Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,910
Ndio ukubali kwamba Yesu ambaye ni Mungu ni tofauti na Yesu ambaye si Mungu.Pointi yangu ni hii kunautofauti kati ya usingizi na kifo
Licha ya kuwa vyote unafunga macho
Ndio ukubali kwamba Yesu ambaye ni Mungu ni tofauti na Yesu ambaye si Mungu.Pointi yangu ni hii kunautofauti kati ya usingizi na kifo
Licha ya kuwa vyote unafunga macho
Kama wote wanatoa majini, hakuna tofauti.Ndio ukubali kwamba Yesu ambaye ni Mungu ni tofauti na Yesu ambaye si Mungu.
Kipi kinachokufanya uone wote wanatoa majini? Nimesema hapo kwamba hata manabii wa uongo hutoa majini.Kama wote wanatoa majini, hakuna tofauti.
Kazi ya Table(English) ndiyo kazi ya meza(kiswahili)
Na kwa nini mnapanic majini yakiguswa?Kipi kinachokufanya uone wote wanatoa majini? Nimesema hapo kwamba hata manabii wa uongo hutoa majini.
Kupanic kvp? Kwanza hao majini we umewajuaje?Na kwa nini mnapanic majini yakiguswa?
Unataka nikupe bible verse zinaongelea majini au kuwajuwaje?Kupanic kvp? Kwanza hao majini we umewajuaje?
Nataka kujua tu wewe umewajuaje hao majini eleza vyovyote vile ulipowajulia kutoka popote pale iwe kwenye bible au popote.Unataka nikupe bible verse zinaongelea majini au kuwajuwaje?
Sijakuelewa?
Ni roho chafu/mapepoNataka kujua tu wewe umewajuaje hao majini eleza vyovyote vile ulipowajulia kutoka popote pale iwe kwenye bible au popote.
Mimi naulizia majini, sina uhakika kama hao mapepo ndio hawa majini sasa labda uniambie una uhakika gani kwamba hao mapepo ndio hawa majini?Ni roho chafu/mapepo
Huwa wanapiga kelele wakisikia jina la Yesu
Bible verse ziko nyingi kaachini usome
Hauna uhakika?Mimi naulizia majini, sina uhakika kama hao mapepo ndio hawa majini sasa labda uniambie una uhakika gani kwamba hao mapepo ndio hawa majini?
ISOME BIBLIA YAKO VIZURIHauna uhakika?
Unabishaje kitu usichokijua?
Yani itabidi nianze kufundisha kuanzia mwanzo , kuwa shetani hakuumbwa akiwa kama shetani(Ibilisi) kama Quran inavyo dai - hii ndo madhara ya kuchanganya uongo na ukweli
Shetani ni matokeo ya uasi wa baadhi malaika. Ndipo wakapewa jina shetani na kutupwa duniani. Majini au Ibilisi au Shetani ni yule yule malaika walioasi mbinguni wakatupwa duniani wasikuchanganye.
Jini ndiye pepo ambaye humuingia na kufanya possession
Kiujumla Muhammad alikuwa ni nabii wa Shetani aliyekuja kupinga Yesu:
2 Wakorintho 11:14-15
“Na si ajabu; maana Shetani mwenyewe hubadilika awe kama malaika wa nuru. Basi si ajabu watumishi wake nao wakajifanya kuwa watumishi wa haki.”
Shida hata sio kuwepo majini wazuri hata kama tutakubaliana kwamba majini wote ni wabaya ila issue ni kwamba majini ni viumbe tofauti na malaika hivyo majini hawana uhusiano na malaika waliyoasi, majini wanajamiana na kuzaa kitu ambacho ni tofauti na malaika.Wakristo wanaamini kuwa majini ni mawakala wa shetani,na hawana msaada kabisa kwao zaidi yakuwapeleka kwa shetani aliye mkuu wa jehanam.Nilimsikia jirani yangu mwislam akinihadithia habari za majini wazuri na wabaya.Nami nilimkatalia kuwa hakuna jini mzuri.
Mkuu mimi nawaelewa majini kama viumbe ambao ni tofauti na malaika na binaadamu kwa maana majini hawana asili ya malaika wala binaadamu, sasa ukusema kwamba majini ni malaika ndio hapo nimetaka kujua kipi kinakufanya uone majini wana asili ya malaika?Hauna uhakika?
Unabishaje kitu usichokijua?
Yani itabidi nianze kufundisha kuanzia mwanzo , kuwa shetani hakuumbwa akiwa kama shetani(Ibilisi) kama Quran inavyo dai - hii ndo madhara ya kuchanganya uongo na ukweli
Shetani ni matokeo ya uasi wa baadhi malaika. Ndipo wakapewa jina shetani na kutupwa duniani. Majini au Ibilisi au Shetani ni yule yule malaika walioasi mbinguni wakatupwa duniani wasikuchanganye.
Jini ndiye pepo ambaye humuingia na kufanya possession
Kiujumla Muhammad alikuwa ni nabii wa Shetani aliyekuja kupinga Yesu:
2 Wakorintho 11:14-15
“Na si ajabu; maana Shetani mwenyewe hubadilika awe kama malaika wa nuru. Basi si ajabu watumishi wake nao wakajifanya kuwa watumishi wa haki.”
Issa kazaliwa chini ya mtende Yesu kwenye zizi la ng'ombeNimekuwa nikisikia mijadala mingi mtaani na hata mitandaoni kuhusu Yesu na Nabii Isa. Wengine wanasema ni mtu mmoja kwa majina tofauti, wengine wanadai kuna tofauti kubwa sana.
Katika Ukristo, Yesu anatajwa kama Mwana wa Mungu, alizaliwa na Bikira Maria, alifanya miujiza mingi, alisulubiwa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadamu, akafa, akafufuka na kupaa mbinguni. Ana nafasi ya kipekee kama Mwokozi wa ulimwengu.
Kwa upande wa Uislamu, Nabii Isa bin Mariam naye alizaliwa kwa muujiza bila baba, pia alifanya miujiza mingi (kama kuponya wagonjwa na kufufua wafu), lakini haaminiki kama Mwana wa Mungu bali Nabii wa Mwenyezi Mungu. Waislamu huamini hakuuliwa msalabani bali alinyakuliwa na Mungu, na atarudi tena kabla ya Siku ya Kiyama.
Swali langu kwa wana Jamii Forums:
Hivi tunaposema Yesu na Nabii Isa ni mtu mmoja, ni sahihi kihistoria na kiimani?
Je, tofauti hizi za kiimani zinaathiri vipi maelewano ya kidini?
Na kwa wale wanaopenda kuchimba zaidi, kuna maandiko yanayofanana kwenye Biblia na Qur’an kuhusu maisha yake?
Naomba tujadili kwa heshima, kueleweshana, siyo mihemko
Hapa ndipo Muhammad aliweka uwongo wake.Majini ni Viumbe vilivyo umbwa kwa moto na malaika ni viumbe vilivyo umbwa kwa Nuru hivyo majini sio malaika na shetani sio Jini.
Soma
Luka 10:17-20
" Ndipo watu sabiini waliporudi kwa FURAHA,wakisema,BWANA _ _ _ _ HATA PEPO WANATUTII KWA JINA LAKO"
Hivyo hata Majini wanamtii Mungu ila Shetani sababu ya kuitwa shetani ni alipinga amri ya kumtii Mungu.
Quran inamjua Roho mtakatifu, njoo na fungi linalooneshaSOMA UKIWA NA ROHO MTAKATIFU
Nakujibu kulingana na imani yako kama huiamini Biblia yako pia ni sawa kwasababu Yesu hakuandika Biblia..Hapa ndipo Muhammad aliweka uwongo wake.
Katika biblia, MUNGU alimuumba malaika. Walioasi ndo walikuwa mashetani. Hii majini , Ibilisi na shetani ni kuchanganya ili uongo uingizwe -
Ni sawa na kusema Table na Meza
MUNGU hajawahi kuumba majini(kutokana na biblia)
Acha kufuta vifungu vya biblia, unachofanya ni ushetani
Luka 10:17 " Wale wanafunzi sabini na wawili wakarudi wakiwa na furaha. Wakamwambia Yesu, “Bwana, tukilitumia jina lako, hata pepo wanatutii!”
Wanamtii Yesu, na ni kwa sababu anawatesa
Luka 10:17 " _ _ Wakamwambia Yesu Bwana, tukilitumia jina lako, _ _ _
Mathayo 8:29 " Na tazama, wakapiga kelele, wakisema, Tuna nini nawe, Mwana wa Mungu(Yesu)? Je! Umekuja kututesa kabla ya muhula wetu? "
Quran inamjua Roho mtakatifu, njoo na fungi linaloonesha
Shetani alimtaka Yesu amfanyie tendo la ibada.’—Mathayo 4:9.Wanamtii Yesu, na ni kwa sababu anawatesa
Quran inamjua Roho mtakatifu, njoo na fungi linaloonesha
Na nilisema toka awali mmelishwa ukweli, ulio changanywa na uongo.Mkuu mimi nawaelewa majini kama viumbe ambao ni tofauti na malaika na binaadamu kwa maana majini hawana asili ya malaika wala binaadamu, sasa ukusema kwamba majini ni malaika ndio hapo nimetaka kujua kipi kinakufanya uone majini wana asili ya malaika?
Kwa sababu malaika tunajua jinsi wailivyo na majini tunajua pia na ukiangalia unaona kabisa majini ni tofauti na malaika.
Kwanini unabisha kitu usicho kijua na kulazimisha unacho amini wewe.. Shetani biblia imemuelezea vzuri na kila aliye soma biblia atajua tofauti ya Shetani(ibilisi) na Majini.Katika Biblia, MUNGU hajawahi kuumba jini, wala hakuna tofauti kati ya shetani, Ibilisi na mapepo,
Andiko.Hapana ni Watu wawili tofauti .na Pia Mungu wa Waislam sio yule Mungu wake Yesu Kristu- Ni Miungu miwili tofauti
Biblia sio Kuran , ambayo theory tu - kwenye matendo hamna kituNakujibu kulingana na imani yako kama huiamini Biblia yako pia ni sawa kwasababu Yesu hakuandika Biblia..
Je kuna mahali nimesema shetani sio ibilisi?Okay.. Jina La shetani ni Ibilisi kama biblia inavyo sema
Mpingeni Ibilisi, naye atawakimbia ninyi.” —YAKOBO 4:7
Majini ndiyo mapepo yenyewe,Majini na shetani(ibilisi) ni vitu viwili tofauti kwa mujibu wa Biblia yako unayo iamini.
Shetani alimtaka Yesu amfanyie tendo la ibada(amwabudu).’—Mathayo 4:9
Tokea alipo itwa shetani hajawahi kumtii Mungu kwa maana hyo wanao mtii Mungu ni Majini na sio Shetani(ibilisi).
Ruh al-Qudus(Roho Mtakatifu wa Kurani) hakai ndani ya mtu, ni mtumishi tu anayetumwa hana tofauti na malaika.Sema: Ameiteremsha hii Roho takatifu kutokana na Mola wako Mlezi kwa haki, Quran (16:102)