Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Ibin Kathir katika tafsir yake anasema wajumbe hao ni Yohana, Simoni na Paulo.

Na hapa namnukuru ibn Kathir.

قال ابن جرير عن وهب بن سلمان عن شعيب الجبائي قال كان اسم الرسولين الأولين شمعون ويوحنا واسم الثالث بولص والقرية انطاكية فقالوا » أي لأهل تلك القرية « إنا إليكم مرسلون » أي من ربكم الذي خلقكم يأمركم بعبادته وحده لاشريك له قاله أبو العالية وزعم قتادة أنهم كانوا رسل المسيح عليه السلام إلى أهل انطاكية « قالوا ما أنتم إلا بشر مثلنا » أي فكيف أوحي إليكم وأنتم بشر ونحن بشر فلم لا أوحي إلينا مثلكم ولو كنتم رسلا لكنتم ملائكة وهذه شبهة كثير من الأمم المكذبة كما أخبر الله تعالى عنهم في قوله عز وجل « ذلك بأنه كانت تأتيهم رسلهم بالبينات فقالوا أبشر يهدوننا »

Imesimuliwa na Ibn Jurayj kutoka kwa Wahb bin Sulayman, imepokelewa na Shu`ayb Al-Jaba’i, “Majina wajumbe wawili wa waliotumwa mwanzo ni Simoni na Yohana na jina la wa tatu ni Paulo. Na mji huo ulikuwa Antiokia” , and the city was Antioch. Na wakasema (kwa watu wa mji huo) “hakika sisi tumetumwa kwenu kama wajumbe”, hii ina maanisha “Wajumbe kutoka kwa Allah aliyewaumba nyinyi na anayewaamrisha mumwabudu yeye peke yake na msimfanyie washirika.” Qatada amesema walikuwa ni wajumbe wa Masihi Isa bin Maryam (a.s) waliotumwa kwa watu wa Antiokia. Wakasema “Ninyi ni wanadamu kama sisi…ni kwa vipi munaweza kupokea ufunuo wakati nyie ni wanadamu na sisi tu wanadamu kama nyie, kwanini sisi hatupokei ufunuo kama nyie?” hivi ndivyo ilivyokuwa kwa watu wa mataifa mengine walivyosema ‘hatuamini’, kama vile Allah anavyotuambia katika sura ya 64:6 , “Hayo ni kwa kuwa walikuwa wakiwajia mitume wao kwa hoja zilizo wazi, nao wakasema: Hivyo binadamu ndiyo atuongoe? Basi wakakufuru na wakageuka upande. Mwenyezi Mungu akawa hana haja nao…”
Bulus ndiyo Paulo ? Thibitisha hilo ?

Ibn Kathir amemtaja Shamu'n,Yahunna na Bulus. Katika mapokezi mengine amemtaha Sadiq,Saduq na yule wa tatu.

Unajia kusoma Kiarabu mzee ? Hujaonyesha wapi ametajwa Paulo katika nukuu ya Imaam Ibn Kathir,matini inasomeka "Bulus", sasa ndiyo ututhibitishie ya kuwa Bulus ndiyo Paulo. Usipoteze muda.
 
NDIO KICHAKA CHAKO CHA KUKIMBIA MASWALI, NDIO MAANA NIMEKWAMBIA BAADA YA KUJIBIWA, UKAZALISHA MADA MPYA

SO ANZISHA UZI KUHUSU WAANDISHI, HUWEZI KUNITOA NJE YA MADA KIUJANJA
Wapi umenitajia majina ya waandishi wa vitabu hivyo ? Hilo ndiyo swali langu kuu.

Sasa niambie umeyataja wapi hayo majina nikayasome.
 
Wapi umenitajia majina ya waandishi wa vitabu hivyo ? Hilo ndiyo swali langu kuu.

Sasa niambie umeyataja wapi hayo majina nikayasome.
Usitoke nje ya mada , sio mda wake kutaka waandishi , anzisha nada Yako uombe kujua waandishi
 
Huyo ni mbabaishaji , atakuzungusha kukwepa ukweli, wengine mpaka wamemkana ibn Kathir na kutunga mambo yao huo ndio uislamu wanaruhiaiwa kudanganya kutete dini ya Allah
Nacheka sana. Shughuli yangu unaijua.

Nasubiri majina ya waandishi wa vitabu vya Mwanzo na hesabu na ushahidi juu ya waandishi hao. Mwenzako anadai amenijibu hilo swali,sasa sijui jibu lake liko wapi,kama umeona hilo jibu nionyeshe nikapate faida.
 
Bulus ndiyo Paulo ? Thibitisha hilo ?

Ibn Kathir amemtaja Shamu'n,Yahunna na Bulus. Katika mapokezi mengine amemtaha Sadiq,Saduq na yule wa tatu.

Unajia kusoma Kiarabu mzee ? Hujaonyesha wapi ametajwa Paulo katika nukuu ya Imaam Ibn Kathir,matini inasomeka "Bulus", sasa ndiyo ututhibitishie ya kuwa Bulus ndiyo Paulo. Usipoteze muda.
Ibn Kathir amewashika gonads 😂😂😂
 
Nacheka sana. Shughuli yangu unaijua.

Nasubiri majina ya waandishi wa vitabu vya Mwanzo na hesabu na ushahidi juu ya waandishi hao. Mwenzako anadai amenijibu hilo swali,sasa sijui jibu lake liko wapi,kama umeona hilo jibu nionyeshe nikapate faida.
Sio mada , nakujua hua unapindisha mada jikite kwenye mada ,uhandishi waachie wenye kitabu chao
 
Usitoke nje ya mada , sio mda wake kutaka waandishi , anzisha nada Yako uombe kujua waandishi
Sijatoka nje ya mada huwezi kuniwekea marejeo ambayo wewe mwenyewe huna uhakika nayo.

Wewe uniambie mathalani Yesu ni mungu bila kunipa ushahidi na kujua nani muandishi wa kitabu husika. Maisha yetu tunaishi kuutafuta ukweli.

Kwahiyo usilazimishe kunitoa nje ya mada wakati nipo ndani ya mada.

Nasema hivi tutajieni Rijali wenu walio waletea hizi habari toka kwa Yesu. Hatutaki porojo.
 
Unanipa mashaka sana na uelewa wako...

Umedai İbn kathir ndo kataja hilo jina Bulus,, sasa kwanini uthibitisho utoke Google ? Kwani Google imeandikwa na İbn kathir ?

Nilitegemea ungetumia maandiko ya İbn kathir kuthibitisha kuwa alimaanisha Paulo kwa sababu yeye ndo alitaja hilo jina ( kwa madai yako )
Acha upumbavu basi, wewe ulitaka aandike Paul wakati aliandika Jina kwa kiharabu, stupidity is amazing
 
Ibn Kathir amewashika gonads 😂😂😂
Ibn Kathir ni mwanachuoni wetu,na sijapinga alichokiandika.

Matini ya athari aliyo iweka mwenzako toka kwa Imaam Ibn Kathir,imewataja hao Shamun,Yahunnah na Bulus. Mwenzako anadai kwamba Ibn Kathir amemtaja Paulo. Ndiyo namuuliza matini anayo,wapi ametajwa Paulo,au nyote hamjui kusoma Kiarabu ?
 
Sijatoka nje ya mada huwezi kuniwekea marejeo ambayo wewe mwenyewe huna uhakika nayo.

Wewe uniambie mathalani Yesu ni mungu bila kunipa ushahidi na kujua nani muandishi wa kitabu husika. Maisha yetu tunaishi kuutafuta ukweli.

Kwahiyo usilazimishe kunitoa nje ya mada wakati nipo ndani ya mada.

Nasema hivi tutajieni Rijali wenu walio waletea hizi habari toka kwa Yesu. Hatutaki porojo.
Hatuko na mada ya uhandishi, stay focused
Stupidity is amazing
 
Sio mada , nakujua hua unapindisha mada jikite kwenye mada ,uhandishi waachie wenye kitabu chao
Kwahiyo kutaka ukweli juu ya kitabu cha hesabu au mwanzo nako ni nje ya mada ? Kwahiyo nikubali kile ambacho mnakiweka pasi na nyinyi wenyewe kumjua muandishi wa hicho kitabu ? Haya ni matumizi mabaya ya akili.

Lazima tujue ukweli wa mambo kama ulivyo,na hizi ndiyo njia zake,ndiyo maana mnashindwa sababu waandishi wa vitabu vyenu hawajulikani na maandiko yenu hayafiki kwa mtu wa kwanza,ambaye ni Yesu,sasa mtuambie maandiko yenu mmeyatoa wapi ?
 
Hatuko na mada ya uhandishi, stay focused
Stupidity is amazing
Unaujuaje ukweli wa kitabu cha hesabu au mwanzo pasi na kuhakiki chanzo cha hizo habari zilizomo katika vitabu hivyo ?

Ndiyo maana dini yenu imejaa uongo na ushirikina kwa kukayakalia kimya mambo ya puuzi pasi na kuhakiko habari. Ujinga hui huukuti katika Uislamu.

Nasubiri majina ya waandishi wa hivyo vitabu,kisha tuangalie hayo yametoka kwa nani ili tujue mbivu na mbichi.

Hatuleo ujinga.

Nipo ...
 
Unatatizo la ufikiri hafifu, copy neno Bulus andika Bulus name meaning ka search Google, acheni unafiki , Kuna mwenzako kagundua hilo kamtukana ibn Kathir
Nacheka sana,swali langu ni kuwa wapi Ibn Kathir amemtaja Paulo ?

Mbona hujauliza Yuhunnah na Shamu'un ?

Yaani kipi kimewajulisha ya kuwa Bulus ni Paulo ? Msikimbie swali la msingi.
 
Acha upumbavu basi, wewe ulitaka aandike Paul wakati aliandika Jina kwa kiharabu, stupidity is amazing
Ndo ututhibitishie kuwa alimaanisha huyo Paulo..

If you assert a claim without valid proof, then it is considered void..

Bado hujanitajia mwaka, mwezi na tarehe alozaliwa Yesu !!
 
Unaujuaje ukweli wa kitabu cha hesabu au mwanzo pasi na kuhakiki chanzo cha hizo habari zilizomo katika vitabu hivyo ?

Ndiyo maana dini yenu imejaa uongo na ushirikina kwa kukayakalia kimya mambo ya puuzi pasi na kuhakiko habari. Ujinga hui huukuti katika Uislamu.

Nasubiri majina ya waandishi wa hivyo vitabu,kisha tuangalie hayo yametoka kwa nani ili tujue mbivu na mbichi.

Hatuleo ujinga.

Nipo ...
Nimeshakwambia sio mada , na wala hakuna kupoteza mda na maswali Yako ya kutoa watu Kwenye mada, nawajua waislamu ,mkibanwa mnakimbilia mada tofauti.

Cha msingi ibn Kathir kavuta gonads
 
Nacheka sana,swali langu ni kuwa wapi Ibn Kathir amemtaja Paulo ?

Mbona hujauliza Yuhunnah na Shamu'un ?

Yaani kipi kimewajulisha ya kuwa Bulus ni Paulo ? Msikimbie swali la msingi.
Wewe umekuja kudandia mada hujasoma huko nyuma , tumeshaweka wote watatu

Stupidity is amazing
 
Nimeshakwambia sio mada , na wala hakuna kupoteza mda na maswali Yako ya kutoa watu Kwenye mada, nawajua waislamu ,mkibanwa mnakimbilia mada tofauti.

Cha msingi ibn Kathir kavuta gonads
Endelea kujifariji.

Nasubri ushahidi.
 
Back
Top Bottom