Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Wewe umekuja kudandia mada hujasoma huko nyuma , tumeshaweka wote watatu

Stupidity is amazing
Nionyeshe mzee. Hili ungeliweka ungeonekana akili yako inafanya kazi.

Nasubiri ushahidi.
 
Hakumaanisha Paul , ila aliandika Jina ambalo maana yake ni Paul
Kumbe unakubali kuwa hakumaanishi Paul,,

Sasa kuna haja ya kuendelea na mjadala ?

Kumbuka Bado nakudai mwaka, mwezi na tarehe alozaliwa Yesu !!
 
Toka mwanzo nilisha kwambia huyo ni Paul wa Allah , sijui akili zenu huwa mnatumiaje
Hakumaanisha Paul ila Jina Bulus maana yake ni Paul.

Nilisha kujibu tarehe unayotumia ni kwa mujibu wa Jesus Christ do your homework and make calculation
 
Abdool Tumia akili na tafuta jina Bulus kwa lugha zingine acha kubweteka.

Stupidity is amazing

Sijawahi ona Abdool anatumia akili
Naendelea kucheka sana. Hujajibu swali langu. Kipi kimekujulisha kwamba Bulus ni Paulo ?

Imaam wetu Ibn Kathir hili ameliweka wazi sana,na akawakosoa pia,shida yenu hata hivyo vitabu hamna na hamvisomi.

Kuna swali niliuliza uniambie hao mitume walitumwa na nani ? Kwa idhini ya nani ? Hamkujibu. Aya ya 13- na kuendelea inaonyesha wazi kwamba hao mitume walitumwa ba Allah. Swali ni je Paulo alitumwa na Yesu au Allah...?

Lakini watu wake hawakuwaamini mitume hao ? Je ni kweli watu wa Antioki hawakuwaamini mitume ? Rejea Historia.

Ukisoma katika tafsiri ya Ibn Kathir kuna mapokezi mengine yanawataja mitume hao kwa majina matatu ambayo ni Sadiq,Saduq na Shalum.

Kwahiyo usiniletee habari za Google,unatakiwa urejee katika vitabu husika.
 
Abdool wewe ni mtupu kabisa.

Kasome vizuri hao mitume walitumwa na nani ndio tutaendelea na debet , kama issue hio hujui siwezi debate na kilaza
 
Toka mwanzo nilisha kwambia huyo ni Paul wa Allah , sijui akili zenu huwa mnatumiaje
Hakumaanisha Paul ila Jina Bulus maana yake ni Paul.
Paul wa Allah kwa uthibitisho gani ?
Wapi umeona Qur'an au hadith inamzungumzia mtu anayeitwa Paul ?
Nilisha kujibu tarehe unayotumia ni kwa mujibu wa Jesus Christ do your homework and make calculation
Unanipa mashaka sana na ufahamu wako !!

Kwanini hamjui mwaka, mwezi na tarehe alozaliwa Yesu ( mnayemuita Mungu wenu) ?

Hii ni dhahiri kuwa Ukristo ni dini ya uongo na ya kutungwa !!
 
Ndo kitu ambacho anashindwa kukielewa huyo..

Uthibitisho lazima atuambie kutoka katika vitabu vya İbn kathir, na sio Google..

Mpaka sasa ameshindwa kutuletea huo uthibitisho..
Abdools mnapeana moyo, ibn Kathir kawavuta gonads mpaka mnachanganyikiwa Lala ukiwaza kesho utatetea jina Bulus lisiwe Paul, Ita mpaka kiongozi wako wa dini kesho nitakuwa online
 
Abdool wewe ni mtupu kabisa.

Kasome vizuri hao mitume walitumwa na nani ndio tutaendelea na debet , kama issue hio hujui siwezi debate na kilaza
Naona umeanza kuelewa sasa,nataka nikuonyeshe Imaam wetu Ibn Kathir ameweka yote hayo wazi,sababu yeye alikuwa ananukuu toka kwa walio mtangulia.

Hapa nashughulika na nyinyi na upande wetu sisi,kwenu nyinyi mnaamini ya kuwa hao mitume walitumwa na Yesu,lakini katika Qur'aan mitume hao wametumwa na Allah.

Lakini swali ni je hao mitume walio tajwa katika aya walikuwa kabla ya Musa au baada yaani kipindi cha Yesu ? Haya ninayo yahoji hapa Imaam Ibn Kathir ameyaweka wazi.

Mwisho nakuja kuweka hitimisho la Ibn Kathir,linalo onyesha ya kuwa si Paulo.
 
Ndo kitu ambacho anashindwa kukielewa huyo..

Uthibitisho lazima atuambie kutoka katika vitabu vya İbn kathir, na sio Google..

Mpaka sasa ameshindwa kutuletea huo uthibitisho..
Abdools mnapeana moto, ibn Kathir kawavuta gonads mpaka mnachanganyikiwa Lala ukiwaza kesho utatetea jina Bulus lisiwe Paul, Ita mpaka kiongozi wako wa dini kesho nitakuwa
Paul wa Allah kwa uthibitisho gani ?
Wapi umeona Qur'an au hadith inamzungumzia mtu anayeitwa Paul ?

Unanipa mashaka sana na ufahamu wako !!

Kwanini hamjui mwaka, mwezi na tarehe alozaliwa Yesu ( mnayemuita Mungu wenu) ?

Hii ni dhahiri kuwa Ukristo ni dini ya uongo na ya kutungwa !!
Tarahe unayotumia leo hii ni kwa mujibu wa Yesu , Abdool acha kupoteza mda kutoka nje ya mada
 
Naona umeanza kuelewa sasa,nataka nikuonyeshe Imaam wetu Ibn Kathir ameweka yote hayo wazi,sababu yeye alikuwa ananukuu toka kwa walio mtangulia.

Hapa nashughulika na nyinyi na upande wetu sisi,kwenu nyinyi mnaamini ya kuwa hao mitume walitumwa na Yesu,lakini katika Qur'aan mitume hao wametumwa na Allah.

Lakini swali ni je hao mitume walio tajwa katika aya walikuwa kabla ya Musa au baada yaani kipindi cha Yesu ? Haya ninayo yahoji hapa Imaam Ibn Kathir ameyaweka wazi.

Mwisho nakuja kuweka hitimisho la Ibn Kathir,linalo onyesha ya kuwa si Paulo.
Abdool nakucheka maana hata vitabu vyako huvijui, nenda kasome usiku huu , kasome scholar wa zamani kama watano tukutane kesho asubuhi , niku spank

Lala ukimuota Bulus na Ibn Kathir
Ibn Kathir kawashika gonads na amezivuta kwa nguvu
 
Ndo kitu ambacho anashindwa kukielewa huyo..

Uthibitisho lazima atuambie kutoka katika vitabu vya İbn kathir, na sio Google..

Mpaka sasa ameshindwa kutuletea huo uthibitisho..
Hawa hata kitabu cha Imaam Ibn Kathir hawana.

Ukisoma tafsir ya Ibn Kathir imeweka maoni yote wazi na athari yenye ngu ni ile ya swahaba Ibn Abbas,ambayo imewataja Sadiq,Saduq na Shalum.

Lakini imaam akaonyesha ya kuwa hao wanazuoni walioutja mji huo wa Antioki hawana uhakika.

Swali lingine ni je hao mitume kina Paulo walitumwa na Yesu au Allah ? Ukisoma aya inaonyesha ni Allah na wao wanadai wametumwa na Yesu. Haya maswali hawawezi kujibu.

Lingine ni kuwa aya inaonyesha dhahiri hao mitume walitumwa kabla ya Musa,ndiyo maana mji husika na wstu wake ukaangamizwa. Ndiyo maana baada ya Kuondoka Musa hapakuwa na maangamizo mengine ya halaiki kwa watu walio kataa imani ya kweli. Sasa swali ni je lipi linalo wafanya waseme Bulus ni Paulo ?
 
Abdool nakucheka maana hata vitabu vyako huvijui, nenda kasome usiku huu , kasome scholar wa zamani kama watano tukutane kesho asubuhi , niku spank

Lala ukimuota Bulus na Ibn Kathir
Ibn Kathir kawashika gonads na amezivuta kwa nguvu
Hao wote nimewasoma na ukiangalia masimulizi yao hayaendi mpaka kwa Mtume.

Lakini hili Ibn Kathir amelimaliza mwenyewe,ndiyo maana nahitimisha ya kuwa huna kitabu cha Imaam Ibn Kathir.

Sasa kwanza tu huo mji wenyewe kwa hakika si antioki.

Sasa kamalizie kuyasoma aliyo yaandika Imaam Ibn Kathir,kisha uje tujadili kielimu na ujibu maswali niliyo kuuliza.

Lakini je Luka anamzungumziaje Paulo ?
 
Hapa kweli umemkamata !!

Je, Huyo Paulo alikuwepo kipindi cha Nabii Mussa ?

Hawezi kukujibu kwa hii hoja,, atakimbia...
Harudi tena,halafu hoja hii ameielezea imaam Ibn Kathir katika kitabu chake. Hawa vitabu hawana wanaokoteza mitandaoni tu kisha wanakuja huku kujadili, unakuta wanaacha mambo kibao.Imaamu Ibn Kathir amekusanya yote hayo na akahitimisha.
 
Naona Abdool unaona umepata relief, lala ukijua ngoma bado nzito, nimewapa kazi usiku huu kasomeni scholar wenu wanzamani wa5 KUHUSU Aya husika kesho nije niwamalize

Kasome pia ISSA na undugu na Imran , Haruni na Mussa alafu tukutane kesho

Ibn Kathir kavuta gonads kwa nguvu , lala ukimuwaza bulus
 
Harudi tena,halafu hoja hii ameielezea imaam Ibn Kathir katika kitabu chake. Hawa vitabu hawana wanaokoteza mitandaoni tu kisha wanakuja huku kujadili, unakuta wanaacha mambo kibao.Imaamu Ibn Kathir amekusanya yote hayo na akahitimisha.
Nimekupa kazi usiku huu kasome scholar wa5 KUHUSU Aya husika tukutane kesho , unataka upendeleo gani zaidi Abdool
 
Nakushangaa unaponiambia hili,wakati Imaam Ibn Kathir ameyaweka maoni yao katika Tafsir yake.

Laiti ungekisoma kitabu cha Ibn Kathir,usingeandika huu ujinga na kunipa mimi unayo dai kuwa ni kazi.
 
Back
Top Bottom