Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Sasa hakujua au kujuwa , Kwani wewe unapofanya kosa kwa mfano kuzini au kuiba Mungu anakuwa hajui kabla kuwa utaiba au utazini ?
Sasa kwani ni yeye anayeniletea demu wa kuzini naye au naisogelewa mwenyewe zinaa!!!usilinganishe na hiyo scene ya bwana ibilisi na Allah ni tofauti,kaletewa mtu ampigie magoti akaona huu uhanangwa sifanyi.

Kwa scene hii inaonyesha ibilisi alikuwa timamu k7liko Allah.
 
hekaya za wayahudi ni hizi

YESU ALITANGUA TORATI AU HAPANA

Bwana Yesu Kristo alisema kwamba “Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua Torati na manabii, la, sikuja kutangua bali kutimiliza kwa maana amin nawaambia, mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi wala nukta moja ya Torati haitaondoka hata yote yatimie. ”Basi mtu yeyote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo na kuwafundisha watu ataitwa mdogo kabisa katika ufame wa mbinguni.” (Mathayo 5:17-19).

Tukiendelea kusoma mbele, haipiti hata dakika moja tunaona kwamba Bwana Yesu tayari amekwisha sahau aliyoyasema, na anaanza kusema kinyume kabisa na amri za Torati.

Anasema kwamba: “Mmesikia kwamba imenenwa jicho kwa jicho, na jino kwa jino, lakini mimi nawaambieni msishindane na mtu muovu; lakini akupigaye shavu la kuume mgeuzie la pili, mtu atakaye kukushitaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho pia.” (Mathayo 5:38-40).

Sasa Bwana Yesu Kristo ambaye alikuja kuitimiza Torati wala si kuitangua, mara anaonekana anaanza kuzipinga amri za Torati zinazopatikana katika “Kutoka 21:24’ Mambo ya Walawi 24:20, Kumbukumbu la Torati 29:21.”

Na hivi inaonekana kwamba ilikuwa kuna hitilafu kubwa katika maneno ya Bwana Yesu.

Na mtu anachanganyikiwa kabisa kwa mafundisho yake.
Ndio maana nikasema Mudi alidai hekaya hizo zimechakachuliwa kwa contradictions kama hizo na akaja na akafanya remix ya version yake

Mlolongo wa hekaya hizi ulianza na
Uyahudi;
Hawa walifuata hekaya za kusadikika za Characters wa mababu zao wa imani kuanzia Adamu, Musa, Ibrahimu nk nk wakisimuliana vizazi hadi vizazi

Ukristo;
Akaja fundi selemala Yesu, ili aaminike na wayahudi akaanza kufanyia remix hekaya za wayahudi na kuchanganya na zake ili kujihalalishia uhalali wake
Akachanganya sana madesa.

Uislam;
Akaja maamuma mudi, ili aaminike na wayahudi na wakristo na yeye akaanza kufanyia remix hekaya za wayahudi na hekaya za wakristo na hekaya akidai zimechakuchuliwa na akaja na version yake huku akiongeza yakwake na kuchanganya na upagani wa kiarabu

Ukiangalia huo mlolongo utagundua kwamba wayahudi walikua na ushawishi mkubwa wa hekaya zao za kusadikika ndio maana kila aliyekuja kuanzisha hekaya zake alikua anacheza humo humo tu

So character ya Yesu na Isa ni moja lakini kila dini inamtazamo tofauti kuhusu Character hiyo na sifa zake
 
Sasa kwani ni yeye anayeniletea demu wa kuzini naye au naisogelewa mwenyewe zinaa!!!usilinganishe na hiyo scene ya bwana ibilisi na Allah ni tofauti,kaletewa mtu ampigie magoti akaona huu uhanangwa sifanyi.

Kwa scene hii inaonyesha ibilisi alikuwa timamu k7liko Allah.
Unakimbia swali kwani hapo unapozini, Mungu anakuwa hajui au anajua kabla? Usikimbie swali Please?
 
Ndio maana nikasema Mudi alidai hekaya hizo zimechakachuliwa kwa contradictions kama hizo na akaja na akafanya remix ya version yake

Mlolongo wa hekaya hizi ulianza na
Uyahudi;
Hawa walifuata hekaya za kusadikika za Characters wa mababu zao wa imani kuanzia Adamu, Musa, Ibrahimu nk nk wakisimuliana vizazi hadi vizazi

Ukristo;
Akaja fundi selemala Yesu, ili aaminike na wayahudi akaanza kufanyia remix hekaya za wayahudi na kuchanganya na zake ili kujihalalishia uhalali wake
Akachanganya sana madesa.

Uislam;
Akaja maamuma mudi, ili aaminike na wayahudi na wakristo na yeye akaanza kufanyia remix hekaya za wayahudi na hekaya za wakristo na hekaya akidai zimechakuchuliwa na akaja na version yake huku akiongeza yakwake na kuchanganya na upagani wa kiarabu

Ukiangalia huo mlolongo utagundua kwamba wayahudi walikua na ushawishi mkubwa wa hekaya zao za kusadikika ndio maana kila aliyekuja kuanzisha hekaya zake alikua anacheza humo humo tu

So character ya Yesu na Isa ni moja lakini kila dini inamtazamo tofauti kuhusu Character hiyo na sifa zake

Tuletee ushahidi wa hayo maneno yako ?
 
Unakimbia swali kwani hapo unapozini, Mungu amakuwa haijui au anajua kabla? Usikimbie swali Please?
ninapozini Mungu anakuwa ameniletea mwanamke asiye mke wangu anijaribu au ni mimi katika harakati zangu naamua kumfata mwanamke???

Ibilis kajaribiwa na Allah atende jambo ambalo anajua kabisa huyu hatatekeleza maana si wa kupokea maagizo na kutekeleza bila kuhoji kama malaika,mbaya zaidi anamuuliza sababu ya kutotekeleza.

Shida hapa ni ya Allah,alisahau maagizo yake,au alikuw mzembe kuliko ibilis.
 
hujajibu swali , unakimbia ki style, Unapozini mungu huwa anajua kabla au huwa hajajuwa , jibu swali usizunguke mbuyu
 
Hawana uhusiano wowote ule
Ni kweli kwa sababu,Issa alimuomba Mungu,kikombe cha umauti kimuepuke na akakubaliwa ombi lake na Mungu, hawakumsulubu,kumvalisha nepi,kumtesa na kumdhihaki.lakini Yesu,alipoomba kwa Mungu,kikombe cha mauti kimuepuke,hakukubaliwa ombi.lake na Mungu alivalishwa nepi,akadhihakiwa,akachomwa mkuki akasulubiwa na kufa msalabani.Issa hakufa msalabani,na yuko hai mbinguni ila Yesu alisulubiwa na kufa msalabani.
 
hujajibu swali , unakimbia ki style, Unapozini mungu huwa anajua kabla au huwa hajajuwa , jibu swali usizunguke mbuyu
Anakuwa anajua,haya nawewe jibu,Alla huwa anakuletea danga au unalitafuta??
 
Quran inamuongelea mtu tofauti mnayemuita Issa ambaye alizaliwa chini ya mti. Biblia inamuongeleà Yesu aliyezaliwa kwenye hori la ng'ombe. Hawa ni watu wawili tofauti
Nimekuwa nikisikia mijadala mingi mtaani na hata mitandaoni kuhusu Yesu na Nabii Isa. Wengine wanasema ni mtu mmoja kwa majina tofauti, wengine wanadai kuna tofauti kubwa sana.

Katika Ukristo, Yesu anatajwa kama Mwana wa Mungu, alizaliwa na Bikira Maria, alifanya miujiza mingi, alisulubiwa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadamu, akafa, akafufuka na kupaa mbinguni. Ana nafasi ya kipekee kama Mwokozi wa ulimwengu.

Kwa upande wa Uislamu, Nabii Isa bin Mariam naye alizaliwa kwa muujiza bila baba, pia alifanya miujiza mingi (kama kuponya wagonjwa na kufufua wafu), lakini haaminiki kama Mwana wa Mungu bali Nabii wa Mwenyezi Mungu. Waislamu huamini hakuuliwa msalabani bali alinyakuliwa na Mungu, na atarudi tena kabla ya Siku ya Kiyama.

Swali langu kwa wana Jamii Forums:

Hivi tunaposema Yesu na Nabii Isa ni mtu mmoja, ni sahihi kihistoria na kiimani?

Je, tofauti hizi za kiimani zinaathiri vipi maelewano ya kidini?

Na kwa wale wanaopenda kuchimba zaidi, kuna maandiko yanayofanana kwenye Biblia na Qur’an kuhusu maisha yake?

Naomba tujadili kwa heshima, kueleweshana, siyo mihemko
 
Isa wa kwenye Quran

Jibu ni Isa hakusulubiwa
Quran 4:157 "the Jews did not kill or crucify Jesus, but rather, it was made to appear that way to them"

Na mtu aliyesema Isa hakusulubiwa amezaliwa miaka 500 baada ya kifo chake.

Kuna sababu zingine za maeneo waliozaliwa nitofauti , jinsi walivyozaliwa ni tofauti, ukuaji wao ni tofauti, mpaka kazi waliyoitiwa Duniani n.k
Kwa hiyo Yesu katika biblia,qlipoomba kwa Mungu,kikombe cha umauti kimuepuke huku akilia kwa sauti kuu,Mungu hakumkubalia ombi lake,maadui zake wakamvalisha nepi wakamdhihaki,wakamtemea mate,wakamchona mkuki wakamsulubu,na biblia Imanqsema kila anayesulubiwa amelaniwa kwa hiyo Yesu yalimkuta hayo yote.Na aliyefanya mpango Yesu,asulubiwe Yuda,mnamlaani mpaka leo na kuitwa msaliti.Kwa nini Yuda asipongezwe kwenye biblia ,kuwa amefanya kitendo kizuri
 
Anakuwa anajua,haya nawewe jibu,Alla huwa anakuletea danga au unalitafuta??

Sawasawa , Kwenye uislamu ni kuwa Mungu kakuwekea njia mbili uchaguwe uifuate au umuasi , yaani Majini na Binadamu tumepewa choice na mwisho ni malipo ya ulichokifanya. ukifanya mema utalipwa mema ukifanya mabaya utalipwa mabaya. Kazi kwako
 
Kwahiyo ibilisi alichagua njia mbaya kuifata??
 
Islamu una ujanja janja mwngi sana. Mengine tumawavumilia tu
Kwa hiyo Yesu,alipoomba kikombeccha umauti kimuepuke,wakati maadui zake wanataka kumsulubu,huku wamemvalisha nepi,Mungu,hakumkubalia,
Hapana. Waislamu kitabu chao ni cha kuokoteza hakina Facts. Kwa hiyo huyo Isa ni mtu mwingine kabisa. Ingekuwa ndiye mwenyewe majina yangefanana. Ona tu Kiswahili na kiarabu zinashabihiana Waarabu nao wangeita Yesu au Yeshu. Maana kwa Kiebrania ni Yeshua. Sasa hiyo herufi ya Y au J imepotelea wapi? Huyo Isa ni wa kutungwa tu.
Kwa hiyo Yesu,kuomba kote kwa Mungu,kikombe cha umauti kimuepuke,na ombi lake halikukubaliwa,na wakamvalisha nepi,na kumtemeq mate,wakamdhihaki,na kumchoma mkuki na kusulubu.Huyu aliyekataliws na Mungu,akauliwa,ndio tuamini anaweza kutukomboa?
 
Kwa hiyo Yesu,alipoomba kikombeccha umauti kimuepuke,wakati maadui zake wanataka kumsulubu,huku wamemvalisha nepi,Mungu,hakumkubalia,

Kwa hiyo Yesu,kuomba kote kwa Mungu,kikombe cha umauti kimuepuke,na ombi lake halikukubaliwa,na wakamvalisha nepi,na kumtemeq mate,wakamdhihaki,na kumchoma mkuki na kusulubu.Huyu aliyekataliws na Mungu,akauliwa,ndio tuamini anaweza kutukomboa?
Hopeless
 
Ni kweli kwa sababu,Issa alimuomba Mungu,kikombe cha umauti kimuepuke na akakubaliwa ombi lake na Mungu, hawakumsulubu,kumvalisha nepi,kumtesa na kumdhihaki.lakini Yesu,alipoomba kwa Mungu,kikombe cha mauti kimuepuke,hakukubaliwa ombi.lake na Mungu alivalishwa nepi,akadhihakiwa,akachomwa mkuki akasulubiwa na kufa msalabani.Issa hakufa msalabani,na yuko hai mbinguni ila Yesu alisulubiwa na kufa msalabani.
Kwahiyo Allah akawadanganya wakristo kwa kuwafanyizia mtu baki na wakaamini ni Yesu waliokuwa wanamjua kumbe sio,

Yaani kifupi Allah alidanganya si ndio???
 
Nimekuwa nikisikia mijadala mingi mtaani na hata mitandaoni kuhusu Yesu na Nabii Isa. Wengine wanasema ni mtu mmoja kwa majina tofauti, wengine wanadai kuna tofauti kubwa sana.

Katika Ukristo, Yesu anatajwa kama Mwana wa Mungu, alizaliwa na Bikira Maria, alifanya miujiza mingi, alisulubiwa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadamu, akafa, akafufuka na kupaa mbinguni. Ana nafasi ya kipekee kama Mwokozi wa ulimwengu.

Kwa upande wa Uislamu, Nabii Isa bin Mariam naye alizaliwa kwa muujiza bila baba, pia alifanya miujiza mingi (kama kuponya wagonjwa na kufufua wafu), lakini haaminiki kama Mwana wa Mungu bali Nabii wa Mwenyezi Mungu. Waislamu huamini hakuuliwa msalabani bali alinyakuliwa na Mungu, na atarudi tena kabla ya Siku ya Kiyama.

Swali langu kwa wana Jamii Forums:

Hivi tunaposema Yesu na Nabii Isa ni mtu mmoja, ni sahihi kihistoria na kiimani?

Je, tofauti hizi za kiimani zinaathiri vipi maelewano ya kidini?

Na kwa wale wanaopenda kuchimba zaidi, kuna maandiko yanayofanana kwenye Biblia na Qur’an kuhusu maisha yake?

Naomba tujadili kwa heshima, kueleweshana, siyo mihemko
Hata Allah sio huyu Mungu ambaye wakristo wanamuabudu
 
Kwa hiyo Yesu katika biblia,qlipoomba kwa Mungu,kikombe cha umauti kimuepuke huku akilia kwa sauti kuu,Mungu hakumkubalia ombi lake,maadui zake wakamvalisha nepi wakamdhihaki,wakamtemea mate,wakamchona mkuki wakamsulubu,na biblia Imanqsema kila anayesulubiwa amelaniwa kwa hiyo Yesu yalimkuta hayo yote.Na aliyefanya mpango Yesu,asulubiwe Yuda,mnamlaani mpaka leo na kuitwa msaliti.Kwa nini Yuda asipongezwe kwenye biblia ,kuwa amefanya kitendo kizuri
Hawa mapepo walimbeba Yesu,mpaka juu mlimani kabisa,sasa kama wanamuogops wangembebq?

Hauna mada strong,
We ni mocker.

Tafuta mpumbavu mwenzako
 
Quran inamuongelea mtu tofauti mnayemuita Issa ambaye alizaliwa chini ya mti. Biblia inamuongeleà Yesu aliyezaliwa kwenye hori la ng'ombe. Hawa ni watu wawili tofauti

Was there a Jesus? Of course there was a Jesus – many!

The archetypal Jewish hero was Joshua (the successor of Moses) otherwise known as Yehoshua (Yeshua) bin Nun (‘Jesus of the fish’).

Since the name Jesus (Yeshua or Yeshu in Hebrew, Iesous in Greek, source of the English spelling) originally was a title (meaning ‘saviour’, derived from ‘Yahweh Saves’) probably every band in the Jewish resistance had its own hero figure sporting this moniker, among others.

Josephus, the first century Jewish historian mentions no fewer than nineteen different Yeshuas/Jesii, about half of them contemporaries of the supposed Christ! In his Antiquities, of the twenty-eight high priests who held office from the reign of Herod the Great to the fall of the Temple, no fewer than four bore the name Jesus:

Jesus ben Phiabi, Jesus ben Sec, Jesus ben Damneus and Jesus ben Gamaliel. Even Saint Paul makes reference to a rival magician, preaching ‘another Jesus’ (2 Corinthians 11,4).

The surfeit of early Jesuses includes:

Jesus ben Sirach. This Jesus was reputedly the author of the Book of Sirach (aka ‘Ecclesiasticus, or the Wisdom of Jesus the Son of Sirach‘), part of Old Testament Apocrypha. Ben Sirach, writing in Greek about 180 BC, brought together Jewish ‘wisdom’ and Homeric-style heroes.

Jesus ben Pandira. A wonder-worker during the reign of Alexander Jannaeus (106-79 BC), one of the most ruthless of the Maccabean kings. Imprudently, this Jesus launched into a career of end-time prophecy and agitation which upset the king.
He met his own premature end-time by being hung on a tree – and on the eve of a Passover. Scholars have speculated this Jesus founded the Essene sect.

Jesus ben Ananias. Beginning in 62AD, this Jesus had caused disquiet in Jerusalem with a non-stop doom-laden mantra of ‘Woe to the city’. He prophesied rather vaguely:

“A voice from the east, a voice from the west, a voice from the four winds, a voice against Jerusalem and the holy house, a voice against the bridegrooms and the brides, and a voice against the whole people.”
– Josephus, Wars 6.3.
 
Back
Top Bottom