medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,446
- 1,533
Acha ubishi wa kipuuzi. Umetafiti kwenye lugha za nchi zote wanavyoita? Au umekuja kuleta mabishano?hakuna mkristo anayetumia jina la issa hata siku moja
Acha ubishi wa kipuuzi. Umetafiti kwenye lugha za nchi zote wanavyoita? Au umekuja kuleta mabishano?hakuna mkristo anayetumia jina la issa hata siku moja
Kosa lilitokea wakati wa kutranslate Bible from Greek to English. Instead of Lesous au pronouns ya Yesous waliita Jesus instead of Joshua. Kwa kiswahili tulipaswa kumwita Yoshua sio Yesu.MSILAZIMISHE ISA NDIO YESU MNAZARETHI.... MNAFAIDIKA NINI
Jina Isa maana yake ni hii
Katika Qurani yenye jumla ya juzuu 30; Surah 114; aya 6236; maneno yenye kutamkia 76,440; herufi 322,373; jina Isa linatamkwa lisa au Aysi limetajwa mara 25. Isa pia ameitwa masihi mara 93. Lakini tunaposoma Qurani iliofarsiriwa na Imam Baidawi vol 1 ukurasa 160 ameeleza kuwa Isa jina la Kiarabu maana yake ni Wekundu unaozidiana na weupe.
Maana ya jina Yesu
JINA Yesu lintokana na lugha ya Kiebrania ‘Yehoshua’ katika lugha ya Kigiriki wanasema ‘lesous’ inatamka ‘Yesous’ yaani Yesu. Katika lugha ya Kiarabu wanasema ‘Yasu’, kwa kiingereza ni “Jesus” maana yake ‘Bwana anaokoa au Bwana ni Mwokozi’ Isaya 43:6, 10-11. Katika Biblia ambayo in jumla ya Sura 1189; aya 31,102; vitabu 66 – Agano la kale vitabu 39 na agano Jipya vitabu 27; neno Mwokozi kiiengereza wanasema ‘Saviour’ limetajwa mara 55. Ikumbukwe kwamba katika agano jiypa jina Yesu au Yehoshua (kwa kiebrania) limetajwa mara 1275 katika aya zipatazo 1226. Zingatia pia kuwa agano jipya lina jumla ya aya 7930 na sura 260 hivyo hapa tunaona jina Yesu maana yake ni Mwokozi na jina Isa ni wekundu uliozidiana na weupe.
Kwa kuwa maana ya haya majina tofauti bila shaka Isa sio Bwana Yesu.
Yesu mwenyewe anakukataaHUWEZI UKAJUA uungu wa Yesu kwakuwa uislamu ni kama mafalisayo
Tito 2:13paulo siyo muongo anajua YESU ni nani,kasome Yohana 14:6, “Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi
Yohana 8:40
Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, MTU ambae nimewaambia iliyo kweli, niliyoyasikia kutoka kwa MUNGU. Abraham hakufanya hivyo.
*Yesu uyo zibueni maskio hayo
Nashukuru umenisapoti atokae kwa baba,atokae kwa Mungu. Sasa nikwambie tu hakuna kisichotoka kwa Mungu....msimlishe maneno huyo atokaeYohana : 1 : 14 - Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
via OneLink.To
Katika hicho kitabu cha Yohana maneno ya Yesu yanapatikana kuanzia Yohana 1:38Yohana : 1 : 14 - Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
via OneLink.To
Nashukuru umenisapoti atokae kwa baba,atokae kwa Mungu. Sasa nikwambie tu hakuna kisichotoka kwa Mungu....msimlishe maneno huyo atokae
Paulo alikuwa mfarisayo na Yesu alishawatahadharisha kuhusu wandishi na mafarisayo
Mathayo 5:20
Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Matendo ya Mitume 23:6Mfarisayo ni mtu wa aina gani?
Matendo ya Mitume 23:6
Paulo alipotambua ya kuwa sehemu moja ni Masadukayo, na sehemu ya pili ni Mafarisayo, akapaza sauti yake katika ile baraza, Ndugu zangu, mimi ni Farisayo mwana wa Farisayo; mimi ninahukumiwa kwa ajili ya tumaini la ufufuo wa wafu.
Muulize Yesu atakuambia anawajua vizuri ndio maana alikuambia ujihadhari nao
Mathayo 5:20
Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Matendo ya Mitume 23:6
Paulo alipotambua ya kuwa sehemu moja ni Masadukayo, na sehemu ya pili ni Mafarisayo, akapaza sauti yake katika ile baraza, Ndugu zangu, mimi ni Farisayo mwana wa Farisayo; mimi ninahukumiwa kwa ajili ya tumaini la ufufuo wa wafu.
Muulize Yesu atakuambia anawajua vizuri ndio maana alikuambia ujihadhari nao
Mathayo 5:20
Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa taarifa yako hapo yesu anawasifia mafarisayo,,Paulo alikuwa mfarisayo na Yesu alishawatahadharisha kuhusu wandishi na mafarisayo
Mathayo 5:20
Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani alimpatia mimba huyo Mariam?Kuna watu wasio na baba labda kwa kuwa hauna ufahamu wa hayo mambo ipo hivi kuna genetic dissoder moja inajulikana kama turners syndrome ni pale mtoto anapozaliwa bila mbegu Ya mwanaume kuungana na ya mwanamke.
Hii inamaanisha atakuwa na chromosomes 45 kati ya zile 46 anazotakiwa kuwa nazo , na mtoto huyo atakuwa wa kike. ila kuna vitu baadhi atakuwa kapungukiwa mfano atakuwa na webbed neck , pia hatoweza kupata mazazi na pia baadhi yao huwa na upungufu wa akili.
Kwa case ya issa bin maryam ni tofauti sana maana Mungu ndo aliamua azaliwe bila baba kivipi? Mimi sijui anajua Mungu pekee maana kidogo mfano wake unafanana na wa adamu.
Hope umepata kitu.
Kitu gani kinachomfanya Isa bin maraiam kuwa masihi? Nahitaji jibu kutoka katika dini ya kiislam. Au umasihi ni title tu isiyo na maana?Huyu jamaa kapotosha hapo sasa sijui kusudi au kutokujuwa. Yesu( Issa) alifwata injili ya hebrew mengi mafundisho ya torat inaitwa agano la kale hii injili agano jipya lilikuwa baada ya zaidi miaka 400 Paul alichiandika kuchanganya ya zamani na mpya ndio maana wayahudi wanasema dini ya Paul ila yesu alikuwa muhubiri mzuri mjanja akajitenga kidogo katika jews na kuanza harakazi zake wanamchukulia kama mwana mpotevu tu ila ukisikiliza sana wayahudi wanawadharau sana wakristo sababu yesu kwao hana nafasi yoyote ukija kwa Mohammed wanasema mwarabu na dini yake islam ila wote wamechukuwa kwetu Torah, kuna ukweli fulani quraan imethibitisha yote mitume wote na vitabu vyote tofauti kuu hapa. Jews wanamuamini Mussa tu na kitabu chao Torah, Yesu hawamtambui kabisa sio Mesiah. Wakristo hawamtambui Mohammed ila waislamu wanawatambua wote ziko tofauti baina yao. Ila katika dini hizi 3 zipi wanakaribiana kidogo kwa mujibu wa Jews. Ni Jews na Islam ila wa kristo wanasema no hakuna Messiah bado hajaja.
Mathayo 5:20kwa taarifa yako hapo yesu anawasifia mafarisayo,,
USISOME BIBLIA KAMA QURAN YA MUDY
Wanafunzi wa yesu wote walikuwa wayahudi, kanisa la Kwanza wote walikuwa wayahudi, Paulo alikuwa muyahudi. Ata leo Kuna wakristo wengi tu ni wayahudi.Usilo lijua ni kwamba hayo uliyoyasema yote ni mafundisho uliyoyapata kutoka kwa wazungu ambao ndio waliokuletea ukristo
Lakini wana wa Israel waliokaa na Yesu na kuishie nae kama jirani yao ukristo wala hawaujui
Hiyo 2% ya wakristo hapo imepatikana kutoka kwa wageni kama wewe kama ukienda kuishi nchini Israel
Hivyo wewe huna uwezo wa kupinga ilichosema Quran kuhusu Yesu kwa sababu wewe waliokufundisha habari za Yesu sio wa Israel ila ni wazungu sasa je! Hizo habari za Yesu hao wazungu walikufundisha wewe wao walizipata wapi mnajua nyinyi
90% ya Italy ni wakristo kwa sababu wao ndio waliianzisha hiyo DiniView attachment 1793647View attachment 1793651