Ndivyo wakristo wanavyosema kwamba kuna malaika waliyoasi na hao ndio waovu.
Wanao ushahidi wa wanayoyasema ?
Ndivyo wakristo wanavyosema kwamba kuna malaika waliyoasi na hao ndio waovu.
Kijadala cha Makobaz ndivyo kinavyosema
Ndio afu akawaletea nyie kobazSi kakitayarisha Nabii wenu Tito ?
Sasa hapo imejichanganya nini? Kwenye Qur'an Ibilisi anaelezwa alikuwa ni jini.Hiyo ni Quran ambayo ktk elimu hii pia inajichanganya,wakati Allah anasema malaika wamsujudie adam shetani aligoma.
Hiyo ni Quran ambayo ktk elimu hii pia inajichanganya,wakati Allah anasema malaika wamsujudie adam shetani aligoma.
Walioambiwa wasujudu ni malaika au majini?alikuwa ni jini aliyeumbwa kwa moto au upepo??Sasa hapo imejichanganya nini? Kwenye Qur'an Ibilisi anaelezwa alikuwa ni jini.
Tulia usome bila jaziba hapo juu kama unahitaji kujuwa au kama unahitaji ubishi , basi na tuweke mpira chiniWalioambiwa wasujudu ni malaika au majini?alikuwa ni jini aliyeumbwa kwa moto au upepo??
Jibu swali tafadhali wacha taarabu na siasa.Tulia usome bila jaziba hapo juu kama unahitaji kujuwa au kama unahitaji ubishi , basi na tuweke mpira chini
Soma post #106
Kwahiyo amri ya jumla ilikuwa malaika wasujudu!!!ibilis akagoma na alipoulizwa akajibu hawezi msujudia binaadam,kosa la ibilisi lilikuwa nini hapa ikiwa Allah pekee ndiye wa kusujudiwa??Tafsiri ya Kiingereza ya sehemu ya kwanza ya Aya ‘Tuliwaambia Malaika wamsujudieni Adam: wakainama isipokuwa Iblis’, inatupa dhana kuwa Ibilisi alikuwa ni Malaika.
Qur’an iliteremshwa kwa Kiarabu.
Katika sarufi ya Kiarabu kuna kanuni inayojulikana kama Tagleeb, kulingana na ambayo, ikiwa kuna wengi wengi , hata wachache hujumuishwa.
Ikiwa kwa mfano, ninahutubia darasa lenye wanafunzi 100 ambao 99 ni wavulana na mmoja ni msichana, na nikisema kwa Kiarabu kwamba wavulana wasimame, ni pamoja na msichana pia. Sihitaji kumtaja tofauti.
Vile vile katika Qur’an, Mwenyezi Mungu alipozungumza na Malaika, hata Ibilisi alikuwepo, lakini haitakiwi atajwe peke yake.
Kwa hiyo kwa mujibu wa sentensi hiyo Ibilisi anaweza kuwa ni Malaika au asiwe Malaika, lakini tumekuja kujua kutokana na Sura Al Kahf sura ya 18 aya ya 50 kwamba Ibilisi alikuwa Jini.
Hakuna mahali ambapo Qur’an inasema Iblis alikuwa malaika.
Kwa hiyo hakuna mgongano katika Qur’an.
Nimekuwa nikisikia mijadala mingi mtaani na hata mitandaoni kuhusu Yesu na Nabii Isa. Wengine wanasema ni mtu mmoja kwa majina tofauti, wengine wanadai kuna tofauti kubwa sana.
Katika Ukristo, Yesu anatajwa kama Mwana wa Mungu, alizaliwa na Bikira Maria, alifanya miujiza mingi, alisulubiwa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadamu, akafa, akafufuka na kupaa mbinguni. Ana nafasi ya kipekee kama Mwokozi wa ulimwengu.
Kwa upande wa Uislamu, Nabii Isa bin Mariam naye alizaliwa kwa muujiza bila baba, pia alifanya miujiza mingi (kama kuponya wagonjwa na kufufua wafu), lakini haaminiki kama Mwana wa Mungu bali Nabii wa Mwenyezi Mungu. Waislamu huamini hakuuliwa msalabani bali alinyakuliwa na Mungu, na atarudi tena kabla ya Siku ya Kiyama.
Swali langu kwa wana Jamii Forums:
Hivi tunaposema Yesu na Nabii Isa ni mtu mmoja, ni sahihi kihistoria na kiimani?
Je, tofauti hizi za kiimani zinaathiri vipi maelewano ya kidini?
Na kwa wale wanaopenda kuchimba zaidi, kuna maandiko yanayofanana kwenye Biblia na Qur’an kuhusu maisha yake?
Naomba tujadili kwa heshima, kueleweshana, siyo mihemko
Jibu swali tafadhali wacha taarabu na siasa.
Kwahiyo amri ya jumla ilikuwa malaika wasujudu!!!ibilis akagoma na alipoulizwa akajibu hawezi msujudia binaadam,kosa la ibilisi lilikuwa nini hapa ikiwa Allah pekee ndiye wa kusujudiwa??
UMehama mada kwa speed ya mwanga.Wanafunzi wakibishana juu ya Sabato na Sheria zingine. Yesu aliwaahidi kwamba Roho Mtakatifu atachukua vinywa vya wanafunzi na kwamba hakutakuwa na mabishano, fujo au mafumbo.
Hata hivyo, Agano Jipya limegubikwa na mabishano ya wazi, matusi (kuitana kila mmoja kulaaniwa na MUNGU "laana", ya kishetani, ya uwongo, mbaya).
Ahadi ya Yesu iko wapi??
Kwahiyo kosa la ibilis lilikuwa kukataa kumsujudia adam!!!na mmejifunza malaika hutii amri yoyote ya Allah hawana utashi vipi ibilis Allah hakujua kwamba huyu anaweza mbishia maana anampa amri ambayo ni tofauti kabisa na ile ya lah il Allah.Sura 7 :11. Na hakika tulikuumbeni, kisha tukakutieni sura, kisha tukawaambia Malaika: Msujudieni Adam. Basi wakasujudu isipo kuwa Iblisi, hakuwa miongoni mwa walio sujudu.![]()
12. Mwenyezi Mungu akasema: Nini kilicho kuzuia kumsujudia nilipo kuamrisha?
Akasema: Mimi ni bora kuliko yeye. Umeniumba kwa moto, naye umemuumba kwa udongo.
Ni dhahiri malaika walitii amri nae akapewa amri ila akajivuna.
Alicho fanya bwana Mudi ni kuchukua hekaya za wayahudi na wakristo kisha akadai zimechakachuliwa…… hivyo yeye akazifanyia remix na kuja na version yake
nimekujibu huko juu au hujaona ?? Punguza jaziba uelimishwe kijanaUMehama mada kwa speed ya mwanga.
Kwahiyo kosa la ibilis lilikuwa kukataa kumsujudia adam!!!na mmejifunza malaika hutii amri yoyote ya Allah hawana utashi vipi ibilis Allah hakujua kwamba huyu anaweza mbishia maana anampa amri ambayo ni tofauti kabisa na ile ya lah il Allah.
Hakuna muislam anayeweza kunielemisha mimi dogo hata Allah haniwezi,wewe jibu unavyoulizwa wacha dana dana.nimekujibu huko juu au hujaona ?? Punguza jaziba uelimishwe kijana