Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Unazungumza kwa sababu umesoma ktk Quran si ndivyo??hata anayesema majini na mapepo ni malaika waasi anarejea bible,usimbishie.

Ktk bible malaika waovu waliweza mpaka kuzini na binaadam,sababu ya utofauti wa kiasili wakazaliwa kizazi cha wana wa laana.

Ktk bible malaika sio kiumbe dhaifu ni kiumbe wa daraja la juu sana tu ndio maana hata walipoasi hatuna mashaka na uwezo walio nao hata katika uovu wanaoufanya.
Sasa tukisema tusome Qur'an huko inaelezwa kwamba Mungu aliumba malaika,akaumba majini na kisha akaumba binaadamu. Maana yake majini waliumbwa na si sehemu ya kundi la malaika.
 
Wakristo kwetu sisi Yesu ndio msingi wa imani yetu,kuanzia aina ya maisha aliyoishi ni ushuhuda,akija mtu yeyote akaeleza tofauti na maandiko yetu kumhusu Yesu lazima tumshangae.
Kama ambavyo atakuja mtu amwelezee Muhammad tofauti na nyinyi mlivyomjua,kumwita mtume sio tatizo maana hata sisi cheo hicho anacho,ila sio mtume tu.

Ikiwa mwandishi wa Quran angemuelezea Yesu kwa namna sahihi,ingetupa hata uhakika kwamba ni kweli mtu hiyo katumwa na Mungu.
Mkuu wakristo kumfanya Yesu kuwa msingi wa imani yao hilo haliwapi uhalali wa kujimilikisha Yesu na hasa ukizingatia huo ukristo wenyewe ulikuja baada ya Yesu, hivyo sioni haja ya kutumia nguvu kupinga kwamba Yesu sio Isa kiasi cha kusema Isa ni mtu mwengine kisa tu maelezo yake hayajafanana na biblia, ilitakiwa kuelewa tu kwamba anayekusudiwa ni mmoja sasa issue ya kwamba ni maelezo gani kumuhusu Yesu ni sahihi hilo linabaki kila mmoja atakavyo amini.

Na ndio maana nikatolea mfano wa majini na malaika waovu, huoni waislamu wakitumia nguvu kupinga kwamba majini sio malaika waovu japokuwa Qur'an imewaeleza kwa kina majini na tfauti kabisa na maelezo ya wakristo.
 
Hapa ndipo Muhammad aliweka uwongo wake.
Katika biblia, MUNGU alimuumba malaika. Walioasi ndo walikuwa mashetani. Hii majini , Ibilisi na shetani ni kuchanganya ili uongo uingizwe -
Ni sawa na kusema Table na Meza
MUNGU hajawahi kuumba majini(kutokana na biblia)


Acha kufuta vifungu vya biblia, unachofanya ni ushetani

Luka 10:17 " Wale wanafunzi sabini na wawili wakarudi wakiwa na furaha. Wakamwambia Yesu, “Bwana, tukilitumia jina lako, hata pepo wanatutii!”


Wanamtii Yesu, na ni kwa sababu anawatesa

Luka 10:17 " _ _ Wakamwambia Yesu Bwana, tukilitumia jina lako, _ _ _
Mathayo 8:29 " Na tazama, wakapiga kelele, wakisema, Tuna nini nawe, Mwana wa Mungu(Yesu)? Je! Umekuja kututesa kabla ya muhula wetu? "


Quran inamjua Roho mtakatifu, njoo na fungi linaloonesha
Kama Mungu hajawahi kuumba majini sasa ilikuaje malaika waovu mseme ndio majini? Kwanini waitwe majini?
 
Na nilisema toka awali mmelishwa ukweli, ulio changanywa na uongo.

Ni malaika ila walioasi,
Katika Biblia, MUNGU hajawahi kuumba jini, wala hakuna tofauti kati ya shetani, Ibilisi na mapepo,
hao ni malaika waasi.
Asikudanye mtu ni kitu kilekile

Tunarudi palepale kazi ya spoon au kijiko ni kula, na kazi ya jini au pepo ni kufanya possession anapomuingia mtu

Mathayo 8:28 -29 " Naye alipofika ng’ambo, katika nchi ya Wagerasi, watu wawili wenye pepo walikutana naye, wanatoka makaburini, wakali mno, hata mtu asiweze kuipitia njia ile.Na tazama, wakapiga kelele, wakisema, Tuna nini nawe, Mwana wa Mungu? Je! Umekuja kututesa kabla ya muhula wetu?"

Na ukiangalia atakayewapiga mashetani siku ya mwisho ni Yesu.

Na kati inayoongoza kuwa na waumini wengi wenye pepo ambao ndio majini yenyewe ni nyinyi waislamu.

Hakunaga shetani mzuri, usidanganywe kuna majini wema na wabaya. Huo ni mtego
Point hata sio kuwepo majini wazuri, hata binaadamu hakuna mwenye asili ya uzuri au uovu bali matendo yake ndio yaatamfanya awe mwema au muovu, na ndio maana hata hilo jina shetani linatumika hadi kwa binaadamu endapo atakuwa anafanya maovu.

Unapozungumzia malaika ukumbuke sio kila imani inaamini kwamba malaika wana uhuru wa kuamua kuweza kumuasi Mungu na kufanya maovu, sasa ukiwaletea story ya malaika kumuasi Mungu hamtoelewana.

Hoja ya kwamba waislamu ndio wanaongoza kwa mapepo huo utafiti umeufanyia makanisani au kwa waganga? Kwa nini iwe waislamu tu wakati story za majini ziko kila jamii duniani?
 
Cha kushangaza wazayuni wenzake hawamtaki mpaka leo
Wanaamini alibumbwa na wazungu.....
 
Wavalishwa Pampers, Ni kweli, Yesu kwa mujibu wa Biblia haingii katika ufalme wa Mungu , kwani amezaliwa kutoka kizazi cha zinaa
Hata Ww umetoka kizazi cha zinaa, kuna mtu kapanuliwa mapaja huko ndo ukatokea ww
 
Hata Ww umetoka kizazi cha zinaa, kuna mtu kapanuliwa mapaja huko ndo ukatokea ww


BLUNDER: GUESS WHO ENTERS INTO THE DIVINE LINEAGE OF JESUS


The book of Genesis records in chapter 38 a story in which Judas (the father of the Jewish race) commits incest.

He is tricked into sleeping with a harlot; who turns out to be his daughter-in-law.

And word went around that she had a child by whoredom.

Tamar, the prostitute was to give birth to twins whom would be named Pharez and Zarah.

This clear act of illegitimacy and incest conception was in blatant violation of the Law. So when we read at Mathew 1:3


And Judas begat Phares and Zara of Thamar; and Phares begat Esrom; and Esrom begat Aram;


A prostitute and the product of incest becomes honoured in the lineage of Jesus. Despite the many injunctions in Bible ostracising sinners from the house of God for generations.


A bastard shall not enter into the congregation of the LORD; even to his tenth generation shall he not enter into the congregation of the LORD.
Deuteronomy 23:2

So According to this Jesus A.s came from Illigal relationship, ..Nauzbillah!


How can they do like this,with the person they claim they worship
 
Sasa tukisema tusome Qur'an huko inaelezwa kwamba Mungu aliumba malaika,akaumba majini na kisha akaumba binaadamu. Maana yake majini waliumbwa na si sehemu ya kundi la malaika.
Hiyo ni Quran ambayo ktk elimu hii pia inajichanganya,wakati Allah anasema malaika wamsujudie adam shetani aligoma.
 
Mkuu wakristo kumfanya Yesu kuwa msingi wa imani yao hilo haliwapi uhalali wa kujimilikisha Yesu na hasa ukizingatia huo ukristo wenyewe ulikuja baada ya Yesu,
ukristo haukuja baada ya Yesu kuondoka,sema umetajwa baada ya Yesu kuondoka,nikikwambia uislam umekuja na Muhammad unakataa,kwa sababu unasema uislam ni tafsiri ya neno kujinyeyekeza kwa Alla.
hivyo sioni haja ya kutumia nguvu kupinga kwamba Yesu sio Isa kiasi cha kusema Isa ni mtu mwengine kisa tu maelezo yake hayajafanana na biblia,
Nawewe kwanini ulazimishe kuwa ndiye huyo huyo,tunaokataa ni sisi,sisi tuna Yesu nyie mna issah kwanini hamjiamini naye??
ilitakiwa kuelewa tu kwamba anayekusudiwa ni mmoja sasa issue ya kwamba ni maelezo gani kumuhusu Yesu ni sahihi hilo linabaki kila mmoja atakavyo amini.
Aliyekusudiwa hapa kuwa mmoja tunalinganisba taarifa za msingi kuwahusu,miaka 400 ijayo,akija mtu akasema Mtume Muhammad alikufa aliuawa kwa kuliwa na simba,atakuwa anamjua Muhammad mnayemjua kweli??
Na ndio maana nikatolea mfano wa majini na malaika waovu, huoni waislamu wakitumia nguvu kupinga kwamba majini sio malaika waovu japokuwa Qur'an imewaeleza kwa kina majini na tfauti kabisa na maelezo ya wakristo.
HAwawezi kupinga hilo sababu lina walakini pia hata ktk vichwa vyao.
 
Back
Top Bottom