Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Huu ujinga mwingine.

Ufasaha wa Qur'aan ni wa ajabu sana,hapo aya imeonyesha ya kuwa ni tamko la wakati ulio pita na la kufunga,ya kuwa haiwezekani.

Kadhalika imeeleza aya ya kuwa kwake jambo hilo ni muhali.

Ili uone ya kuwa Qur'aan ni ya maajabu,wewe onyesha tu japo uwezekanno wa yeye kuwa na mke.

1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.

2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.

3. Hakuzaa wala hakuzaliwa

4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. (al-Ikhlas : 1-4)

Ajabu ikowapi hapo. Mbona vitabu vyote vya dini vinaeleza hili kwa ufasaha. Biblia, Bavag gita, Upanishad na true scriptures vimelieleza hilo tena very deep kuliko Qur'aan maan imefanya kama person with possesions yaani kuna Mungu na alivyoviumba.
 
  • Ni maandiko gani ya kabla ya Koran yanasema Kuna watu walikuwa wanamtaja Issa kama mwana wa Mungu? kumbuka huko nyuma mlishindwa kuthibitisha uwepo wa Issa!!!
  • Allah katika Koran 21:17 anasema akitaka mke au mtoto atamtapa kwenye jamii yake
    • Had We desired to find some diversion that which provides diversion in the way of a partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so
  • Kuna issue nzito hapa, Allah wapo wangapi mpaka atumie neno Ourselves,
  • Allah anasema akitaka mke (Partner) atachukua houris au malaika kwa nini?
Elimu ya Mungu na maumbile ni kubwa na imejaa mafumbo. Creation has neither of the past or future. Creation process is happening now. Ni sasa. Walisema (miungu) tumuumbe binadamu kwa mfano wetu ina maana miungu wako zaidi ya Mmoja. Ila kuna Mungu wa kweli ambaye ni mmoja na miungu wa uwongo ni zaidi ya mmoja. Ambao madaraka yao wanapata kwa Mungu wa kweli. Uumbaji umekasimiwa kwa Miungu watatu watakatifu. Baba, Mama na Mungu Roho takatifu. Hawa wanamuumba mungu mwana (Binadamu). Ambaye kimwili (nafsi ya uwongo) anafanana na wazazi wake Baba na Mama yake. Kiroho anafanana Mungu. Mission kubwa ya Binadamu ni kama kusomea umungu ili aje awe mkamilifu na mtakatifu iliamrudie Mungu na amtumikie. Kwa leo naishia hapo.
 
Ajabu ikowapi hapo. Mbona vitabu vyote vya dini vinaeleza hili kwa ufasaha. Biblia, Bavag gita, Upanishad na true scriptures vimelieleza hilo tena very deep kuliko Qur'aan maan imefanya kama person with possesions yaani kuna Mungu na alivyoviumba.
Niwekee hayo yaliyo andikwa na hivyo vitabu,tuhakiki unachokidai.
 
Ndio,, Ninayo nakala ya kiarabu ya Qur'an iliyoandikwa kipindi cha Muhammad
QURAN YA MUHAMMAD HAIPO MAANA UMAR BIN KHATTAB, ABU BAKR NA ZAID BIN THABIT WALIKUSANYA BAADHI TU YA AYA NA SURA ZA QURAN ZIKINGINE ZILIKUWA ZIMESHAPOTEA NA KULIWA NA WANYAMA WAO WAKUFUNGWA HIVO QUR'AN IMEANDIKWA BAADHI TU YA MAMBO MENGINE YAMEACHWA

WAKATI WA UHAI WA ABU BAKR TOKA MWAKA 573 HADI 23 /8/ 634 ALIPOFARIKI MUHAMMAD MWAKA 632 MASWAHABA WENGI WALIKUFA VITANI WALIOKUWA WAMEHIFADHI QURAN KWENYE VIFUA VYAO NDIPO ABU BAKR WAKIWA NA UMAR BIN KHATTAB WAKAAMULISHA QURAN AIKUSANYE ZAID BIN THABIT NA KUIANDIKA KWENYE MSAAFU UPYA KWA SABABU QURAN ILIKUWA IMEPOTEA KWA WATU WALIOULIWA VITANI

Zaid bin Thabit (ra) amesimulia
 
Vipi kwa wakristo wanaotumia jina la Isa kwenye nchi zingine? Au kanisani umefundishwa majina ya Jesus na Yesu tu?
hakuna jina issa kwenye ukristo

hata mkristo wa misri hamjui isa

YESU/YEHOSHUA/JESUS kwa kiarabu ni YASU

issa anajua muhammad alikoliokota
 
UTABIRI WA MTUME MUHAMMAD NDANI YA BIBILIA

MUNGU ANASEMA NINI KUHUSU ISHMAEL
Mwanzo 16:11
Malaika wa Bwana akamwambia, Tazama! Wewe una mimba, utazaa mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Ishmaeli, maana Bwana amesikia kilio cha mateso yako.
Mwanzo 16:12
Naye atakuwa kama punda-mwitu kati ya watu, mkono wake utakuwa juu ya watu wote na mkono wa watu wote utakuwa juu yake, naye atakaa mbele yao ndugu zake wote.

JE! KEDAR NI MTOTO WA ISHMAEL?

Mwanzo 25:13
Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,
Mwanzo 25:14
na Mishma, na Duma, na Masa,
Mwanzo 25:15
na Hadadi, na Tema, na Yeturi, na Nafishi, na Kedema.
Mwanzo 25:16
Hao ndio wana wa Ishmaeli, na hayo ni majina yao, katika miji yao, na katika vituo vyao, maseyidi kumi na wawili kwa kufuata jamaa zao

KEDARI ALIISHI SAUDI ARABIA

Ezekieli 27:21
Arabuni, na wakuu wote wa Kedari, ndio waliokuwa wafanya biashara wa mkono wako;
kwa wana-kondoo, na kondoo waume, na mbuzi; kwa hao walifanya biashara nawe.

NABII ISAYA ANATABIRI KUWA KATIKA UZAO WA ISHMAEL KUNA UFUNUO

Isaya 21:13
Ufunuo juu ya Arabuni. Ndani ya msitu wa Arabuni mtalala, Enyi misafara ya Wadedani.
Isaya 21:14
Waleteeni wenye kiu maji, Enyi wenyeji wa nchi ya Tema; Nendeni kuwalaki wakimbiao na chakula chao.
Isaya 21:15
Kwa maana wanakimbia mbele ya panga, Upanga uliofutwa, na upinde uliopindwa, Na mbele ya ukali wa vita.

Nakuwekea ramani ya kale ya Saudi Arabia pamoja na chart inayoonyesha family tree kuanzia Kedari hadi mtume Muhammad

Sasa pingana na maandiko ya kitabu ambacho kila Jumapili unakiweka kwapani unaenda nacho kanisaniView attachment 1798867View attachment 1798868

Sent using Jamii Forums mobile app
MUHAMMAD HAJATOKA KWA ISHMAEL ,KAMA UNABISHA JIBU MASWALI HAYA UKITUMIA QURAN ISIYO NA SHAKA

1.
✔
BABA NA BABU WA MUHAMMAD WANATOKEA KWA MTOTO YUPI KATI YA WATOTO HAO 12 WA ISHMAELI?

2.
✔
KATI YA HAO WATOTO 12 WA ISHMAELI YUPI ALIKUWA NI NABII WA MUNGU ILI KUENDELEZA AGANO LA MUNGU?

3.
✔
KATI YA WATOTO 12 WA ISHMAELI YUPI ALISHAHADIA SHAHADA KUWA YEYE NI MWISLAMU ?

4:
✔
AYA IPI HUYU ISHMAELI ALIMWABUDU MUNGU WA BABA YAKE NDANI YA VITABU VYA MANABII, TORATI,ZABURI NA INJILI KABLA YA QURAN YA KUANDWA NA MASWAHABA MWAKA 610-622 B.K?

5:
✔
LETE MAJINA YA WATOTO 12 WA ISHMAELI NDANI QURAN YAKO?

NAOMBA UJIBU
 
hakuna jina issa kwenye ukristo

hata mkristo wa misri hamjui isa

YESU/YEHOSHUA/JESUS kwa kiarabu ni YASU

issa anajua muhammad alikoliokota
Unaonyesha namna gani ulivyo mweupe. Nenda kwenye katafute kwenye mitandao wakristo wengine wa nchi nyingine wanamuitaje huyo Yesu. Kuna wanaomuita Iso, Isus, Isa na mfanano wa majina hayo.
Ninakupa assignment kaangalie kiaramaic lugha yake aliyokuwa anayotumia anaitwaje halafu ulinganishe kama kuna mfanano hata kidogo wa hilo jina Jesus au Yesu.
 
MUHAMMAD HAJATOKA KWA ISHMAEL ,KAMA UNABISHA JIBU MASWALI HAYA UKITUMIA QURAN ISIYO NA SHAKA

1.
[emoji818]

Taurati , Zaburi , Injili na Quran vyote ni vitabu vya waislam shida yako nini Mimi kunuku aya za Taurati

Quran 3:3
Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili

MIMI NA WEWE NANI MWEUPE? HAKUNA JINA ISA KTK UKRISTO

HATA MAANA TU YA HILO JINA NI TOFAUTI

LETA USHAHIDI WAKRISTO GAN WANAMUITA ISSA, TUTAKUUMBUA

Yeshua Msheekha

So Jesus Christ in Aramaic is Yeshua Msheekha . In Syriac there are of course variants ,Yeshuo Msheekho in Western Syriac,Yeshua Msheekha in Eastern Syriac. You may also see Eeshoo instead of Yeshua

1622127762171.png
 
Taurati , Zaburi , Injili na Quran vyote ni vitabu vya waislam shida yako nini Mimi kunuku aya za Taurati

Quran 3:3
Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili

Sent using Jamii Forums mobile app
HIYO ZABURI NA TORATI ,INJILI ZA KWENYE BIBLIA?

ILI NIKUKABE VZR ,SITAKI DOUBLE STANDARD MARA OHOO ZILIBADAILISHWA,

1622127931873.png
 
Unaonyesha namna gani ulivyo mweupe. Nenda kwenye katafute kwenye mitandao wakristo wengine wa nchi nyingine wanamuitaje huyo Yesu. Kuna wanaomuita Iso, Isus, Isa na mfanano wa majina hayo.
Ninakupa assignment kaangalie kiaramaic lugha yake aliyokuwa anayotumia anaitwaje halafu ulinganishe kama kuna mfanano hata kidogo wa hilo jina Jesus au Yesu.
HILO JINA ISSA LENYE MAANA WEKUNDU, KAMUULIZE MUDY ALILIOKOTA WAPI

YESU KWA KILA LUGHA MAANA YAKE NI MWOKOZI WA WANADAMU

Jesus (IPA: /ˈdʒiːzəs/) is a masculine given name derived from the name IESVS in Classical Latin, Iēsous (Greek: Ἰησοῦς), the Greek form of the Hebrew and Aramaic name Yeshua or Y'shua (Hebrew: ישוע‎). As its roots lie in the name Yeshua/Y'shua, it is etymologically related to another biblical name, Joshua

1622128544266.png
 
HIYO ZABURI NA TORATI ,INJILI ZA KWENYE BIBLIA?

ILI NIKUKABE VZR ,SITAKI DOUBLE STANDARD MARA OHOO ZILIBADAILISHWA,

View attachment 1799555
Hilo la kutiwa mikono ya watu katika hivyo vitabu lipo na haliwezi kufutika Mimi nina kio cha hivyo vitabu yani Quran kama ningeona andiko katika taurati linasema ISHMAEL na kizazi chake waliishi Roma hilo ningekuachieni nyinyi mliozoea kudanganywa

Lakini kama andiko la Taurati linasema ISHMAEL na kuzazi chake waliishi Saudi Arabia hilo andiko kwangu halina shida

Yeremia 8:8
Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.

Luka 1:1
Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,
Luka 1:2
kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
Luka 1:3
nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna jina issa kwenye ukristo

hata mkristo wa misri hamjui isa

YESU/YEHOSHUA/JESUS kwa kiarabu ni YASU

issa anajua muhammad alikoliokota
Yesu kwa Kiarabu tunamwita Issa... Huwezi badilisha hio ndo hivo hakuna jinsi japokuwa hamtaki.....

Uhalisia ni kwamba Issa wa Qur'an ndo Yesu
 
ILI NIKUKABE VZR ,SITAKI DOUBLE STANDARD MARA OHOO ZILIBADAILISHWA,
Kwani uongo mkuu,, vitabu vingi kwenye Biblia vimechakachuliwa.

Na ndio maana ni ngumu kumkuta mkristo akiwa na Bible ikiwa katika lugha yake ya halisi kama ilivyo kwa sisi Waislamu ambapo tunasoma kwa lugha yake ya asili ( Kiarabu) na pia tafsiri yake...
 
Watu wengi wamekuwa wakidhani issa wa quruan tukufu ni sawa na YESU KRISTO apatikanaye ndani ya biblia takatifu @# lkn n kinyume kabisa sifa za Issa ndan ya quruan tukufu n tofauti kabisa na sifa za KRISTO YESU ndani ya biblia takatifu wale n watu wawili tofauti kabisa na hwenda mmoja n wa kutunga hajawahi tokea duniani @# mfano issa ndani ya quruan tukufu hana ukoo wakati ndani ya biblia ana ukoo ambao unarudi nyuma mpaka kwa Adam
@# Issa alizaliwa chini ya mti mahali tofauti na YESU ambaye alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe tena bethelehem ya uyahud
#@ Issa alivozaliwa aliota meno na kuongea hapo hapo kinyume na YESU ambaye biblia inamsemea mtoto akakua akaongezaka nguvu rohon (biblia takatifu imekaa kimya haijasema kama aliota meno)
#@ Issa hakuwa na wanafunzi lakn KRISTO YESU alikuwa na wanafunzi 12
#@Issa hakubatiza lkn KRISTO YESU alibatiza kwa jina la BABA na la MWANA na la ROHO MTAKATIFU
@# Issa hakusherekea pasaka lakn YESU KRISTO alihidhuria pasaka katika umri wa miaka 12
@# Issa hakutabiriwa popote kama hatakuja lkn YESU KRISTO alitabiriwa na manabii wengi
@# Issa alisema yeye sio chochote wala lolote wakati KRISTO YESU alisema YEYE ndiyo njia nuru na uzima.
@# Issa hakusulubiwa msalaban ila YESU KRISTO alikufa kwa ajili ya ukombozi wa wanadam
@# Issa hakufunga siku 40 usiku na mchana lkn KRISTO YESU hakula wala kunywa wala kufuturu kwa siku 40 usiku na mchana
@# Issa hakuwahi kumwita MUNGU baba yake lkn YESU alimwita MUNGU(YAHWE YEHOVA MUNGU WA MILELE) baba yake na tena akasema YEYE NA BABA NI UMOJA.
@# Ushahidi huu unapatikana ndan ya vitabu viwili quruan tukufu ambayo inajisema yenyewe kuwa imeshushwa mafungu mafungu toka mbinguni (kuanzia mwaka wa 600 A.D ) na biblia takatifu iloandikwa na manabii wa kiyahudi chini ya uweza wa ROHO MTAKATIFU na tena ilokuwepo miaka 3000 kabla ya quruan tukufu kuwepo ((kwa baadhi ya vitabu kama torati waamuzi yoshua ezra nehemia wafalme zaburi ayubu na kadhalika vilikuwepo miaka 3000 kbla ya quruan kuwepo) na huku vitabu vya injili vikiwepo miaka 600 kabla ya quruani kuwepo. Rukusa kukosoa.
Duh bro umenena madini
 
Hilo la kutiwa mikono ya watu katika hivyo vitabu lipo na haliwezi kufutika Mimi nina kio cha hivyo vitabu yani Quran kama ningeona andiko katika taurati linasema ISHMAEL na kizazi chake waliishi Roma hilo ningekuachieni nyinyi mliozoea kudanganywa

Lakini kama andiko la Taurati linasema ISHMAEL na kuzazi chake waliishi Saudi Arabia hilo andiko kwangu halina shida

Yeremia 8:8
Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.

Luka 1:1
Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,
Luka 1:2
kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
Luka 1:3
nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,

Sent using Jamii Forums mobile app
ACHA JANJA JANJA,

JIBU MASWALI , UNADOKOA MAANDIKO YA BIBLIA KWA MAANUFAA YAKO

UNAPOSEMA YAMETIWA MIKONO, JE UNA NAKALA ORIGINAL?

NAOMBA UJIBU MASWALI HAYA KWA QURANI

MUHAMMAD HAJATOKA KWA ISHMAEL ,KAMA UNABISHA JIBU MASWALI HAYA UKITUMIA QURAN ISIYO NA SHAKA

1.
✔

BABA NA BABU WA MUHAMMAD WANATOKEA KWA MTOTO YUPI KATI YA WATOTO HAO 12 WA ISHMAELI?

2.
✔

KATI YA HAO WATOTO 12 WA ISHMAELI YUPI ALIKUWA NI NABII WA MUNGU ILI KUENDELEZA AGANO LA MUNGU?

3.
✔

KATI YA WATOTO 12 WA ISHMAELI YUPI ALISHAHADIA SHAHADA KUWA YEYE NI MWISLAMU ?

4:
✔

AYA IPI HUYU ISHMAELI ALIMWABUDU MUNGU WA BABA YAKE NDANI YA VITABU VYA MANABII, TORATI,ZABURI NA INJILI KABLA YA QURAN YA KUANDWA NA MASWAHABA MWAKA 610-622 B.K?

5:
✔

LETE MAJINA YA WATOTO 12 WA ISHMAELI NDANI QURAN YAKO?

NAOMBA UJIBU KAMA HUWEZ YAPELEKE MSIKITINI
 
Hakuna kitu kinachoitwa Qur'an ya Muhammad mkuu... Qur'an ni ya Allah

Hapo uliposema kuna baadhi ya vitu vimeachwa inaonyesha dhahiri jinsi ulivokua hujui.
WEWE UISLAMU HUUJUI, UMEZALIWA UNAUFATA TU, HAPA TUTAKUELEKEZA UKWELI
 
Yeremia 8:8
Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.
Katika kujibu swali hili, ni muhimu kuanza kwa kuangalia makosa ya kiusomaji yaliyofanywa na wajenga hoja wa mada hii.Kwa kutolichunguza kwa makini andiko hilo ili kuelewa muktadha wake, hebu tuchunguze….!

Yeremia 8:8
Mwasemaje sisi tuna akili na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi? Lakini tazama kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.

Katika aya hiyo, yako mambo ya kimsingi ambayo kamwe wajenga hoja hawayazingatii jambo la kwanza. Nabii Yeremia anasema “torati ya Bwana tunayo pamoja nasi” hivyo kabla ya kujenga swali lolote ingepaswa kujulikana kwamba torati haikuwa kwingine bali ilikuwa mikononi mwa manabii, hivyo ilikuwa salama.

Sehemu ya pili, ni pale andiko linaposema “lakini tazama” kauli hii uhashiria kuwepo kwa upande wa pili wa watu au kundi lililo anzisha jitihada nyingine pinzani mbali, pindi torati ikiwa imehifadhiwa na manabii ambapo jitihada hizo zililenga kuikosoa torati ambayo ilihifadhiwa na kutunzwa na manabii.

Na sehemu ya mwisho ni ile kauli inayosema kalamu ya uongo ya waandishi “imeifanya kuwa uongo” kauli hii kamwe hailengi kuonyesha kuwa kulifanyika tendo la kuivuruga au kuibadilisha torati yenyewe la hasha” hapo limetumika neno “imeifanya” kuwa uongo, hii inamaana kuwa torati yenyewe ni ya kweli lakini wao walianzisha jitihada zao za kuikosoa ……..
Chukulia mfano mtu akikwambia “wewe unanifanya mimi kuwa mjinga? Je- tayari umekuwa mjinga? Jibu – hapana”. Isipokuwa yeye anafanya mambo Fulani ili kufanya uonekane hivyo na hali sivyo ulivyo.

Je waandishi waliifanyaje torati kuwa uongo na kwa namna gani?

Kwa kadri ya msingi wa maandiko ya Biblia tendo la kuifanya torati kuwa uongo huhashiria “kutamka” au “kuandika maneno yanayo pingana na torati ya Bwana”.
Biblia inaonyesha kuwa kulikuwa na watu waliojaribu kutunga na kuweka sheria zao zilionekana zikipingana na zile halali za Mungu Yehova, hivyo huko ndiko kuifanya torati au sheria halali ya Mungu kuwa uongo na si badala yake kuiharibu sheria yenyewe ya Mungu kwenye kitabu husika, fuatilia ushahidi ufuatao:-
Isaya 10:1 Ole wao wawekao amri zisizo haki na waandishi waandika Maneno ya ushupavu ili kumpotosha mhitaji asipate haki yake………
Yohana 19:5 Wayahudi wakajibu sisi tunayo sheria na kwa sheria hiyo amestahili kufa kwakuwa alijifanya mwana wa Mungu.

Maandiko hayo yanonyesha vile ambavyo wanadamu nao walivyokuwa na jitihada za upande wao wa kuasisi sheria na taratibu zao ambazo kwa kadri ya maandiko zinaonekana kupingana na zile za halali za Mungu,hivyo hizo ndizo sheria “torati” za uongo.
 
Back
Top Bottom