Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
Acha kumfananisha NABII ISAYA na tapeli mudyNyinyi tunawafanya kama ubao tu wagalatia wenzenu wenye akili wanasoma na wanaelewa kuwa kweli wazungu wamewaingiza CHAKA
Tokea lini mzungu akamjua Mungu wa kweli
NABII ISAYA ALIPO TABIRI UJIO WA YESU
Mathayo 2:6
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.
YESU ANATHIBITISHA KUWA UTABIRI WA NABII ISAYA UPO SAHIHI
Mathayo 15:24
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
NABII MUHAMMAD NAE AKATHIBITISHA KUWA ISAYA NA YESU WALIKUA SAHIHI
Quran 61-6
Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati,
YESU ALIYETENGENEZWA NA WAZUNGU KWA AJILI YA KUANZISHA DINI YAO YA UKRISTO
Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Manabii wa Mungu wote 3 kauli zao zinafanana kuhusu Yesu
Anatokea muhuni mmoja anaitwa Paulo anawaingiza watu chaka
Yesu anasema waache wafu wawazike wafu wao
Sent using Jamii Forums mobile app
nabii isaya alitabiri hata kifo cha YESU kwa ulimwengu
ISAYA 53
1 Nani aliyeamini mambo tuliyosikia?Nani aliyetambua kuwa mkono wa Mwenyezi-Mungu ulihusika?
2Maana, mbele yake Mwenyezi-Mungu,
mtumishi wake alikua kama mti mchanga,
kama mzizi katika nchi kavu.
Hakuwa na umbo wala sura ya kutupendeza,
wala hakuwa na uzuri wowote wa kutuvutia.
3Alidharauliwa na kukataliwa na watu,
alikuwa mtu wa uchungu na huzuni.
Alikuwa kama mtu kinyaa kwa watu;
alidharauliwa na tukamwona si kitu.
4 Hata hivyo alivumilia majonzi yetu,
na kubeba huzuni zetu.
Sisi tulifikiri amepata adhabu,
amepigwa na Mungu na kuteswa.
5 Lakini alijeruhiwa kwa sababu ya dhambi zetu,
aliumizwa kwa sababu ya maovu yetu.
Kwa kuadhibiwa kwake sisi tumepata uhai;
kwa kupigwa kwake sisi tumepona.
6 Sisi sote tumepotea kama kondoo,
kila mmoja wetu ameelekea njia yake.
Lakini Mwenyezi-Mungu alimtwika adhabu,
ambayo sisi wenyewe tuliistahili.
7 Alidhulumiwa na kuteswa,
lakini alivumilia kwa unyenyekevu,
bila kutoa sauti hata kidogo.
Alikuwa kama mwanakondoo apelekwaye machinjoni,
kama kondoo akaavyo kimya anapokatwa manyoya.
Hakutoa sauti hata kidogo.
8Alidhulumiwa, akahukumiwa na kupelekwa kuuawa;
na hakuna mtu aliyejali yanayompata.
Alifukuzwa kutoka nchi ya walio hai,
kwa sababu ya makosa ya watu wangu.
9 Walimzika pamoja na wahalifu;
katika kifo aliwekwa pamoja na matajiri,
ingawa hakutenda ukatili wowote,
wala hakusema neno lolote la udanganyifu.
WAKATI MUDY ALIYEKUJA KUZALIWA MIAKA 1000 BAADA YA ISAYA ANAKANA YESU KUFA NA KUFUFUKA
INAHITAJI AKILI ZA KUSHIKIWA KUAMINI UPUUZI WA MUDY
The New King James Version

