuowa wapi imeandikwa hivyo. Fwateni real bible Hebrew tastement sio Paulo huyo jamaa mayahudi wenyewe wamesema huyo Paulo ndio alileta majanga katika dini hii ya Kikristo na waislamu wanasema kama jews Paulo ni tatizo kubwa.
Kuowa wake wengi haukuwa mpango wa Mungu ni tamaa zao tu wanadamu
Kuanzia kwa Ibrahim alikuwa na mke mmoja tu kwanza mpaka kwenye uzee wake mke wake akaruhusu azae na kijakazi ili wapate mtoto

Ukija kwa Isaka alikuwa na mke mmoja

Yakobo alikuwa amempenda Rahel awe mke wake lakini kwa tamaduni zao mdogo hawezi kuolewa kabla ya mkubwa wakamfanyia mchezo akaowa mke mkubwa ila baadae mke wa ndoto zake akaja akaoa wengine walikuwa wafanyakazi wa wake zake
 
Hapana bado sijapata...
Turner syndrome inatoa "masharti" awe mwanamke.
Mbona yeye ni mwanaume?

#YNWA
Kama ukisoma reply yangu kwa umakini utagundua aya ya mwisho niliandika hivi naji quote.

"Kwa case ya issa bin maryam ni tofauti sana maana Mungu ndo aliamua azaliwe bila baba kivipi? Mimi sijui anajua Mungu pekee maana kidogo mfano wake unafanana na wa adamu".

hayo maneno ya mwanzo tu yanaonesha utofauti wake na hawa turners syndrome means yeye ni kazaliwa wakiume kitu ambacho ni impossible kwa turners syndrome ndiyo maana nikasema "case yake ni tofauti sana sawa na adam" means aliumbwa kwa amri ya mwenyezi mungu.
 
Umeshindwa kujibu hoja yangu kwaio kitulize
Hoja ipi ?
Kwani wewe ni Mwanafunzi wa Paulo ?

Huyo Paulo ni kama wewe tu na anahitaji kutubu ili afike Mbinguni kwakuwa hakuna Binadamu mkamilifu.

Msikilize Mungu
Msikilize Malaika
Msikilize Masihi Yesu Kristo wa Nazareti.
Hao ndio wakamilifu.

Na sio yule Nabii wa Uwongo.
 
Yusuph nae sijui alikuwa amewekewa limbwata yaani mke wake anabeba mimba tena mazingira ya kutatanisha haijulikani mwenyewe ni nani akakaa kimya tuu mpaka leo.
Alitaka kumuacha Mke wake kwa sababu ilikuwa ni aibu zama zile za uyahudi, lakini alitokewa na malaika akamsihii asimuache mkewe,ile mimba ni kwa uwezo wa Mungu
 
Hoja ipi ?
Kwani wewe ni Mwanafunzi wa Paulo ?

Huyo Paulo ni kama wewe tu na anahitaji kutubu ili afike Mbinguni kwakuwa hakuna Binadamu mkamilifu.

Msikilize Mungu
Msikilize Malaika
Msikilize Masihi Yesu Kristo wa Nazareti.
Hao ndio wakamilifu.

Na sio yule Nabii wa Uwongo.
Empty head
 
Biblia imeeleza habari za Yesu
Ndio huyo huyo Issa anayekusudiwa kwenye Qur'an, unajua tatizo kuna watu wamejimilikisha huyo Yesu na kuona kwamba ni wao tu ndio anawahusu na ndio wanatakiwa kumuelezea na si wengine.

Hii ishu ni ndogo tu anayekusudiwa ni mmoja ambaye wengine humtambua kama Yesu na wengine Issa, ni suala la mtu kuamua kuamini maelezo yenye kumuhusu huyo mkusudiwa kutoka kwenye biblia au qur'an.
 
Ndio huyo huyo Issa anayekusudiwa kwenye Qur'an, unajua tatizo kuna watu wamejimilikisha huyo Yesu na kuona kwamba ni wao tu ndio anawahusu na ndio wanatakiwa kumuelezea na si wengine.

Hii ishu ni ndogo tu anayekusudiwa ni mmoja ambaye wengine humtambua kama Yesu na wengine Issa, ni suala la mtu kuamua kuamini maelezo yenye kumuhusu huyo mkusudiwa kutoka kwenye biblia au qur'an.
Lakini kwa ushahidi wa Quran tukufu na Biblia takatifu Issa bin sio Yesu Kristo.
Ni watu wawili tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom