Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Nikutumie uthibitisho kwenye kitabu changu cha tafsiri ya Qur'an uaibike zaidi ?

Ebu acheni uzushi... Jengeni hoja za ukweli, sio kuzusha uongo
Shida kubwa waislamu kila kukicha mnatoa tafsir tofauti ili kuficha mambo kwa wasio jua kiharabu, na waislamu asilimia zaidi ya 80 hawajui kiharabu
 
Kumbe aya sahihi unazo lakini unaamua kutuma za uongo kwa matakwa yako...
Nashkuru kwa kuwa umetambua kosa lako... Usirudie tena kutuma aya za uongo
Usiseme za uongo , sema wewe unatumia tafsir ya nani? na ya mwaka gani
 
Unaonyesha namna gani ulivyo mweupe. Nenda kwenye katafute kwenye mitandao wakristo wengine wa nchi nyingine wanamuitaje huyo Yesu. Kuna wanaomuita Iso, Isus, Isa na mfanano wa majina hayo.
Ninakupa assignment kaangalie kiaramaic lugha yake aliyokuwa anayotumia anaitwaje halafu ulinganishe kama kuna mfanano hata kidogo wa hilo jina Jesus au Yesu.
  • Acha mara moja kupotosha , Hakuna mkristo anatambua Jina Issa , Issa haijulikani Muhammad alipo litoa, Majina Asilimia Kubwa aliyo copy kutoka Bible ameya copy kapatia ilipo kuja Yesu ndo akapindisha
    • Tunaona kwenye koran inamtaja Issa, Babu yake ni Imran na Uncle zake ni Haruni na Mussa
      3;35.
      Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu........
      36.
      Basi alipo mzaa alisema: Mola wangu Mlezi! Nimemzaa mwanamke(Maryamu)
      19:28 “Ewe dada yake Haruni. Baba yako hakuwa mtu mbaya.
      66;12. Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake,
  • Kwa point hizo hapo juu kutoka koran Huyu Issa akija kwenye biblia anatakiwa awe alikuwepo kipindi cha Mussa na alikuwa na Undugu na Musa na Haruni (Miaka kama 1500 kabla ya Yesu), ila biblia hakuna maali popote kwenye agano la kale linamtaja Issa na kina Mussa na Haruni
 
Quran iko plagiarized kutoka kwa Biblia na Biblia iko plagiarized kutoka kwa Torat na hiyo Torta iko plagiarized kutoka kwa imani za Kiafrika enzi za Kemit (Misri). Abrahamic religions 9Uyahudi, Ukristu, Uislam) zina miaka 6,000 tu whereas dini na imani zetu waafrika ambazo ndiyo chanzo za dini zote duniani ina miaka 120,000....tulidanganywa sana waafrika. Time to wake up.
 
Yesu kwa Kiarabu tunamwita Issa... Huwezi badilisha hio ndo hivo hakuna jinsi japokuwa hamtaki.....

Uhalisia ni kwamba Issa wa Qur'an ndo Yesu
  • Acha mara moja kupotosha , Hakuna mkristo anatambua Jina Issa , Issa haijulikani Muhammad alipo litoa, Majina Asilimia Kubwa aliyo copy kutoka Bible ameya copy kapatia ilipo kuja Yesu ndo akapindisha
    • Tunaona kwenye koran inamtaja Issa, Babu yake ni Imran na Uncle zake ni Haruni na Mussa
      3;35.
      Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu........
      36.
      Basi alipo mzaa alisema: Mola wangu Mlezi! Nimemzaa mwanamke(Maryamu)
      19:28 “Ewe dada yake Haruni. Baba yako hakuwa mtu mbaya.
      66;12. Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake,
    • Tunaona Huyu Isa wa Allah alikimbia msalaba , na Allah akatengeneza Issa mwingine ambae anafanana na Isa original ili Isa clone (cloning) asulubiwe(Hiki kitendo hakipo kwenye historia yoyote kabla ya Muhammad)
      • Koran 4:157. ................................ - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu...........
      • Cloning -is the process of producing individuals with identical or virtually identical DNA, either naturally or artificially.
  • Kwa point hizo hapo juu kutoka koran Huyu Issa akija kwenye biblia anatakiwa awe alikuwepo kipindi cha Mussa na alikuwa na Undugu na Musa na Haruni (Miaka kama 1500 kabla ya Yesu), ila biblia hakuna maali popote kwenye agano la kale linamtaja Issa na kina Mussa na Haruni
  • Hili swala tulisha maliza sema kiburi chako tu, Issa hana historia yoyote kwamba hilo jina lilikuwepo kabla ya Muhammad, Issa alikuwa inverted na Muhammad
  • Issue kubwa ilikuja pale alipo changanya Mariam na Miriam(Dada yake Musa) ndio alipo changanya madesa
 
Pitia link hiyo. Mi sijaja kubishana
 
Ipoje? Ungeweka maelezo tofauti mkuu ingekuwa vizuri sana .
Kwa sababu tunazungumzia kuzaliwa kwa Yesu bila Baba wa Duniani , Chanzo cha Turner syndrome sio mwanamke kujifungua bila baba ndio unapata mtoto wa kike mwenye Turner syndrome. Turner syndrome inasababishwa na hitilafu kwenye yai la mama au hitilafu kwenye sperm ya Baba . Matatizo hayo mengine ya mtu mwenye Turner syndrome umeyazungumzia sawa sawa.
 
Pitia link hiyo. Mi sijaja kubishana

Mbona kwenye hiyo link ukitranslate hilo neno liliondikwa kwa kiarabu ni yasue na sio Issa
 
Mbona kwenye hiyo link ukitranslate hilo neno liliondikwa kwa kiarabu ni yasue na sio Issa.
Huyo amepinga kwamba hakuna sehemu inayotumia jina la Isa ndiyo maana nimemuwekea lugha mbali mbali hilo jina Yesu wanavyotamka.
Kwa kiarabu upo sawa angalia sehemu zingine. Ukisema utofautishe kwa majina, jiulize usahihi wa neno Jesus linatoka wapi?
 
Kwa hiyo inawezekana mtume muhammad alilikopi kutoka kwenye jamii nyingine
 
  • Acha mara moja kupotosha , Hakuna mkristo anatambua Jina Issa , Issa haijulikani Muhammad alipo litoa, Majina Asilimia Kubwa aliyo copy kutoka Bible ameya copy kapatia ilipo kuja Yesu ndo akapindisha
    • Tunaona kwenye koran inamtaja Issa, Babu yake ni Imran na Uncle zake ni Haruni na Mussa
      3;35.
      Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu........
      36.
      Basi alipo mzaa alisema: Mola wangu Mlezi! Nimemzaa mwanamke(Maryamu)
      19:28 “Ewe dada yake Haruni. Baba yako hakuwa mtu mbaya.
      66;12. Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake,
    • Tunaona Huyu Isa wa Allah alikimbia msalaba , na Allah akatengeneza Issa mwingine ambae anafanana na Isa original ili Isa clone (cloning) asulubiwe(Hiki kitendo hakipo kwenye historia yoyote kabla ya Muhammad)
      • Koran 4:157. ................................ - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu...........
      • Cloning -is the process of producing individuals with identical or virtually identical DNA, either naturally or artificially.
  • Kwa point hizo hapo juu kutoka koran Huyu Issa akija kwenye biblia anatakiwa awe alikuwepo kipindi cha Mussa na alikuwa na Undugu na Musa na Haruni (Miaka kama 1500 kabla ya Yesu), ila biblia hakuna maali popote kwenye agano la kale linamtaja Issa na kina Mussa na Haruni
  • Hili swala tulisha maliza sema kiburi chako tu, Issa hana historia yoyote kwamba hilo jina lilikuwepo kabla ya Muhammad, Issa alikuwa inverted na Muhammad
  • Issue kubwa ilikuja pale alipo changanya Mariam na Miriam(Dada yake Musa) ndio alipo changanya madesa
We itakuwa unamtindio wa ubongo kwa hiyo nchi yote ya Israel mwenye jina la Imran yupo mmoja tu tena alikuwepo kipindi cha Musa na mtu mwenye jina la Harun nae alikuwepo mmoja tu tena alikuwepo kipindi cha Musa

Miaka yote 1500 baadae hakuwahi kutokea tena katika nchi ya Israel mtu anaeitwa Imran au anaeitwa Harun

Mbona mna hoja za kitoto kiasi hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NABII ISAYA ALIPO TABIRI UJIO WA YESU

Mathayo 2:6
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.

YESU ANATHIBITISHA KUWA UTABIRI WA NABII ISAYA UPO SAHIHI

Mathayo 15:24
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

NABII MUHAMMAD NAE AKATHIBITISHA KUWA ISAYA NA YESU WALIKUA SAHIHI

Quran 61-6
Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati,

YESU ALIYETENGENEZWA NA WAZUNGU KWA AJILI YA KUANZISHA DINI YAO YA UKRISTO

Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;

Manabii wa Mungu wote 3 kauli zao zinafanana kuhusu Yesu

Anatokea muhuni mmoja anaitwa Paulo anawaingiza watu chaka

Yesu anasema waache wafu wawazike wafu wao

Muhammad alipataje unabii?
 
Muhammad alipataje unabii?
ALIPEWA UTUME NA MKEWE
1622210402758.png
 
Acha kumfananisha NABII ISAYA na tapeli mudy

nabii isaya alitabiri hata kifo cha YESU kwa ulimwengu

ISAYA 53​

1 Nani aliyeamini mambo tuliyosikia?
Nani aliyetambua kuwa mkono wa Mwenyezi-Mungu ulihusika?
2Maana, mbele yake Mwenyezi-Mungu,
mtumishi wake alikua kama mti mchanga,
kama mzizi katika nchi kavu.
Hakuwa na umbo wala sura ya kutupendeza,
wala hakuwa na uzuri wowote wa kutuvutia.
3Alidharauliwa na kukataliwa na watu,
alikuwa mtu wa uchungu na huzuni.
Alikuwa kama mtu kinyaa kwa watu;
alidharauliwa na tukamwona si kitu.
4 Hata hivyo alivumilia majonzi yetu,
na kubeba huzuni zetu.
Sisi tulifikiri amepata adhabu,
amepigwa na Mungu na kuteswa.
5 Lakini alijeruhiwa kwa sababu ya dhambi zetu,
aliumizwa kwa sababu ya maovu yetu.
Kwa kuadhibiwa kwake sisi tumepata uhai;
kwa kupigwa kwake sisi tumepona.
6 Sisi sote tumepotea kama kondoo,
kila mmoja wetu ameelekea njia yake.
Lakini Mwenyezi-Mungu alimtwika adhabu,
ambayo sisi wenyewe tuliistahili.
7 Alidhulumiwa na kuteswa,
lakini alivumilia kwa unyenyekevu,
bila kutoa sauti hata kidogo.
Alikuwa kama mwanakondoo apelekwaye machinjoni,
kama kondoo akaavyo kimya anapokatwa manyoya.
Hakutoa sauti hata kidogo.
8Alidhulumiwa, akahukumiwa na kupelekwa kuuawa;
na hakuna mtu aliyejali yanayompata.
Alifukuzwa kutoka nchi ya walio hai,
kwa sababu ya makosa ya watu wangu.
9 Walimzika pamoja na wahalifu;
katika kifo aliwekwa pamoja na matajiri,
ingawa hakutenda ukatili wowote,
wala hakusema neno lolote la udanganyifu.

W
AKATI MUDY ALIYEKUJA KUZALIWA MIAKA 1000 BAADA YA ISAYA ANAKANA YESU KUFA NA KUFUFUKA

INAHITAJI AKILI ZA KUSHIKIWA KUAMINI UPUUZI WA MUDY
 
We itakuwa unamtindio wa ubongo kwa hiyo nchi yote ya Israel mwenye jina la Imran yupo mmoja tu tena alikuwepo kipindi cha Musa na mtu mwenye jina la Harun nae alikuwepo mmoja tu tena alikuwepo kipindi cha Musa

Miaka yote 1500 baadae hakuwahi kutokea tena katika nchi ya Israel mtu anaeitwa Imran au anaeitwa Harun

Mbona mna hoja za kitoto kiasi hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka uthibitisho kama nilivyo Weka , ata wa historical ikitaja hao watu.
Kazi nimemaliza msirudie tena kupotosha
 
Nyinyi tunawafanya kama ubao tu wagalatia wenzenu wenye akili wanasoma na wanaelewa kuwa kweli wazungu wamewaingiza CHAKA

Tokea lini mzungu akamjua Mungu wa kweli

Back
Top Bottom