Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Umeelewa maana ya Utatu (Trinity)? Kwasababu kama hujaelewa hilo dogo pia hutaelewa kingine chochote.
Whatever the case it would mean.... But must be logical..

How can Jesus christ be God and at the same time be son of God ?

Then, who will be the God in this case ?

This is a clear contradiction...
 
Kivipi yeye awe huyo baba ?
Hebu soma hapa👇👇👇

Screenshot_2021-05-26-23-19-52-55.jpg
 
MBONA UNAJITETEA KWA BIBLIA, TOKA LINI MNAIAMINI BIBLIA NYIE?

QURAN HAIJAKAMILIKA? Wapi inamuelezea KEDARI hadi KWA mudy....

ACHA JANJA JANJA KIJANA

Mwanzo 12:1-3
«Bwana akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha; nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka; nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.»


Lakini Muhammad, Qur’ani na wafuasi wake huzidi kuhakikisha kuwa Muhammad ni wa ukoo wa Ibrahimu wakati Ibrahimu si mwarabu tena!

Katika kitabu cha «maisha ya mtume Muhammad sw», twahakikishiwa kwamba Muhammad ni mwarabu wa kabila la Makureshi.

View attachment 1798570
UTABIRI WA MTUME MUHAMMAD NDANI YA BIBILIA

MUNGU ANASEMA NINI KUHUSU ISHMAEL
Mwanzo 16:11
Malaika wa Bwana akamwambia, Tazama! Wewe una mimba, utazaa mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Ishmaeli, maana Bwana amesikia kilio cha mateso yako.
Mwanzo 16:12
Naye atakuwa kama punda-mwitu kati ya watu, mkono wake utakuwa juu ya watu wote na mkono wa watu wote utakuwa juu yake, naye atakaa mbele yao ndugu zake wote.

JE! KEDAR NI MTOTO WA ISHMAEL?

Mwanzo 25:13
Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,
Mwanzo 25:14
na Mishma, na Duma, na Masa,
Mwanzo 25:15
na Hadadi, na Tema, na Yeturi, na Nafishi, na Kedema.
Mwanzo 25:16
Hao ndio wana wa Ishmaeli, na hayo ni majina yao, katika miji yao, na katika vituo vyao, maseyidi kumi na wawili kwa kufuata jamaa zao

KEDARI ALIISHI SAUDI ARABIA

Ezekieli 27:21
Arabuni, na wakuu wote wa Kedari, ndio waliokuwa wafanya biashara wa mkono wako;
kwa wana-kondoo, na kondoo waume, na mbuzi; kwa hao walifanya biashara nawe.

NABII ISAYA ANATABIRI KUWA KATIKA UZAO WA ISHMAEL KUNA UFUNUO

Isaya 21:13
Ufunuo juu ya Arabuni. Ndani ya msitu wa Arabuni mtalala, Enyi misafara ya Wadedani.
Isaya 21:14
Waleteeni wenye kiu maji, Enyi wenyeji wa nchi ya Tema; Nendeni kuwalaki wakimbiao na chakula chao.
Isaya 21:15
Kwa maana wanakimbia mbele ya panga, Upanga uliofutwa, na upinde uliopindwa, Na mbele ya ukali wa vita.

Nakuwekea ramani ya kale ya Saudi Arabia pamoja na chart inayoonyesha family tree kuanzia Kedari hadi mtume Muhammad

Sasa pingana na maandiko ya kitabu ambacho kila Jumapili unakiweka kwapani unaenda nacho kanisani
Screenshot_20210523-114931.jpg
Screenshot_20210523-104553.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
yesu hakuandika alifuata Hebrew bible mafundisho ya kiyahudi bible hii mpya iliandikwa na Paul miaka mingi baada ya yesu kufariki yalikuwa maelezo yake.
Paulo hakuandika Agano lote, yeye aliandika baazi ya vitabu tu
Mfano vitabu vya injili havikuandikwa na paulo.yeye aliandika nyaraka.
 
Whatever the case it would mean.... But must be logical..

How can Jesus christ be God and at the same time be son of God ?

Then, who will be the God in this case ?

This is a clear contradiction...
Stop your broken English Bin Muddy, there is nothing like '' The God'' there is God, he is omnipresent, sawa?

Then we say ''It must be logical'' not must be logical

Again twisting language from Swahili to english can not justify your intelligence...right?

I asked you, n I'm still asking you ''Do you really know what TRINITY is?

If you don't know I can't waste my time arguing with a dull person who knows nothing about the Keyword of our discussion. Understood???
 
Kama kitu kinaleta contradiction,, Kwanini nisihoji ?
Contradiction starts with an ignorant person who couldn't neither read nor write yet he become your Major Prophet u worship him to date
 
Tahadhali : huu si mjadala wa mashambulizi ya Kidini. Ni mjadala qwa kisomi wa kujenga Hoja. Kelele za Dini zenu pelekeni kwingine. Hapa tunataka hoja na uelewa. Sisi wengine hatuna Dini.

1. Nimekuwa nikijiuliza kwa nini huyu Nabii kwenye Quran anatambulika kama Issa Bin Mariam. Kwa jina la Mama yake ni si ukoo wa Baba yake kama wengine wote waliosalia.

2. Je wenye Quran wanamwamini ktk namna gani? Kuwa ni mtume. Je ni mtume kama Mtume mwingine?

3. Je wasiotumia Quran wanamfaham na wanamkubali kuwa ni mmoja ya manabii?

Naomba tujadiliane kwa utulivu kwa nia ya kujifunza. Mimi naifaham Quran na ninaifahamu Biblia. Kwa kuwa nmekulia katika mazingira yote mawili.
Inasadikiwa ni Zeus wa Jerusalem ila Kuna tatizo la nani ni wakwanza kuzaliwa before Zeus or after muhamad. Wataalam wa kidunia wanasema alianza Zeus miaka 500 aliopita ndipo akafuata insia ben Maryam miaka 600 mbele, ni Kama Simba na yanga uzao wao ulivyo, Sema amen. Mmoja kazaliwa chini ya mtende huko maka na mwingine Jerusalem kwenye hori la n'gombe.
 
Hebu soma hapa[emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 1798815
Malizia na huo mtari wa 10. Hapo pana mambo 2, yeye anapokea maagizo kutoka kwa baba, labda nije kwa tafsiri ingine yesu haongei anayo taka yeye ndio maana akasema baba yupo ndani yake akiwa na maana ameshibishwa maneno na utaratibu wa kuishi duniani. Elewa Alisha omba kikombe kimuepuke na ukumbuke alisha lalamika baba baba mbona waniacha pale goligota alipo kuwa katika wakati mgumu.
 
Nafsi zinazomwakilisha kivipi ?

Kwani nini lengo la kuletwa Mitume ?

Asa kuna haja gani ya kuleta Mitume ?

Think Think Think..
Kama kuleta mitume ingetosha kwanini alileta zaidi ya mmoja? Walikuwepo wengine kabla ya Mudy, kwanini ikawa hivyo na sio Mudy peke yake tangu mwanzo?

Nimeshasema tangu juu perhabs am chating with a dull person, a radical Muslim without logical contents.

Zaidi ya Safuher ninyi waislam wengine huwa ni kupoteza tu muda kudiscuss na ninyi. Kama huamini kuwa Trinity inawezekana, Pia huwezi kuelewa chochote

Sijui uliaminije kuwa Mudy asiyejua kusoma na kuandika alivuviwa na Allah

I won't waste my time anymore. Enjoy your arguments with other guys, I can't explain anymore to u, u resembles Muhammad.

tchao,
 
Nimekuelewa,,

Kulingana na mjadala wetu mm na ww ulipoanza, na hii makala ulonitumia... Inamaanisha kwamba Yesu wa Biblia ndie Issa wa Qur'an ,, si ndio ?
Km Yesu (ISSA bin Mariam )wakwenye Qur'an alisema hayo maneno" Mimi ndimi njia,na kweli na uzima,mtu Haji Kwa Baba isipokuwa Kwa njia yangu" km anajitambulisha yeye ni njia basi 100% ndiye mtu mmoja km ulivyoniuliza
 
Malizia na huo mtari wa 10. Hapo pana mambo 2, yeye anapokea maagizo kutoka kwa baba, labda nije kwa tafsiri ingine yesu haongei anayo taka yeye ndio maana akasema baba yupo ndani yake akiwa na maana ameshibishwa maneno na utaratibu wa kuishi duniani. Elewa Alisha omba kikombe kimuepuke na ukumbuke alisha lalamika baba baba mbona waniacha pale goligota alipo kuwa katika wakati mgumu.
So nini point yako mkuu
 
Baba yake ni nani ?

Moja ya maajabu ya Mola Muumba ndo hayo... Mariam alipandikiziwa mimba bila kuingiliwa na mwanaume yoyote... Hivyo, logically, Issa ( Yesu) hana baba....
Basi huyo aliyepandikiza mimba ndio baba yake.
 
Tofauti ya kuzaliwa Isa na Yesu ni hii
Isa Ibn Mariam Yesu Kristo
-Isa alizaliwa katika shina la mtemde – 19:23
-Yesu kazaliwa katika hori la kulishia ng’ombe. Luka 2:7
-Kuzaliwa kwa Isa haijulikani mimba ya mama yake ilichukua muda gani maana malaika Jibrili alisema nikupe mwana mtakatifu mara akachukua mimba na kuzaa. (19: 22-23)
-Lakini Mariamu mama wa Yesu siku zake za kuzaa zilitimia. (Luka 2:6-7)
-Qurani haionyeshi kama Isa alitabiriwa na manabii kuwa atazaliwa
-Lakini Biblia inatuthibitishia kuwa manabii walitabili kuzaliwa kwa Yesu, (Isaya 7: 14; 9:6) utabili huu ulitolewa na Nabii Isaya miaka 750 kabla ya Yesu kuja kuzaliwa nao ulitimia (Mathayo 1:18-23)
-Isa haijulikani alizaliwa katika kijiji gani wala mji, wala nchi aliyozaliwa Qurani haikueleza.
-Biblia inatujulisha kuwa Yesu alizaliwa Bethelehemu ya Uyahudi katika Mji wa Daudi umbali wa maili 5 toka kusini mwa Yerusalemu nchi ya Israeli (Lk 2:8-16). Kuzaliwa kwake mahali hapo pia ni kutimiza unabii uliotolewa na nabii Mika miaka 750-686 kabla ya kristo kuja wakati wa wafalme hawa wakitawala – Jotham, Ahaz na Hezekia wafalme wa Yuda. Yesu mwenyewe alizaliwa kama mwaka wa 4 wakati wa Mfalme Herode.

-Isa aliongea na watu akiwa mototo mchanga, na kusema kuwa yeye ni mja wa Mungu amepewa kitabu na amefanywa Nabii (Sura 19:30-33) -Yesu hakuongea na mtu akiwa mototo mchanga. Alianza kuwauliza maswali na kutoa majibu akiwa na wazee Hekaluni akiwa na miaka 12. (Luka 2: 42-49)
Hivyo tunaona kwamba tuna tofauti nyingi tu kati ya Bwana Yesu na Isa. Swali kwako mfuatiliaji je, Isa bin Maryamu ndiye Bwana Yesu Mwokozi? Tafakari.
Nakubali. Facts all the way. Yesu sio issa
 
Nakubali. Facts all the way. Yesu sio issa
Labda Facts ya kutumia akili yako lakini kwa Facts ya vitabu vya Mungu Yesu ndio Isa


NABII ISAYA ALIPO TABIRI UJIO WA YESU

Mathayo 2:6
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.

YESU ANATHIBITISHA KUWA UTABIRI WA NABII ISAYA UPO SAHIHI

Mathayo 15:24
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

NABII MUHAMMAD NAE AKATHIBITISHA KUWA ISAYA NA YESU WALIKUA SAHIHI

Quran 61-6
Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati,

YESU FAKE NI HUYU HAPA YESU MLIYOLETEWA NA PAULO

Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu soma hapa👇👇👇

View attachment 1798815
Hivi nikisema "Ukiniona mimi ni sawa umemuona boss wangu".

Hii kauli inamaanisha mimi ndiyo boss au ?

Lakini Yesu alijibu jibu hilo kwa ufasaha,sababu hakuwa na uwezo wa kumuonyesha baba kwa maana Muumba,sababu Mola haonekani ulimwenguni. Ndiyo maana anawachagua wanadamu miongoni mwetu na kuwa wawakilishi.
 
Nakwambia mitume yote 25 tunaoamini Waislamu imetajwa kwenye Qur'an kwa majina yao kabisa.... Je, Huyo Paul ametajwa wapi ?

Na kwanini Mtume Muhammad hakuwahi kumuongelea kwenye mafundisho yake ( yaani Hadiths ).

Na kwanini hayupo kwenye orodha ya mitume ya Uislamu ?

Huo ni uzushi...
  • Pambana na Ibn Kathir, mimi nimeshamaliza kazi kukuonesha phobia uliyonayo juu ya Paul wakati na Allah anae Paul wake
  • Waislamu mnamitume zaidi ya laki na 24 unaweza kuweka majina yote? kumbuka Allah kasema kila lugha lazima iwe na mtume wake
Kuhusu Paul nimemaliza , ondoa Phobia yako juu ya jina Paul(Bulus)
 
waulize majini na wachawi na waganga wakilisikia jina la Yesu kwanini wanaungua moto,sasa wewe thubutu umtaje huyo issa utakapo kutana na mashetani kama atakusaidia
Vipi kwa wakristo wanaotumia jina la Isa kwenye nchi zingine? Au kanisani umefundishwa majina ya Jesus na Yesu tu?
 
Back
Top Bottom