Umeandika uongo mwingi ila Mimi nakufundisha moja tu hiyo Luka 2:7 haisemi kama Yesu amezaliwa katika hori la kulishia ng'ombe hapo umedanganya
Luka 2:7
akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng'ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.
Andiko linasema alimlaza mtoto wake katika hori la kulia ngo'ombe baada ya kukosa nafasi katika nyumba ya wageni
Ina maana kama Maryam angepata nafasi ya kumlaza mwanawe katika nyumba ya wageni hapo katika hori la kulishia ng'ombe asingefika
Kama ni hospitali hapo katika hori la kulishia ng'ombe ni warding sehemu ambayo wazazi wanaenda kulaza watoto wao baada ya kutoka labour
Sasa kama hapo katika hori la kulishia ng'ombe ni warding je! Labour ya Yesu ilikuwa wapi?
Labour ya Yesu ni chini ya shina la mtende kwa mujibu wa Quran
Quran 19:22.
Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali.
23.
Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!
24.
Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako Mlezi amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji!
INAONEKANA UMEELEWA NILICHOKUFUNDISHA HAPA NDIO MAANA UNAPAYUKA OVYO
Sent using
Jamii Forums mobile app