Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Wayahudi ndugu zake Yesu Kristo wametengeneza FILAMU ya maisha ya ndugu yao Yesu Kristo.

Sasa na nyinyi tengenezeni FILAMU ya maisha ya ISA.
Tuone aliishi vipi.
Nendeni MAKA mkajifunze kwa ndugu zake maisha yake.

Yaani mnaongopewa na huyo Mchawi Mtume wa Majini na mmezubaa tu.
Anawatapeli na kuwafanya mlisujudie Jiwe Jeusi la Maka, mmezubaa tu na kukubali.

Haya mtuletee filamu ya maisha ya ISA.
ISA Mkureshi.
 
Hivi ninyi tufanyeje kuwaondoa kumwamini huyo Mchawi wa Maka ?

Anaongopa kila kitu na mnamwamini tu.
Tuwasaidieni vipi ?
 
Rushdie Mwislamu Mwarabu mwenye PHD ya Dini ya Kiislamu. Alistuka na akaandika kuwa Qurani ni Satanic Verse.
Zimeandika uwongo mtupu.

Mnataka kumwua badala ya kumjibu hamwoni kuwa hili ni tatizo ?

Yesu Kristo aliandika mahali akasema.

Mathayo 11:16 Lakini nitakifananisha na nini kizazi hiki? Kimefanana na watoto wanaokaa sokoni,
wanaowaita wenzao, wakisema,

17 Tuliwapigia filimbi, wala hamkucheza; tuliomboleza, wala hamkulia.

18 Maana Yohana alikuja, hali wala hanywi, wakasema, Yuna pepo.

19 Mwana wa Adamu alikuja, akila na kunywa, wakasema, Mlafi huyu, na mlevi, rafiki yao watoza ushuru na wenye dhambi! Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa kazi zake.

"Mmejiwa na anaye jiita Mtume, Sisi tukaimba sana na kusema huyu ni tapeli wala hamkusikia"

Tuwafananishe na nini ?
 
Ukitaka historia ya kweli ya Isa Bin Maryam nenda Saudi arabia na Madina.
Watakuonesha alipozaliwa, alipoishi, ukoo wake na alipo hivi sasa.

[emoji117]Ukitaka historia ya Yesu Kristo nenda kwa ndugu zake Wayahudi huko Israeli.

Watakuonesha alipozaliwa, alipo anza kuhubiri, ndugu zake, alipohukumiwa, aliposurubiwa, alipokufa, alipozikwa, alipofufuka na alipo paa Mbinguni.

Sehemu hizi zipo mpaka hii leo watu wanaenda kila kukicha kupata shuhuda hizi na wanajiridhisha kuwa ni sahihi kabisa.

Ghafla anatokea mtu huko Maka miaka Mia tano baada ya Yesu Kristo wa Israeli kupaa Mbinguni.

Anaanza kukanusha ukweli wa Yesu wa Israeli ambaye hata hakupata kumwona kwa macho na hata huko Israeli hajafika.

Halafu wanatokea watu wanamwamini. Hakika ni mambo ya ajabu sana.
Eti historia ya Yesu wa Israeli tuipate toka kwa Wakureshi wa Saudi Arabia ?[emoji848]

Hivi ninyi mkipewa Assignment ya kuandika historia ya Yesu Kristo mtaenda kufanya utafiti Israeli aliko zaliwa na kupaa Mbinguni au kwa wale Waarabu Mabedui ?

Mkiambiwa hizo zinazowaambia huo uwongo ni Satanic Verse mnakasirika na kutaka kumchinja mwandishi badala ya kumjibu.

Kawaida ya Mchawi usipomridhisha ye anataka kukuroga tu na hana msamaha wala kutaki kukujibu.

Mmeletewa Dini mkachanganyiwa humo Mwezi na Nyota, Majini, Jiwe Jeusi, Kuelekea Kibra ili Allah akusikieni, lugha ya Kiarabu. Hata kuuliza maana yake hamtaki.
Mtabaki na akili timamu kweli.
Mnashindwa hata kuuona ukweli wa Yesu Kristo na Isa.

Wayahudi wametengeneza hadi FILAMU za Maisha ya ndugu yao Yesu Kristo bado hamuwaamini.

Kuna watu walitoa filamu ya Maisha ya Yesu Kristo Wayahudi wakaikataa, wakasema "sisi hatuna hayo matukio kwa Yesu tunaye mjua" na hiyo filamu ikajifia tu.

Mkatoa Injiri ya Barnaba nadhani mnajua iliko ishia.

Hebu jaribuni kutengeneza filamu ya maisha ya Yesu Kristo halafu onesheni anazaliwa chini ya mti wa Mtende na anaanza kuhubiri akiwa bado mtoto mchanga halafu tuone kama itaaminiwa na ndugu zake Wayahudi.

Huyo Nabii wa Majini Muhammadi hamtaki hata kutengeneza FILAMU ya maisha yake kwa kuogopa kufedheheshwa na Matendo yake Machafu.

Huyo Isa ni wenu wana msitake kumpaka mafuta afanane na Yesu wa Israeli.

Mnashindwa hata kutafakari kwa akili zenu. Kila anachosema Muhammadi ni ndio ndio tu. Oneni basi anavyo watapeli kwa swala la Yesu tu. Je na mengine.

Amkeni amkeni kama hamtaki basi

Nendeni huko Maka mkamwulizie Yesu Kristo wa Nazareti nadhani ukweli wa historia ya maisha yake mtaupata huko kwa ndugu zake Makureshi.
Hao wayahudi mnowapenda wao wenyewe hawamjui huyo yesu
Nyie endeleeni kudanganywa tuu
 
Ila kuna swali huwa najiuliza hivi ilikuaje hadi huu mkusanyiko wa vitabu kwa maana biblia ukawa ndio kitabu kimoja chenye kutambulika kwamba ndio kitabu cha waumini wa Yesu kwa maana wakristo?
 
Kuna watu wasio na baba labda kwa kuwa hauna ufahamu wa hayo mambo ipo hivi kuna genetic dissoder moja inajulikana kama turners syndrome ni pale mtoto anapozaliwa bila mbegu Ya mwanaume kuungana na ya mwanamke.

Hii inamaanisha atakuwa na chromosomes 45 kati ya zile 46 anazotakiwa kuwa nazo , na mtoto huyo atakuwa wa kike. ila kuna vitu baadhi atakuwa kapungukiwa mfano atakuwa na webbed neck , pia hatoweza kupata mazazi na pia baadhi yao huwa na upungufu wa akili.

Kwa case ya issa bin maryam ni tofauti sana maana Mungu ndo aliamua azaliwe bila baba kivipi? Mimi sijui anajua Mungu pekee maana kidogo mfano wake unafanana na wa adamu.

Hope umepata kitu.
Hapana bado sijapata...
Turner syndrome inatoa "masharti" awe mwanamke.
Mbona yeye ni mwanaume?

#YNWA
 
Hii ni sawa na kuuliza kwa nini yesu atambulika kama yesu ndani ya bibilia.

Yani anatambulika hivyo kwa sababu ndo aliitwa hivyo,hilo sio jina la utani alilopewa na Qurani ni jina halisi ambalo Qurani imenukuu na kutusimulia visa vyake.

Yeye hakua na baba kwa maana Allah alijaalia mariam apate mimba bila ya mume.

Na hiki kitendo cha kuwa hana baba ndio maana akaitwa issa bin maryan.

Bin ni mtoto wa kiume.
Binti ni mtoto wa kike

Kwa hivyo ukiambiwa john bin magufuli hii bin inamhusu aliyetangulia kutajwa na sie anaefuata kutajwa.

Mfano.

Samia bint hassa. Manake unajua binti inamhusu samia kwa maana hapa samia ndio binti mwenyewe.

Hii bin na binti sana ipo katika lugha ya kiarabu ambayo ina utajiri wake wa maneno kama lugha zingine.
Kwahiyo kama hana baba na Mungu alipandikiza mimba, basi ni sahihi kumuita mwana wa Mungu?
Yule ni mtume mkuu kwa mujibu wa Qurani.lakini Qurani haikuishia hapo tu kutambua kwamba ni mtume bali iendelea kuonesha kwamba inatambua kuna watu wanamtukuza kinyume na alivyo.

Mfano ukiangia aya hii..

وإذ قال الله يا عيسى ابن مريم أأنت قلت للناس اتخذوني وأمي إلهين من دون الله قال سبحانك ما يكون لي أن أقول ما ليس لي بحق إن كنت قلته فقد علمته تعلم ما في نفسي ولا أعلم ما في نفسك إنك أنت علام الغيوب [ AL - MAIDA - 116 ] Na pale Mwenyezi Mungu atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Mwenyezi Mungu? (Na Isa) atasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hainifalii mimi kusema ambayo si haki yangu. Ikiwa nilisema basi bila ya shaka umekwisha yajua. Wewe unayajua yaliyo ndani ya nafsi yangu, lakini mimi siyajui yaliyo katika nafsi yako. Hakika Wewe ndiye Mjuzi mkubwa wa yaliyo fichikana.

Hii aya inaelezea future time yaani kana kwamba imefanya time travelling na kujua kitakachotokea siku ya kiama.
Kwahiyo Mungu alishajua...
Nitaumba kitu then kitaabudiwa kama Mimi na baadae hao wanaokiabudu wanitawachoma?

Kwahiyo Mungu anaijua kabisa idadi atakayoichoma?
Hili ni swala ambalo wanatakiwa wajibu hao watu ambao hawatumii Qurani
Kuwajibia suala kama hili hatutafanya haki.
Amezaliwa bila baba then ni mwana wa Mungu.

#YNWA
 
Hao wayahudi mnowapenda wao wenyewe hawamjui huyo yesu
Nyie endeleeni kudanganywa tuu
Kwani FILAMU ya maisha ya Yesu Kristo ameitengeneza nani?

Kama Wayahudi hawamjui tuambie wewe nani anamjua Yesu Kristo ?

Kwani Yesu Kristo ni Mdengeleko au Mchaga hadi asijulikane na ndugu zake ?
 
Huyu ambaye kwenye kiingereza huitwa Jesus na kiswahili huitwa Yesu, tunaambiwa jina lake hutenda miujiza je ni jina lake lipi hilo ambalo lina miujiza?
 
Kwani FILAMU ya maisha ya Yesu Kristo ameitengeneza nani?

Kama Wayahudi hawamjui tuambie wewe nani anamjua Yesu Kristo ?

Kwani Yesu Kristo ni Mdengeleko au Mchaga hadi asijulikane na ndugu zake ?
Acha kudhihirisha ujinga wako hpa
Uyo brian deacon kwani ni myahudi?
hlf yy alishasema yy na kanisa ni tofauti ila alishinda tu kuact ile movie hlf wakristo walivo wajinga sasa utakuta visanamu vya brian deacon makanisani eti ndo yesu hhhhhhhhhh
Nyie kubalini tu iyo dini yenu mumepigwa na hakuna sehemu yyte ile ktka bible Yesu anajiita Mungu ila utasikia Paulo sijui nani yni full uongo
Haya muangalie uyo brian deacon kma ni myahudi
20220508_050146.jpg
 
Ona hapa Yesu Kristo anaongea na ndugu zake Waarabu

Yohana 8:31 Basi Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, Ninyi mkikaa katika neno langu, mmekuwa wanafunzi wangu kweli kweli;

32 tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.

Huyu Mkureshi anashangaza sana.
 
Acha kudhihirisha ujinga wako hpa
Uyo brian deacon kwani ni myahudi?
hlf yy alishasema yy na kanisa ni tofauti ila alishinda tu kuact ile movie hlf wakristo walivo wajinga sasa utakuta visanamu vya brian deacon makanisani eti ndo yesu hhhhhhhhhh
Nyie kubalini tu iyo dini yenu mumepigwa na hakuna sehemu yyte ile ktka bible Yesu anajiita Mungu ila utasikia Paulo sijui nani yni full uongo
Haya muangalie uyo brian deacon kma ni myahudi View attachment 2216021
Kwani Yesu Kristo ni Kabila gani ?

Huyo Brian Decon ameigiza matendo ya Yesu Kristo kwa mujibu wa ndugu zake Wayahudi.

Hivi wewe hujaiona filamu ya maisha ya Iddi Amini ?
Imeigizwa na yule Msukuma. Na imekubaliwa na Waganda wenyewe.

Au ndio Majini yamekupagawa ?
Sasa hivi upo unazungumza na ndugu zako wa Kijini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli Mudi kawapiga na kitu kizito moyoni.
Hadi akili imewatoka
 
Yohana 8:31 Basi Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, Ninyi mkikaa katika neno langu, mmekuwa wanafunzi wangu kweli kweli;
Yohana 8:32 tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.

Ona hapo Yesu Kristo anazungumza na ndugu zake Wakureshi.
Wa Saudi Arabia.
Kwa mujibu wa Muhammadi.
 
Hivi ni kitu gani kinafanya hata msiukubali ukweli ?

Ni Majini au [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndio mpo Kijini Jini sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yaani Muhammadi anawaunganisha na Majini. Na mnamwangalia tu.
Hivi mshawahi kukutana na hao ndugu zenu wa Kijini ?
Muhammadi alikuwa anakutana wapi na Majini na kuwafundia Uislamu?

Ni kwamba alikuwa Mchawi.
Bila kuwa mchawi huwezi kuongea na Majini.
Au naongopa ?
 
Bado mnao muda Mchache
Karibuni kwa Yesu Kristo.

Mtu pekee asiye na dhambi
Ni Mtakatifu.
Ukitaka kuwa Mtakatifu msikilize Mtakatifu.
Yeye ndiye

Yohana 14:6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
7 Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba; tangu sasa mnamjua, tena mmemwona.
 
Hili andiko nalipenda sana.
Lina Hekima nyingi sana.

Katu simchukii mtu yeyote.

Mathayo 11:15 Mwenye masikio, na asikie.

16 Lakini nitakifananisha na nini kizazi hiki? Kimefanana na watoto wanaokaa sokoni, wanaowaita wenzao, wakisema,

17 Tuliwapigia filimbi, wala hamkucheza; tuliomboleza, wala hamkulia.

18 Maana Yohana alikuja, hali wala hanywi, wakasema, Yuna pepo.
19 Mwana wa Adamu alikuja, akila na kunywa, wakasema, Mlafi huyu, na mlevi, rafiki yao watoza ushuru na wenye dhambi! Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa kazi zake.
 
Toka dunia iumbwe hakuna mtu aliyesimama hadharani na kusema

Yeye ndiye Njia, Kweli na Uzima na hadhara ikakubali hadi hii leo.

Isipokuwa Masihi Yesu Kristo wa Nazareti.

Kwanini wewe na mimi hatutaki kumwamini ?

Kaponya wagonjwa, Kafufua wafu, na ameahidi kutufufua siku ya mwisho na anaweza.

Na atarudi kutusaidia tena, shida iko wapi ?
Kapaa Mbinguni hadharani kabisa na atashuka tena kutusaidia.

Shida iko wapi ?
 
Toka dunia iumbwe hakuna mtu aliyesimama hadharani na kusema

Yeye ndiye Njia, Kweli na Uzima na hadhara ikakubali hadi hii leo.

Isipokuwa Masihi Yesu Kristo wa Nazareti.

Kwanini wewe na mimi hatutaki kumwamini ?

Kaponya wagonjwa, Kafufua wafu, na ameahidi kutufufua siku ya mwisho na anaweza.

Na atarudi kutusaidia tena, shida iko wapi ?
Kapaa Mbinguni hadharani kabisa na atashuka tena kutusaidia.

Shida iko wapi ?
Yni m nabaki kucheka tuu kwa jinsi ulivo na ujinga ndani yko
ety nije kuamini bible wakati bible iyo iyo inamtukana uyo Mungu wenu
hlf m hua siongei maneno matupu kataa hili andiko tuone kma bible ni ya ukweli au ya uongo
20220214_215703.jpg
 
Back
Top Bottom